Tetesi: Uongo juu ya JKT

WEWE UNADHANI KILA KAMBI MAFUNZO NI HAYO HAYO NA TABIA ZA WAKUFUNZI NI ZILE ZILE ....KWANINI USISEME KAMBI ULIYO KWENDA WEWE NDIYO ILIKUWA NA MAFUNZO MEPESI ...PENGINE WAKUFUNZI WALIKUWA WACHOVU NA WANA MAMBO YAO BINAFSI ...kwa kuwa unapokuta mafunzo makali jua kuwa na wakufunzi wanasulibika pia
 
Hilo la kusaka ajira ndo nataka nikalionje ahahah..
Au kwa kuwa nilipita wata ni exclude kule mkuu
Kama una connection ya maafande huko juu nenda kama hauna acha kupoteza muda.

Wengine kwenye ajira anaitwa kwa simu tu mwishoni kwenye kozi wewe unakomaa unarudi home😀
 
Kama una connection ya maagande huko juu nenda kama hauna acha kupoteza muda.

Wengine kwenye ajira anaitwa kwa simu tu mwishoni kwenye course wewe unakomaa unarudi home😀
Uko sahihi mkuu unapambana for nothing😁
 
Kama una connection ya maagande huko juu nenda kama hauna acha kupoteza muda.

Wengine kwenye ajira anaitwa kwa simu tu mwishoni kwenye course wewe unakomaa unarudi home😀
Bora iwe umenistua maana kule kipindi cha mujibu unakuta watu wanasema wamekaa kule miaka zaidi ya mitatu wakiwa service man tu
 
Muda wa kozi kila mtu lazima ale kozi haijalishi kambi gani labda uwe mgonjwa wa kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…