Uonevu tangu 1948 Palestine

Ndugu Tumia akili yako vizuri acha upotoshaji kama hujui Historia bora ukataka kujua ili watu wakujuze kuliko kutuonyesha ni jinsi gani ulivyo zwazwa na kufa gany wa na Propaganda za waarabu!!!
 
Fafanua usemi wako!!
 
Israel ina Waziri mkuu kama vile India anakuwa hana sauti. Nchi inaongozwa na Waziri mkuu kama vile sasa shetani Netanyahu wa Israel na Modi wa India. Uingereza ni nidhamu hiyo hiyo ila wao hawana raisi . Kazi ya raisi anakuwa ni malkia au mfalme.
Tumia akili zako vizuri Israel Ina Rais!!!
 
Israel ina Waziri mkuu kama vile India anakuwa hana sauti. Nchi inaongozwa na Waziri mkuu kama vile sasa shetani Netanyahu wa Israel na Modi wa India. Uingereza ni nidhamu hiyo hiyo ila wao hawana raisi . Kazi ya raisi anakuwa ni malkia au mfalme.
Tumia akili zako vizuri Israel Ina Rais
Mkuu umetaja na Allah kabisa. Nitajie AYA yoyote kwenye KITABU inayoitambua palestine, halafu pia nitajie AYA inayopinga Wayahudi na ardhi yao. Fanya hivo fasta mkuu
sidhani kama ana ufahamu huo Najua hawezi kukujibu maana nimeshamuona anaongozwa na mihemko ya kidini ambayo yeye mwenyewe haijui kwa hiyo ni ngumu sana kawkę kukujibu!!! Akikujibu nijulishe na mimi nione anavyobwabwaja!!
 
Waambie labda wewe watakuelewa. Ki ukweli Wafuga Midevu na Majini wanapata taabu sana hasa kwenye uelewa???
 
Wape vidonge vyao Wakimeza wasimeze Shauli yao!!!
 
Ndugu Tumia Akili zako vizuri Mungu amekupa bure zitumie vizuri!!!
 
Nilikuwa najaribu kukufahamisha kutoa ujinga kuwa kuna baafhi ya nchi waziri mkuu ndiye raisi. Umefahamhu?
Acha uongo huo waziri Mkuu ni Waziri Mkuu na Rais ni Rais tu acha kupotosha watu!!
 
Unajitoa ufahamu ? Rais wa Palestina alikuwa Nan ?
Hapo ndipo umemuua kabisa akikujibu niite nije ni one jibe lake!!! Hawa Jamaa waarabu Wame wadanganye sana na wanawafanya kama Misukule yao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…