Uongo mbaya, Dee Andy haendani na Godzilla

mkuu ndo mapenzi hayo mwingine utaona anapendw tu watoto wazur hana pesa wala usharo ila mwingine mpaka aonge ndo apige so kama huna bahati ya kupendw na warembo vumilia tu usiumie kias hichi
 
Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazajia wa clouds fm japo kwa sasa sijamsikia ,sijui katemwa au katema,NINAMPENDA SANA,ila kashawahiwa ila kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani.kwa sasabu godizilla sio hb na wala hajui hata kuvaa.yaani ukiwaangalia hata hawaendan
😀😀😀😀
 
Wewe ni hb
 
Unaendana nae wewe, kamwambie tu aanze kukupekenyua marinda
 
wengine hatumjui ungeweka kapicha ingekuwa rahisi kulinganisha.
 
Weka picha tuwaone
imgres
huyo hapo hb wenu
 
Attachments

  • cover170x170.jpeg
    cover170x170.jpeg
    4.8 KB · Views: 64
Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazajia wa clouds fm japo kwa sasa sijamsikia ,sijui katemwa au katema,NINAMPENDA SANA,ila kashawahiwa ila kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani.kwa sasabu godizilla sio hb na wala hajui hata kuvaa.yaani ukiwaangalia hata hawaendan
Tuwekee picha yako ww basi tuone mnavyoendana mkuu
 
Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazajia wa clouds fm japo kwa sasa sijamsikia ,sijui katemwa au katema,NINAMPENDA SANA,ila kashawahiwa ila kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani.kwa sasabu godizilla sio hb na wala hajui hata kuvaa.yaani ukiwaangalia hata hawaendan
Hata B12 n shadee hawaendan sijui b12 aliona nn pale ila mapenzi upofu
 
Ndio maisha yanavyokuwa Mzee, Kwani mengi anaendana na Kyline?
 
Back
Top Bottom