Uongo huaminika sana

Kuna jamaa kamuuliza mwenzie hapa.
Hapa nyumbani umeshindwa kule kwao utaweza?
 
Hivi PSG, Man city waseme nini ? Katika msimu mmoja tu Yanga unataka iwe kama Al Ahly?
 
Takwimu zinaongea, Tafuta timuyako yoyote unayo iamini kuwa yenyewe ni Bora apa Tanzania kuliko Yanga alafu linganisha izo takwimu.
Huitaji kubishana na mtu, fanya tathmini na atuhitaji jibu sisi majibu tunayo ila jiridhishe wewe mwenyewe.
Jamaa anaongelea kimataifa wewe uko kitaifa

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mbinu mlizowapa hao wageni hazikuwasaidia, na hata nyie zimeshindwa kuwasaidia kwakua ni za kijinga.
Sasa kama za kijinga si mnapotezea malalamiko ya nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…