Exactly mkuu nimeshangaaa kweli.Hii aibu kwa mwanaume kuandika huu uzi
Ko wewe unamfananisha Joh Makini na vitu vya kijinga?kipenda roho huzua msala,unakutana na demu mkali afu anatembea na fala-joh makini
😀😀😀😀Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazajia wa clouds fm japo kwa sasa sijamsikia ,sijui katemwa au katema,NINAMPENDA SANA,ila kashawahiwa ila kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani.kwa sasabu godizilla sio hb na wala hajui hata kuvaa.yaani ukiwaangalia hata hawaendan
Wewe ni hbKwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazajia wa clouds fm japo kwa sasa sijamsikia ,sijui katemwa au katema,NINAMPENDA SANA,ila kashawahiwa ila kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani.kwa sasabu godizilla sio hb na wala hajui hata kuvaa.yaani ukiwaangalia hata hawaendan
wewe unaona ni ujinga eeh!basi sawa..Ko wewe unamfananisha Joh Makini na vitu vya kijinga?
Weka picha tuwaone
Tuwekee picha yako ww basi tuone mnavyoendana mkuuKwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazajia wa clouds fm japo kwa sasa sijamsikia ,sijui katemwa au katema,NINAMPENDA SANA,ila kashawahiwa ila kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani.kwa sasabu godizilla sio hb na wala hajui hata kuvaa.yaani ukiwaangalia hata hawaendan
Hata B12 n shadee hawaendan sijui b12 aliona nn pale ila mapenzi upofuKwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazajia wa clouds fm japo kwa sasa sijamsikia ,sijui katemwa au katema,NINAMPENDA SANA,ila kashawahiwa ila kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani.kwa sasabu godizilla sio hb na wala hajui hata kuvaa.yaani ukiwaangalia hata hawaendan