Uongo gani mkubwa uliwahi kuongopewa na mwenza wako ukaja kujua ukweli?

Pole sana ndugu yangu......hizi ni nyakati ngumu sana kupenda ingawa haipendezi lakini ni afadhali ubakie single utakuwa na amani.......
 
Dah mie nililea mimba hewa na watoto mapacha wakazaliwa halafu wakafa nikaombwa na hela ya kuwafanyia arobaini dah WE BINTI WA KITANGA nashkuru sana aisee
Pole ndugu
Kwenye hili shimo la mapenzi hakuna aliyesalimika ndugu......kila mtu ana lake jambo moyoni......
 
Me sijawahi kutana na uongo wa kutisha ni hizi za lashalasha maana Sina tabia ya kuwa na manzi wengi
 
Me sijawahi kutana na uongo wa kutisha ni hizi za lashalasha maana Sina tabia ya kuwa na manzi wengi
Siwezi kusema kuwa umesalimika maana bado safari ni ndefu na upande wa pili wameshadhamiria ubaya......kitu pekee kitakacho kuokoa kwenye hili ni FAHAMU ZAKO......

Kamwe usiache fahamu zako mbali na moyo wako.......USIBEBWE NA MANENO MATAMU KWENYE SAUTI NZURI KAMA KASUKU........
 
Nakubali mkuu hizi vitu ukiingia mzima umeisha
 
Mwaka 2016 alinidanganya ana mimba, nmelea mimba mpaka kazaa siku wah kumuona, kaja kasema mtoto kafa, nakuja kuambiwa kumbe hakufa. Kwa ufupi alinipiga matukio had na mtoto nikamwachia
Dah watu wanaamini watu kirahisi sana
 
Dah watu wanaamini watu kirahisi sana
Mara nyingi hutangulia mapenzi mazito kabla ya hali hii na kama unavojua kwenye ulimwengu wa mapenzi upofu ndio hali halisi......unakuja kuuona ukweli baadae sana mapenzi yakishaondoka......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…