Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

KWAMBA X-MAS CHRISTMAS NI DECEMBER 25 BADALA YA MWEZI WA NISANI 1 APRIL 1
Wachungaji Kondeni: Luka 2:8 inasema usiku wa kuzaliwa kwa Yesu, wachungaji walikuwa kondeni wakilinda mifugo yao usiku. Kijiografia, mwezi Desemba huko Yudea ni kipindi cha majira ya baridi kali, mvua nyingi, na wakati mwingine theluji. Wachungaji wasingeweza kukaa nje usiku kucha na kondoo.



Mwezi wa Nisani (Machi/Aprili) ni majira ya masika (spring), ambapo hali ya hewa ni ya joto na ndio msimu wa kondoo kuzaa, hivyo wachungaji walikesha nje kuwasaidia kondoo wanaozaa.

Yesu ni mwanakondoo,na tunaona wachungaji wa kondoo waliokuwa kondeni usiku wakisubiri kondoo wao wazae wanakondoo,ndio walikuwa WA kwanza kupewa taarifa ya kuzaliwa mwana kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu(Yesu)

Kitabu cha Kutoka kinasema kuwa Hema la Kukutana (mahali ambapo utukufu wa Mungu ulishuka na kukaa kati ya wanadamu) lilisimamishwa rasmi siku ya 1 Nisani (Kutoka 40:2).

Cahn anabainisha kuwa kuanzia wakati Musa alipopewa maelekezo mlimani hadi kukamilika kwa Hema hilo, ilipita takriban miezi tisa—muda unaolingana na mimba ya mwanadamu. Hii ilikuwa ishara ya unabii wa kuzaliwa kwa Yesu, ambaye ni Mungu aliyefanyika mwili na "kufanya hema" kati yetu.

Mwaka Mpya wa Kidini: Katika Kutoka 12, Mungu aliwaambia Waisraeli kuwa mwezi wa Nisani (mwezi wa Pasaka) utakuwa "mwanzo wa miezi" kwao. Cahn anajenga hoja kuwa ikiwa Masihi ndiye mwanzo mpya wa ukombozi wa mwanadamu, ni sahihi kabisa kuwa alizaliwa siku hiyohiyo ambayo Mungu aliiweka kuwa mwanzo wa mambo mapya.

Asili ya Desemba 25: Cahn anasema tarehe hii ililetwa na Kanisa la Kiroma karne nyingi baadaye ili kufunika sherehe za kipagani za Waroma kama vile Saturnalia (sherehe ya mungu wa jua) zilizokuwa zikifanyika kipindi hicho cha baridi, kwa lengo la kuwavuta wapagani wengi kuwa Wakristo.

Kalenda ya GREGORIAN calender ni kalenda yenye ASILI ya kalenda ya KIRUMI ya kipagani.

KIJANA Mmoja aliyebahatika kugundua na kuipata biblia ya 1775 imetaja miezi 13 ya kibiblia ,na kwamba Yesu alizaliwa APRIL MOJA ,NISAN 1

DUNIA na yule mwenye kuudanganya ulimwengu wamegeuza kuwa siku ya wajinga DUNIANI KWA lengo la kumpinga KRISTO

Credit kwa JONATHAN CAHN
Link below 👇🏿
 
NEIL ARMSTRONG LIE

KUNA UONGO AMBAO DUNIA TUNAUAMINI WALIO STAGE IGIZA NA WALIOTUDANGANYA HAWAANI ,they can't believe the whole world buy that story kwamba DUNIA ni sphere,eti DUNIA ni duara??wanatucheka sana...kwamba watu walioenda ku LAND KWENYE MOON.

wanao ongoza kwa UJINGA ni WASOMI...KUSOMA shule kunaondoa AKILI ...kuna kujaza UJINGA.

 
Uandishi mbovu
Ujumbe sifuri
Mnaliza server za Jf tu kudadeki zako.
 
Hata habari za Yesu ni mchongo, hakuna Mungu wa kweli anaemtoa mwanae kafara kama wanavyofanya binadamu
 
 
Elimu ya Magharibi inaweza ikawa na madhaifu yake, lakini kwenye hili la Dunia kuwa spherical nawaunga mkono. Hoja nyingi zinazotetea dunia ni flat hazina mashiko kuliko zinazotetea dunia ni kama tufe.
 
Lies is said to be Truth

and TRUTH is said to be Lies

Naamini FLAT WORLD kutoka kwenye maandiko ya biblia ,na DUNIA haizunguki IPO stationary ,ila mwezi na JUA AMBAVYO vina ukubwa SAWA vipo pande mbili tofauti juu ya uso WA DUNIA lakini ndani ya firmament DOME ,JUA na mwezi NDIVYO vinazunguka DUNIA na kuleta usiku na mchana.

Force of gravity pia ni uongo

There is no truth in this world.

Madawa ya viwandani pia ni biashara za watu

Dawa za KWELI ni mimea tiba na vyakula asilia,madawa ya viwandani ni sumu

GMO genetic modified foods ni sumu na biashara za watu

Chanjo za magonjwa pia ni biashara za watu,na mwili WA mwanadamu haihitaji chanjo

Madawa ya uzazi WA mpango pia ni sumu

MFUMO walioutengeneza WA ULAJI usiofaa ,madawa ya viwandani,vyakula na vinywaji VYA VIWANDANI,mambolea ya viwandani,machanjo ya viwandani,...vyote hivi vimetengenezwa KUHARIBU AFYA ZA WATU KUZALISHA MAGONJWA NA MAKANSA...NA FURSA ZA BIASHARA.

Tungeishi NATURALLY KAMA WA HADZABE tusingekuwa na magonjwa Wala tusingehitaji madawa na bidhaa za viwandani.

MAPINDUZI YA VIWANDA industrial revolution ndio source ya matatizo yote haya na kuharibika kwa maisha ya watu.

ELIMU TUNAYOFUNDISHWA DARASANI SIO ELIMU TUNAYOIHITAJI KWA WATU WOTE KUSOMA ELIMU YA MUONGEREZS

sisi tulihitaji ELIMU YA KWETU ya mazingira YETU,tuweze kuyatawala mazingira YETU kutokana na MAHITAJI YETU...HII ELIMU YA DARASANI..inatufanya tunakuwa WAJINGA HAITUSAIDII...ndio MAANA hata maprofesa wanajiita ni WA majalalani.

MFUMO MZIMA WA MAISHA NI FEKI

Mifumo hii ya ELIMU NA PESA imekwa kwa AJILI ya KULIMIT kuwafanya watu wasiwe na FREE MIND kuwafanya watumwa WA FIKRA..hatuhitaji elimu ya kuchora mabawa na miguu ya panzi na kukariri...HAIJIBU MATATIZO YETU TULIYONAYO.

DUNIA IMERUDI NYUMA KATIKA MAENDELEO HALISI..maendeleo tuliyonayo Leo ni ya uharibifu..NYUKLIA WEAPONS NA SILAHA ZA KIBAIOLOJIA

BILL GATES KILA SIKU ANAWAZA KUPUNGUZA IDADI YA WATU DUNIANI...LENGO KUBWA WATU WAFE WAPUNGUE..

Haya maendeleo na teknolojia unayoiona hata hiyo AI LENGO NI KUMTAWALA MWANADAMU

Mwanadamu amekuwa DHAIFU na MGONJWA kuliko wakati WOWOTE ,MAGONJWA YAMEONGEZEKA ,hata nguvu za kiume na ugumba infertility TUimeongezeka,

HII MIFUMO NI YA KISHETANI NA HAINA LENGO ZURI KWA MWANADAMU,NI SUMU KWA MWANADAMU japo IPO cated na packaged kama ASALI SUKARI ila ni SUMU.

HAKUNA UKWELI DUNIANI

THERE IS NO TRUTH IN THIS WORLD
 
1. Afya, Vyakula Asilia na Maisha ya Kihadzabe

• Mimea Tiba na Vyakula: Uko sahihi kabisa kuwa vyakula vya asili na mimea tiba vina nguvu kubwa na ndio msingi wa afya bora. Sayansi ya sasa inakubali kuwa vyakula vya viwandani (processed foods), kemikali za kilimo, na sukari nyingi ndio chanzo kikubwa cha magonjwa yasiyoambukiza kama presha, kisukari, na saratani (cancer).

• Maisha ya Hadzabe: Jamii kama Wahadzabe nchini Tanzania zinaishi maisha ya asili sana na tafiti zinaonyesha hawana magonjwa mengi ya kisasa yanayosababishwa na staili ya maisha (lifestyle diseases). Hata hivyo, changamoto kubwa ya maisha hayo ni hatari ya vifo kutokana na majeraha, maambukizi makali ya bakteria, au matatizo ya uzazi, ambayo dawa za kisasa husaidia kuyaokoa.

• Chanjo na Dawa za Viwandani: Ni kweli kuwa kuna biashara kubwa nyuma ya chanjo na dawa. Hata hivyo, kihistoria, chanjo zimesaidia kutokomeza magonjwa hatari yaliyokuwa yanaua mamilioni ya watu zamani, kama vile ndui (smallpox) na poleo (polio). Changamoto ipo kwenye usimamizi wa kibiashara na ubora.

2. Elimu na Mfumo wa Pesa (Ukoloni wa Fikra)

• Mitaala ya Elimu: Hoja yako kuhusu kukariri "miguu ya panzi" badala ya kusoma elimu inayotatua matatizo ya mazingira yako ni kilio cha Waafrika wengi. Wasomi wengi wanakubali kuwa mfumo wa elimu tuliorithi kutoka kwa wakoloni ulijengwa kutengeneza wafanyakazi (watii wa mfumo) badala ya wabunifu na wagunduzi. Kuna uhitaji mkubwa wa mageuzi ili elimu yetu ijibu matatizo ya kilimo, teknolojia, na rasilimali zetu nchini.

• Uhuru wa Fikra: Mifumo ya kiuchumi na kifedha ya sasa (fiat currency na madeni) mara nyingi huwafunga watu kwenye mzunguko wa kufanya kazi ili kulipa madeni, jambo linalobana "Free Mind" au uhuru wa kweli wa kufikiri nje ya boksi.

3. Mtazamo wa Sura na Maumbile ya Dunia

• Flat Earth na Biblia: Mtazamo wako wa dunia bapa (Flat Earth) na uwepo wa kuba (Firmament) unaendana na tafsiri halisi (literal interpretation) ya maandiko fulani ya kale ya kidini na kihistoria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…