KERO Uonevu wa wanaokamata Wrong Parking

KERO Uonevu wa wanaokamata Wrong Parking

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Yan imekuwa ni vita hata ukiwa ndani ya gari wanakuletea kelele tu
Kuna haja ya mmoja wao kufanywa mfano. Akichezea kichapo cha mbwa mwizi wataanza kujitafakari.

Meanwhile na serikali nayo ijitathmini kuhusu hili swala la wrong parking maana limekuwa mtaji wa wengine.
 
Wenye mamlaka walishughulikie hili litakujakusababisha makubwa huko mbeleni
 
Kuna Jamaa Yangu mmoja Bandari walimfungia chuma akalivunja lile nyororo lao tukasepa hii nchi ni ya WAGAGAKIKIKOKO Yaani ovyo sana .
 
Back
Top Bottom