Tetesi: Uongo juu ya JKT

Kwa mwaka ulioenda una haki ya kusema hivyo maana tayari yalikuwa yameshafanyika maboresho mengi wakati wa mafunzo
 
Ndio shoo shoo ukijijua wewe afya yako haieleweki usikanyage HUKU utakata pumzi, kula utakula Ila utaenjoy shoo
Mkuu upo kikosini nini 😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁
Nna mpango huo mwaka huu nije huko
 
hapo kwenye six weeks kulala saa sita uongo labda kama ulikuwa mujibu watu wanaoenda kama kujitolea ndio wanapicha halis ya jeshi niny mujibu mnakuwa na maelekezo yenu ndio maana unaona mambo sio.magum
 
MUda hqupo constant but kuanzia saa sita hadi 8 ni muda wa kulala
 
Kama unawasemea Mujibu wa Sheria ni sawa! Lakini mambo ni tofauti Kwa wasaka ajira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…