Uongo mbaya, Dee Andy haendani na Godzilla

Uongo mbaya, Dee Andy haendani na Godzilla

Aisee mbn wpo fresh tuu, kwn mapenz ni u_cute na u_handsome?
 
Sasa mbona mada na avatar ya mtoa mada haviendani ..........

Kweli kurandana kitabia ni kazi sana hasa mwanaume ukikosa kazi ya kufanya
 
Hujaona wote wanapenda maisha ya kiamerika amerika? Pia mapenzi sio namna mnavoonekana mbele ya watu.
 
DND12.PNG
 
Mana sielewi kweli dume zima unajadili mapenz ya wenzako.. Eti oooh hajui kuvaa etii ooh sio HB ... Khaaaa kweli wabongo hatuishiwa sababu na mada za kipuuz
 
Sema huyu hapa Godzilla...
Jide autoe wapi huo mshepu?
Halafu ingekuwa poa zaidi kama tungepata picha ya pamoja (Jide & zilla)
Jide ni kiboko enzi hizo umeona hii Shepuu ni Hataree

jide1.jpg
 
Hapana...huyu kama sio mdada anayefanana na Jide basi ni Photoshop. [emoji12] [emoji12]
lol photo shop si inajulikana ama mrecomend mwenzako kidg jaman chaa
 
Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazajia wa clouds fm japo kwa sasa sijamsikia ,sijui katemwa au katema,NINAMPENDA SANA,ila kashawahiwa ila kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani.kwa sasabu godizilla sio hb na wala hajui hata kuvaa.yaani ukiwaangalia hata hawaendan
Mkuu unavyomchambua mwanaume namna hiyo unamaanisha wewe uko kamili
 
Back
Top Bottom