Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

KWAMBA X-MAS CHRISTMAS NI DECEMBER 25 BADALA YA MWEZI WA NISANI 1 APRIL 1
Wachungaji Kondeni: Luka 2:8 inasema usiku wa kuzaliwa kwa Yesu, wachungaji walikuwa kondeni wakilinda mifugo yao usiku. Kijiografia, mwezi Desemba huko Yudea ni kipindi cha majira ya baridi kali, mvua nyingi, na wakati mwingine theluji. Wachungaji wasingeweza kukaa nje usiku kucha na kondoo.

Mwezi wa Nisani (Machi/Aprili) ni majira ya masika (spring), ambapo hali ya hewa ni ya joto na ndio msimu wa kondoo kuzaa, hivyo wachungaji walikesha nje kuwasaidia kondoo wanaozaa.

Yesu ni mwanakondoo,na tunaona wachungaji wa kondoo waliokuwa kondeni usiku wakisubiri kondoo wao wazae wanakondoo,ndio walikuwa WA kwanza kupewa taarifa ya kuzaliwa mwana kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu(Yesu)

Kitabu cha Kutoka kinasema kuwa Hema la Kukutana (mahali ambapo utukufu wa Mungu ulishuka na kukaa kati ya wanadamu) lilisimamishwa rasmi siku ya 1 Nisani (Kutoka 40:2).

Cahn anabainisha kuwa kuanzia wakati Musa alipopewa maelekezo mlimani hadi kukamilika kwa Hema hilo, ilipita takriban miezi tisa—muda unaolingana na mimba ya mwanadamu. Hii ilikuwa ishara ya unabii wa kuzaliwa kwa Yesu, ambaye ni Mungu aliyefanyika mwili na "kufanya hema" kati yetu.

Mwaka Mpya wa Kidini: Katika Kutoka 12, Mungu aliwaambia Waisraeli kuwa mwezi wa Nisani (mwezi wa Pasaka) utakuwa "mwanzo wa miezi" kwao. Cahn anajenga hoja kuwa ikiwa Masihi ndiye mwanzo mpya wa ukombozi wa mwanadamu, ni sahihi kabisa kuwa alizaliwa siku hiyohiyo ambayo Mungu aliiweka kuwa mwanzo wa mambo mapya.

Asili ya Desemba 25: Cahn anasema tarehe hii ililetwa na Kanisa la Kiroma karne nyingi baadaye ili kufunika sherehe za kipagani za Waroma kama vile Saturnalia (sherehe ya mungu wa jua) zilizokuwa zikifanyika kipindi hicho cha baridi, kwa lengo la kuwavuta wapagani wengi kuwa Wakristo.

Kalenda ya GREGORIAN calender ni kalenda yenye ASILI ya kalenda ya KIRUMI ya kipagani.

KIJANA Mmoja aliyebahatika kugundua na kuipata biblia ya 1775 imetaja miezi 13 ya kibiblia ,na kwamba Yesu alizaliwa APRIL MOJA ,NISAN 1

DUNIA na yule mwenye kuudanganya ulimwengu wamegeuza kuwa siku ya wajinga DUNIANI KWA lengo la kumpinga KRISTO

Credit kwa JONATHAN CAHN
Link below 👇🏿
 
NEIL ARMSTRONG LIE

KUNA UONGO AMBAO DUNIA TUNAUAMINI WALIO STAGE IGIZA NA WALIOTUDANGANYA HAWAANI ,they can't believe the whole world buy that story kwamba DUNIA ni sphere,eti DUNIA ni duara??wanatucheka sana...kwamba watu walioenda ku LAND KWENYE MOON.

wanao ongoza kwa UJINGA ni WASOMI...KUSOMA shule kunaondoa AKILI ...kuna kujaza UJINGA.

Shetani alitupwa hapa DUNIANI kutoka mbinguni.

Ufunuo 12:9, maneno haya yanamtaja Shetani au Ibilisi. Aya hiyo inasema:
"Yule joka mkubwa akatupwa chini, yule nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, ayevidanganya vizazi vya mataifa yote (au mwenye kuudanganya ulimwengu wote); akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye."

Hata ukisoma FALAKI ILIMU ya maarifa ,ILIMU ya uchawi nayo inamtambua KWA NAMNA hii hii SHETANI ni mwenye kuudanganya ulimwengu wote.

Nitaandika KWA kifupi sana ili Uzi usiwe mrefu japo Nina mengi ya kuandika.

1.HAKUNA ALIYEKWISHA WAHI KWENDA WALA KUFIKA MWEZINI.
Juu ya anga la DUNIA kuna kifuniko kigumu glass firmament inayofunika na KUZUIA Anga ambayo hairuhusu kupenya kutoka nje ya dunia.
Na DUNIA sio tambarare flat sio duara ,Ina misingi ama nguzo zake chini ya bahati,halafu imezungukwa na kingo za barafu Antarctica.
(Hii TU ni topic yake kuhusu DUNIA sio duara ila ni tambarare..
Wanachokifanya kila mara wanaporusha roketi juu angani kusema wanakwenda MWEZINI LENGO lao ni kutaka kuboma hicho kifuniko cha glass kinachofunika anga la DUNIA ili WA escape nje ya dunia LENGO wanaotaka kutoroka ADHABU ya hukumu ya Mungu wanajua Mungu atashusha Hukumu yake.
Lakini mara zote wanapojaribu wanafeli kubomoa hiyo glass ngumu inayofunika anga roketi inaishia kulipuka wanaishia kusema hotilafinilitokea angani chombo kikalipuka,LENGO la wanaotaka wabomoe wapate mlango WA kutokea kutoroka hapa DUNIANI.
Yani ni kama SISI viumbe vya DUNIANI TUNAISHI kwenye DUNIA tambarare yenye kingo za barafu na juu ya anga kuna maji yanayo onekana anga la bluu,kinachotenganisha maji ya angani ni glass kubwa ngumu ya kiooo yenye madirisha ambayo Mungu hufungua akitaka kususha maji ya angani,na nguzo za DUNIA zipo chini ya bahati ARDHINI maji ya ARDHINI.
Hakuna mwanadamu anayeweza kutoka humu DUNIANI tumefungiwa ndani,haiwezekani kwenda MWEZINI.
Ni mwendelezo WA MNARA WA BABELI waliotaka kutoka nje ya dunia kwenda mbinguni.

Mwezi na JUA ni mianga sio kitu unaweza ukakishika.
Shetani MAANA yake ni mwenye kuudanganya ulimwengu.

2.Dawa ya meno ya kupigia maswali,KUANZIA miswaki ya plastiki,na MADINI ya fluoride YALIYOPO kwenye dawa za meno pamoja na maji ya kunywa yanaenda kurundika a katika pineal gland ya ubongo na KUZUIA ufanyaji kazi WA sehemu hiyo ya ubongo.Hii Ina athiri hisia mood,usingizi,uchovu,usingizi,na kiroho pineal gland ni JICHO LA TATU la kiroho,linakuwa blinded.

3.Dawa za KIASILI za mitishamba mimea na majani mizizi n.k kuwa ni mbaya.
Magonjwa yote yanatibika kwa dawa za KIASILI na mitindo ya maisha ikiwemo vyakula.
MFUMO WA vyakula ikiwemo majani ya chai,sukari,ulaji WA Milo mitatu na MFUMO mzima WA lishe....nguvu ya kufunga FASTING katika mwili kujiponya na kujitengeneza si lazima kula Milo mitatu kwa siku.
Hapa kuna MENGI ya kuandika ila na shauri umsome DR SEBI Traditional herbalist aliyeponya magonjwa yote kwa mtindo WA maisha vyakula ,na dawa za mitishamba
Dr SEBI DR SEBI DR SEBI

4.Kuambiwa kuwa wanadamu tumetoaka a na NYANI badala tumeumbwa na Mungu.

5.Kuambiwa kuwa hakuna Mungu

6.Kuambiwa kuwa BLACK RACE watu weusi hawana mchango katika civilisation na maendeleo ya dunia ,KWA kifupi historia ya MTU mweusi imeondolewa imefichwa imegeuzwa ili MTU mweusi asijue ASILI YAKE CHIMBUKO LAKE...sisemi kwamba black race ni superior ila nasema historia yake ime fichwa.

Kuna uwezekano asilimia kubwa ya tunaodhani ni UKWELI WA mambo katika DUNIA hii tuliyonayo ni UONGO.

kuna mwanamziki aliwahi kuimba THERE IS NO TRUTH IN THIS WORLD hakuna ukweli DUNIANI ,japo alitumia tungo tata maaana nyingine ni kwamba UONGO NI MWINGI DUNIANI

7.AI ARTIFICIAL INTELLIGENCE MAROBOTI sio kitu chenye Nia njema kwa mwanadamu kama kinavyo onekana,MAROBOTI ni tool ya kuotawala DUNIA ili wanadamu wote wapokee chapa ya mnyama
MICRO CHIP ..NEURO LINK..LENGO ni KUMTAWALA mwanadamu,wanasema wamefikia uwezo WA ku mhack mwanadamu kama wanavyo HAKI computer

8.CHANJO mRNA vaccine Zina alter na kubadilisha DNA Yako,chanjo hizo za lazima zinakuja...Zina micro chip itakayo badilisha DNA Yako

9.DAWA ZA UZAZI WA mpango,naona WENGI wanaeza wakashihudia hapa madhara yake(dawa za viwandani KWA ujumla ni biashara kuna agenda

10.GMO/MBEGU ,pembejeo na mbolea za viwandani agriculture....hiyo ni biashara ,kuna agenda nyuma.

KUNA HAJA YA KURUDIA KUISHI KIASILI wale WA HADZABE wanaishi natural hawana chanjo,hawana hospitali,hawana dawa za hospitali.

Nitakuwa naongezea hapa chini UONGO mwingine tunaouamini kuwa ni KWELI kadiri nitakavyopata nafasi.
Uandishi mbovu
Ujumbe sifuri
Mnaliza server za Jf tu kudadeki zako.
 
Hata habari za Yesu ni mchongo, hakuna Mungu wa kweli anaemtoa mwanae kafara kama wanavyofanya binadamu
 
.
 
Attachments

  • 49723.jpeg
    49723.jpeg
    162.6 KB · Views: 5
 
Kwa mtazamo wa nadharia ya dunia tambarare (Flat Earth), ukaribu kati ya Alaska na Urusi unaelezewa kwa kutumia ramani maalum ya nadharia hiyo, ambayo kwa kawaida ni ramani ya makadirio ya masafa sawa kutoka ncha ya kaskazini (Azimuthal Equidistant Projection).

Katika mfumo huu, maelezo ya ukaribu wao yanakuwa kama ifuatavyo:
1. **Ncha ya Kaskazini ndio Kitovu
Kwenye muundo wa dunia flati**, Ncha ya Kaskazini (North Pole) ipo katikati kabisa ya diski ya dunia. Mabara yote yanasambaa kwenda nje kuelekea pembezoni (ambako kuna ukuta wa barafu wa Antaktika).
Kwa sababu Ncha ya Kaskazini ipo katikati, maeneo ya kaskazini mwa Urusi (Siberia) na kaskazini mwa Marekani (Alaska) yanakuwa yamebanana karibu sana na kitovu hicho cha katikati.

2. Mpangilio wa Mashariki na Magharibi
Kwenye diski tambarare, "Mashariki" na "Magharibi" sio pande zilizonyooka moja kwa moja hadi mwisho wa anga, bali ni mizunguko inayozunguka kitovu (Ncha ya Kaskazini).
Unapoenda Mashariki au Magharibi, unazunguka diski hiyo.
Urusi na Alaska zote ziko upande wa juu kabisa wa ramani hii (karibu na kitovu).
Hii ina maana kwamba Urusi ya Mashariki ya Mbali na Alaska ya Magharibi haziko kwenye "misingi miwili tofauti ya mwisho wa dunia", bali zote zinapakana kwenye duara lile lile la ndani la kaskazini karibu na Mlango wa Bahari wa Bering.

3. Visiwa vya Diomede kwenye Dunia Flati
Kuhusu ule umbali mdogo wa kilomita chache kati ya Big Diomede (Urusi) na Little Diomede (Alaska), watetezi wa dunia flati wanaeleza kuwa visiwa hivi vipo kwenye mstari ule ule wa kijiografia unaozunguka katikati ya diski. Hakuna hitaji la kukunja ramani ili vikunde pamoja; vipo mahali hapo hapo vikitenganishwa na mfereji mwembamba wa maji (Mlango wa Bering) uliopo kaskazini mwa ramani tambarare.
Elimu ya Magharibi inaweza ikawa na madhaifu yake, lakini kwenye hili la Dunia kuwa spherical nawaunga mkono. Hoja nyingi zinazotetea dunia ni flat hazina mashiko kuliko zinazotetea dunia ni kama tufe.
 
Lies is said to be Truth

and TRUTH is said to be Lies

Naamini FLAT WORLD kutoka kwenye maandiko ya biblia ,na DUNIA haizunguki IPO stationary ,ila mwezi na JUA AMBAVYO vina ukubwa SAWA vipo pande mbili tofauti juu ya uso WA DUNIA lakini ndani ya firmament DOME ,JUA na mwezi NDIVYO vinazunguka DUNIA na kuleta usiku na mchana.

Force of gravity pia ni uongo

There is no truth in this world.

Madawa ya viwandani pia ni biashara za watu

Dawa za KWELI ni mimea tiba na vyakula asilia,madawa ya viwandani ni sumu

GMO genetic modified foods ni sumu na biashara za watu

Chanjo za magonjwa pia ni biashara za watu,na mwili WA mwanadamu haihitaji chanjo

Madawa ya uzazi WA mpango pia ni sumu

MFUMO walioutengeneza WA ULAJI usiofaa ,madawa ya viwandani,vyakula na vinywaji VYA VIWANDANI,mambolea ya viwandani,machanjo ya viwandani,...vyote hivi vimetengenezwa KUHARIBU AFYA ZA WATU KUZALISHA MAGONJWA NA MAKANSA...NA FURSA ZA BIASHARA.

Tungeishi NATURALLY KAMA WA HADZABE tusingekuwa na magonjwa Wala tusingehitaji madawa na bidhaa za viwandani.

MAPINDUZI YA VIWANDA industrial revolution ndio source ya matatizo yote haya na kuharibika kwa maisha ya watu.

ELIMU TUNAYOFUNDISHWA DARASANI SIO ELIMU TUNAYOIHITAJI KWA WATU WOTE KUSOMA ELIMU YA MUONGEREZS

sisi tulihitaji ELIMU YA KWETU ya mazingira YETU,tuweze kuyatawala mazingira YETU kutokana na MAHITAJI YETU...HII ELIMU YA DARASANI..inatufanya tunakuwa WAJINGA HAITUSAIDII...ndio MAANA hata maprofesa wanajiita ni WA majalalani.

MFUMO MZIMA WA MAISHA NI FEKI

Mifumo hii ya ELIMU NA PESA imekwa kwa AJILI ya KULIMIT kuwafanya watu wasiwe na FREE MIND kuwafanya watumwa WA FIKRA..hatuhitaji elimu ya kuchora mabawa na miguu ya panzi na kukariri...HAIJIBU MATATIZO YETU TULIYONAYO.

DUNIA IMERUDI NYUMA KATIKA MAENDELEO HALISI..maendeleo tuliyonayo Leo ni ya uharibifu..NYUKLIA WEAPONS NA SILAHA ZA KIBAIOLOJIA

BILL GATES KILA SIKU ANAWAZA KUPUNGUZA IDADI YA WATU DUNIANI...LENGO KUBWA WATU WAFE WAPUNGUE..

Haya maendeleo na teknolojia unayoiona hata hiyo AI LENGO NI KUMTAWALA MWANADAMU

Mwanadamu amekuwa DHAIFU na MGONJWA kuliko wakati WOWOTE ,MAGONJWA YAMEONGEZEKA ,hata nguvu za kiume na ugumba infertility TUimeongezeka,

HII MIFUMO NI YA KISHETANI NA HAINA LENGO ZURI KWA MWANADAMU,NI SUMU KWA MWANADAMU japo IPO cated na packaged kama ASALI SUKARI ila ni SUMU.

HAKUNA UKWELI DUNIANI

THERE IS NO TRUTH IN THIS WORLD
 
1. Afya, Vyakula Asilia na Maisha ya Kihadzabe

• Mimea Tiba na Vyakula: Uko sahihi kabisa kuwa vyakula vya asili na mimea tiba vina nguvu kubwa na ndio msingi wa afya bora. Sayansi ya sasa inakubali kuwa vyakula vya viwandani (processed foods), kemikali za kilimo, na sukari nyingi ndio chanzo kikubwa cha magonjwa yasiyoambukiza kama presha, kisukari, na saratani (cancer).

• Maisha ya Hadzabe: Jamii kama Wahadzabe nchini Tanzania zinaishi maisha ya asili sana na tafiti zinaonyesha hawana magonjwa mengi ya kisasa yanayosababishwa na staili ya maisha (lifestyle diseases). Hata hivyo, changamoto kubwa ya maisha hayo ni hatari ya vifo kutokana na majeraha, maambukizi makali ya bakteria, au matatizo ya uzazi, ambayo dawa za kisasa husaidia kuyaokoa.

• Chanjo na Dawa za Viwandani: Ni kweli kuwa kuna biashara kubwa nyuma ya chanjo na dawa. Hata hivyo, kihistoria, chanjo zimesaidia kutokomeza magonjwa hatari yaliyokuwa yanaua mamilioni ya watu zamani, kama vile ndui (smallpox) na poleo (polio). Changamoto ipo kwenye usimamizi wa kibiashara na ubora.

2. Elimu na Mfumo wa Pesa (Ukoloni wa Fikra)

• Mitaala ya Elimu: Hoja yako kuhusu kukariri "miguu ya panzi" badala ya kusoma elimu inayotatua matatizo ya mazingira yako ni kilio cha Waafrika wengi. Wasomi wengi wanakubali kuwa mfumo wa elimu tuliorithi kutoka kwa wakoloni ulijengwa kutengeneza wafanyakazi (watii wa mfumo) badala ya wabunifu na wagunduzi. Kuna uhitaji mkubwa wa mageuzi ili elimu yetu ijibu matatizo ya kilimo, teknolojia, na rasilimali zetu nchini.

• Uhuru wa Fikra: Mifumo ya kiuchumi na kifedha ya sasa (fiat currency na madeni) mara nyingi huwafunga watu kwenye mzunguko wa kufanya kazi ili kulipa madeni, jambo linalobana "Free Mind" au uhuru wa kweli wa kufikiri nje ya boksi.

3. Mtazamo wa Sura na Maumbile ya Dunia

• Flat Earth na Biblia: Mtazamo wako wa dunia bapa (Flat Earth) na uwepo wa kuba (Firmament) unaendana na tafsiri halisi (literal interpretation) ya maandiko fulani ya kale ya kidini na kihistoria.
 
Back
Top Bottom