Uongo haukwepeki ili uishi vizuri

Uongo haukwepeki ili uishi vizuri

Apollo one spaceship

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2021
Posts
245
Reaction score
457
Ukiwa na dingi mkali au mbabe, huyu lazima umdanganye, hakuna namna

Ili umnase demu lazima utupie uongo

Walimu wanoko, dawa yao uongo tu.

Hata kanisani wengi ni waongo na wanafiki, nyuma wameficha ukweli mchungu

Na sehemu nyingi, uongo haukwepeki

Uongo ni sehemu ya maisha yetu. Ukweli kidogo uongo kidogo ndo maisha yanavoenda.

Huku kuogopa kusema ukweli ni matokeo ya mfumo wa udikteta na ubabe katika ngazi ya familia.

Tulijifunza tangu utotoni kama njia ya kujisafisha mbele ya wazazi wanaokaripia sana.

Mpaka mtu unakuwa mtu mzima unajikuta umebobea kwenye uongo bila kujua.

Uongo haukwepeki.
 
Back
Top Bottom