Kati ya mbingu na nchi kipi kilianza kuumbwa? na kwanini MUNGU alitulia juu ya kilindi cha maji..... kuna nini kilindini? hata YESU alimwambia petro akavue kilindini..Maandiko hayataji kuumbwa KWA maji?
Mungu ndiye aliyeviumba vitu vyote (soma biblia)
Kati ya mbingu na nchi kipi kilianza kuumbwa? na kwanini MUNGU alitulia juu ya kilindi cha maji..... kuna nini kilindini? hata YESU alimwambia petro akavue kilindini..
Wengi wanaamini kama vilindi vya maji ndio SOURCE YA UHAI..(kimakosa VERY WRONGLY)
BIBLIA INASEMA WAZI KUWA CHANZO CHA UHAI ni NENO pasipo yeye hakuna kilichofanyika ambaye NENO na BABA ni WA moja na Roho.
Haya SAWALI SASA
NANI ALIUMBA VILINDI VYA MAJI?..
Kulingana na maandiko ya Biblia, Mungu ndiye aliyeweka msingi na kuumba vilindi vya maji.
Katika vitabu mbalimbali vya Biblia, vilindi vya maji vinatajwa kama sehemu ya kazi ya uumbaji wa Mungu na mamlaka yake:
• Mithali 8:27-28 – Mstari huu unasema Mungu alipozithibitisha mbingu alikuwako, na alipopiga dira juu ya uso wa vilindi, na kuzifanya thabiti chemchemi za vilindi.
• Mwanzo 1:2 – Hapo mwanzo kabla ya uumbaji wa siku sita kukamilika, giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi, na Roho wa Mungu alitulia juu ya uso wa maji.
• Zaburi 104:6 – Inasema Mungu alifunika nchi kwa vilindi kama kwa vazi, na maji yalisimama juu ya milima.
Maandiko haya yote yanasisitiza kuwa hakuna kitu kilichojiumba chenyewe, na hata maeneo marefu na yenye kina kirefu zaidi cha bahari (vilindi) yapo chini ya uumbaji na mamlaka ya Mungu.
FACT iliyothibitika maji Yana uwezo WA kuchukua nguvu ya NENO ,ya ROHO iiyopo kwenye surrounding maji yanauwezo WA kubeba nguvu ya kiroho hata iliyopo ndani ya watu WALIOPO karibu na eneo maji yalipo, nguvu ya kiroho iliyopo atmosphere ya eneo,au iliyopo ndani ya watu WALIOPO karibu na maji,
Maji yanauwezo WA kuchukua hata nguvu ya picha ,maandishi,objects zilipo karibu na maji au containers au cans zilizobeba hayo maji.
HII IMETHIBITIKA KISAYANSI.
Maji au vimiminika fluids vitu VYA MAJI maji..vinaweza kubeba negative au positive energy.
MAJI YENYEWE KIROHO(PLAIN WATER)
Ukiyatamkia maji maneno UKAYANUIZIA ,au ukayasemesha maji MAOMBI Fulani yake maji yanabeba Ile nguvu ya ROHO ya yale maneno ,iwe umenuizia UBAYA cast /uchawi ama umenuizia baraka ..so yanaweza yakawa maji ya baraka au yakabeba Cast LAANA..halafu unaweza ukaogea au ukamwagia sehemu kwenye ardhi ama ukapaka MAHALI.
Lakini inapaswa uchukue maji Yako unayoyaamini au ya nyumbani kwako usipewe maji na MTU huyafahamu yanaweza yakawa yamebebaba energy tofauti.
MAJ YANABEBA NGUVU YA MAANDISHI NAMBA HERUFI
Mfano ukiandika maandishi kwenye karatasi mfano KOMBEO inatumika kalamu ya wino mwekundu yale maandishi Yana dissolve kwenye maji..Maji yanabeba nguvu ya kiroho ya yale maandishi
Lakini hata usipoyeyusha karatasi ,ukiweka TU karatasi yenye maandishi ya maneno maji yanabeba nguvu ya yale maneno
VINYWAJI VYA VIWANDANI VYA CHUPA NA KOPO
Yale maandishi yaliyopo juu ya chupa za vinywaji na zile namba maji yanabeba nguvu ya kiroho ya Ile maandishi
Mfano alama za kishetani,laaana ya mauti,HILA za shetani za siri zilizo juu ya LEBO,NAMBA,MICHORO,MANENO ya LEBEL ZILIZOPO kwenye vinywaji..maji Yana beba. Ile nguvu.
Mfano NENO PEPSI= ukiligeuza upside down linasoma IS dEd herufi E imegeuzwa kama Eminem anavyogeuza herufi E
Coca Cola nayo hilo NENO ni la miungu kishetani
Energy drink Zina alama namba mfano Ile 666 Ile monster energy imeandikwa kiebrania kama mistari mitatu.
Zile bar codes
Lakini pia shetani Huwa anavilaani vinywaji kabla
Kuna namba symbols,herufi maneno ya siri ya kishetani..sasa ukinywa hivyo vinywaji unabeba Ile LAANA ,lakini mbali na hivyo ni UNHEALTHY DRINKS
same goes to alcoholic beverages
MAJI YA KUNYWA NYUMBANI YALIYO WAZI KWENYE GLASS ama ANAYEPIKA CHAKULA mana naye anatumia maji ,Kama alikuwa ana pika chakula wakati WA kupika mchuzi alikuwa na HASIRA,HUZUNI energy YOYOTE ule mchuzi maji maji ya chakula yanabeba Ile energy yake,ama glass ya maji MEZANI Ina beba nguvu ya kiroho ya atmosphere around glass ya maji (ukinywa maji hayo unabeba hiyo energy)
KWENYE MAOMBI NA UBATIZO)
Maji ya ubatizo yanabeba nguvu ya maneno ama SALA inayotamkwa wakati WA ubatizo SI MAJI MATUPU TU ni MAJI yaliyobena NENO lililotamkwa Roho energy
MAJI YA BARAKA NASHAURI chukua maji Yako mwenyewe nyumbani kwako yaombeee mwenyewe ama yapeleke yakaombewe na mtumishi WA Mungu WA KWELI,lakini NASHAURI uombe mwenyewe,yale maji yanabeba yale MAOMBI Yako Ile nguvu ya NENO ulilolitamka wakati WA kuombea MAJI Yako na YATAKUWA maji ya BARAKA.yatakuwa na nguvu ya kiroho hayatakuwa maji MATUPU TU.
NA CHUMVI NI HIVYO HIVYO..wengine wanachanganya MAJI +CHUMVI wanaviombea ,chumvi inawakilisha AGANO ama MKATABA una cement
Uchawi ) ushirikina nao wabatumia hivyo HIVYO...SHETANI Hana jipya ANA IGA copy kutoka kwa MFUMO WA Mungu
Mkuu kuhusu Ibilisi kuwa ana uhuru wa kuuhadaa ulimwengu wote, ili amebakia na muda mchache mno. Ila kuhusu dunia kuwa na umbile lisilokuwa la tufe, hapo nahitaji rejea ya maandiko kutoka kwako.Kwa hiyo yule Joka kutupwa juu ya nchi na malaika zake tukio hili lifanyika kabla ya binadamu kuumbwa na kuishi juu ya nchi. Ila ni bayana kuwa alitupwa dunia na kuwekwa kifungoni kwa muda kuzimu ili asubiri hukumu yake ya milele katika ziwa la moto.
1.Shetani hayupo kifungoni kuzimu.
Kule kuzimu aliyefungwa ni ABADON/APOLION
wapo na wengine fallen angels kule chini ya mto Euphrates malaika 4 na wengine .
ILA SHETANI yupo free anazunguka zunguka humu DUNIANI kama simba aungurumaye akitafuta MTU ameze.
Ndiye mshitaki WETU.
kule kuzimu ana enzi yake ..ofisi zake
Shetani pia ana enzi yake katika mbingu hapa juu angani(mkuu WA anga ,na majeshi yake majemedari WA angani,wenye mamlaka WA kipepo)
Pia shetani alipata mpaka mbinguni Tena kwenda kwa MUNGU kumshitaki AYUBU ,na anaongea na Mungu,na anazunguka huku na HUKO DUNIANI..na alienda bustani ya edeni kumjaribu ADAM na HAWA na hata YESU pia alimjaribu.
Shetani ana zunguka maeneo yote kuzimu,DUNIANI , mbinguni angani.
(Kwa mujibubwa biblia soma MAANDIKO utayaona)
Uwepo WA firmament ni WA kibiblia ,biblia inasema DUNIA ni BAPA Ina kingo za barafu,na Ina nguzo chini ya bahari.
Biblia haisemi DUNIA NI SPHERE.
google TU mwenyewe shape ya DUNIA kibiblia utapata majibu tumia TU hata AI.
na hiyo firmament ndiyo inatenganisha maji YALIYOPO angani na ARDHINI...na Ina madirisha na milango ya mbinguni(soma biblia Yako)
Mkuu kuhusu Ibilisi kuwa ana uhuru wa kuuhadaa ulimwengu wote, ili amebakia na muda mchache mno. Ila kuhusu dunia kuwa na umbile lisilokuwa la tufe, hapo nahitaji rejea ya maandiko kutoka kwako.
Umesoma yote?Duh 😅
Kwa akili kama hizi akina Mwamposa na akina Tonny Kapola Gas Station watatajirika mpaka wachoke!
This is pure mental illness!