HSIRAJI JF-Expert Member Joined May 28, 2019 Posts 745 Reaction score 1,550 May 3, 2023 #21 kyala Ulinamaka said: hakuna kosa ni self defense. Click to expand... Yan imekuwa ni vita hata ukiwa ndani ya gari wanakuletea kelele tu
kyala Ulinamaka said: hakuna kosa ni self defense. Click to expand... Yan imekuwa ni vita hata ukiwa ndani ya gari wanakuletea kelele tu
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 May 3, 2023 #22 Nunueni tethers pale Tanganyika Arms atayelazimisha unampiga shot kwanza Au pepper spray
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 May 3, 2023 #23 Wanawatesa sana jamaa wa malori
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 4,407 Reaction score 16,942 May 3, 2023 Thread starter #24 HSIRAJI said: Yan imekuwa ni vita hata ukiwa ndani ya gari wanakuletea kelele tu Click to expand... Kuna haja ya mmoja wao kufanywa mfano. Akichezea kichapo cha mbwa mwizi wataanza kujitafakari. Meanwhile na serikali nayo ijitathmini kuhusu hili swala la wrong parking maana limekuwa mtaji wa wengine.
HSIRAJI said: Yan imekuwa ni vita hata ukiwa ndani ya gari wanakuletea kelele tu Click to expand... Kuna haja ya mmoja wao kufanywa mfano. Akichezea kichapo cha mbwa mwizi wataanza kujitafakari. Meanwhile na serikali nayo ijitathmini kuhusu hili swala la wrong parking maana limekuwa mtaji wa wengine.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 May 3, 2023 #25 Watu wanaonea sana na kwa vile kazi za nguvu zipo nyingi ndio wanajipa madaraka ya kijinga sana...
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Jun 24, 2023 #26 Wazee wa fursa
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 166,767 Reaction score 705,461 Jun 24, 2023 #27 HIMARS said: Hao dawa yao ni kuwachoma na petrol kwenye hizo noah zao Click to expand... 😁😁
Mrao keryo JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 1,901 Reaction score 2,566 Feb 19, 2024 #28 Wenye mamlaka walishughulikie hili litakujakusababisha makubwa huko mbeleni
Resurrection JF-Expert Member Joined Jun 8, 2020 Posts 952 Reaction score 1,267 Feb 19, 2024 #29 Kuna Jamaa Yangu mmoja Bandari walimfungia chuma akalivunja lile nyororo lao tukasepa hii nchi ni ya WAGAGAKIKIKOKO Yaani ovyo sana .
Kuna Jamaa Yangu mmoja Bandari walimfungia chuma akalivunja lile nyororo lao tukasepa hii nchi ni ya WAGAGAKIKIKOKO Yaani ovyo sana .