Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

unaharibu biashara za watu kiongozi
 
Duuh huo ni mtazamo wako watu wameenda mwezini wamesafiri nje kwenye dunia kuna ukanda unaitwa van allen belt huo ni ulinzi Mungu aliweka ambao yale mawe huwa yanaishia hapo lakin vyombo vilivyo jengwa vinauwezo wa kumiliki joto hilo dunia n duara alafu
 

Huu ni uongo
 
UONGO UKITAMKWA MARA NYINGI SANA KWA KURUDIA RUDIA KUKARIRISHWA..HUAMINIKA NA KUBADILIKA KUWA UKWELI...MTOTO TOKA ANAZALIWA AKIWA PRES SCHOOL ANAAMBIA DUNIA NI DUARA..DUNIA INAZUNGUKA JUA... ANARUDIA KUFINDISHWA HIVYO MIAKA YAKE YOTE..INA AMINIKA INAKUWA UKWELI.
 
Huwezi kujifunza kitu kipya kama una amini tayari unajua,huwezi kujaza maji kikombe ambacho tayari kimeshajaa,kama upo full of knowledge basi Haina haja ya kujifunza kitu kipya mana hakina nafasi kwako umeshajitosheleza na kujijaza maarifa yote.

MTU asiyetayari kupokea mabadiliko MTU asiyetayari kukaa kwenye nafasi ya unafuunzi HAWEZI kujifunza,ili ujifunze lazima ukubali kuwa mwanafunzi.
 
Turudie kuishi maisha ya KIASILI(BACK TO NATURE,NATURAL ..ule UAMSHO WA WASABATO. BACK TO EDEN uendelee...Wasabato waendelee..kuhamasisha watu kuishi KIASILI.
 

Kwanini nyinyi wakristo hamjiamini , mkijibiwa mnaufuta uzi au nikiandika uzi kuhusu ukristo mods wanaufuta ??
 
Credits to DR SEBI ,THE REAL DOCTOR DR SEBI DR SEBI. DR SEBI. DR SEBI. DE SEBI 🔥🔥🔥🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…