juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
- Thread starter
-
- #101
Kumbe kuna wivu wa kike na wa kiume?Wivu wa kike
Kwani Mimi nina tatizo gani mkuu? Kama sura yangu ni hb nisiseme?Watu kama nyie ndo mh Makonda katukataza kuwafollow
Kwani mapenzi ni kuvaa tu na uhandsome?,Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazaji wa Clouds FM japo kwa sasa sijamsikia; sijui katemwa au katema.
NINAMPENDA SANA ila kashawahiwa. Kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani kwa sasabu GodZilla sio HB na wala hajui hata kuvaa. Yaani ukiwaangalia hata hawaendani.
Wa kike hubase kwenye maisha ya mtu wa kiume ni wa maendeleoKumbe kuna wivu wa kike na wa kiume?
Hata baba yangu ni hb kama MimiMapenz yangekuwa u hb wewe usingezaliwa
Nilikwambieni,godzilla asingeweza kumtuliza binti mzuri kama yuleuchawi huo mkuu hadi wameachana kweli sasa. Ona sasa godzilla kila interview akiulizwa swali anajibu tofautiiii
Hahahahahaaaaaaawewe unayejua kuvaa subiri aje mwanamitindo akuchumbie!
Mbona kamtu kenyewe kakipisi watu wafupi mna matatizo sana mwanaume anajisifia sura nzuri hujui unaweza kua chakula cha mtuNdio Mimi ni hb,kama mnavojua huwa natumia jina langu la ukweli na hata avatar yangu ni ya ukweli na hata picha naweka tu za ukweli.nicheki kama nafanana na zilla au na bwana ako,watu tulibarikiwa sura na hata pesa pia ,eyooo nicheki,nicheki[emoji116] [emoji116] View attachment 371230
FaraoKwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazaji wa Clouds FM japo kwa sasa sijamsikia; sijui katemwa au katema.
NINAMPENDA SANA ila kashawahiwa. Kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani kwa sasabu GodZilla sio HB na wala hajui hata kuvaa. Yaani ukiwaangalia hata hawaendani.
Nimekupenda bure yaan hahhaha uwiiiiiiwewe unayejua kuvaa subiri aje mwanamitindo akuchumbie!
Mkuu taratibu basi huyu ni.jide kwelJide ni kiboko enzi hizo umeona hii Shepuu ni Hataree
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mdogo wakeMkuu taratibu basi huyu ni.jide kwel
Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazaji wa Clouds FM japo kwa sasa sijamsikia; sijui katemwa au katema.
NINAMPENDA SANA ila kashawahiwa. Kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani kwa sasabu GodZilla sio HB na wala hajui hata kuvaa. Yaani ukiwaangalia hata hawaendani.
Hajui Kuvaa?Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazaji wa Clouds FM japo kwa sasa sijamsikia; sijui katemwa au katema.
NINAMPENDA SANA ila kashawahiwa. Kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani kwa sasabu GodZilla sio HB na wala hajui hata kuvaa. Yaani ukiwaangalia hata hawaendani.
Mzee mwenzangu kitambo! Kwema lakini ndugu yangu?kwa kweli ni changamoto hiyo.Ndio maana wazee wetu walisisitiza sana watoto wa kiume kupelekwa jandoni........
Haya hayawezi kuandikwa na kijana wa kiume aliyekaa jandoni......