myself scenario
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 347
- 213
Picha za nini sasa? Kwani wewe huwajui hao?
Weka zako nzito basi tuzioneHoja zako nyepesi sana we jamaa!!
Jide ni kiboko enzi hizo umeona hii Shepuu ni HatareeSema huyu hapa Godzilla...
Jide autoe wapi huo mshepu?
Halafu ingekuwa poa zaidi kama tungepata picha ya pamoja (Jide & zilla)
Hapana...huyu kama sio mdada anayefanana na Jide basi ni Photoshop. [emoji12] [emoji12]Jide ni kiboko enzi hizo umeona hii Shepuu ni Hataree
lol photo shop si inajulikana ama mrecomend mwenzako kidg jaman chaaHapana...huyu kama sio mdada anayefanana na Jide basi ni Photoshop. [emoji12] [emoji12]
Mkuu unavyomchambua mwanaume namna hiyo unamaanisha wewe uko kamiliKwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazajia wa clouds fm japo kwa sasa sijamsikia ,sijui katemwa au katema,NINAMPENDA SANA,ila kashawahiwa ila kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani.kwa sasabu godizilla sio hb na wala hajui hata kuvaa.yaani ukiwaangalia hata hawaendan