Uongo mbaya, Dee Andy haendani na Godzilla

Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazaji wa Clouds FM japo kwa sasa sijamsikia; sijui katemwa au katema.

NINAMPENDA SANA ila kashawahiwa. Kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani kwa sasabu GodZilla sio HB na wala hajui hata kuvaa. Yaani ukiwaangalia hata hawaendani.
Kwani mapenzi ni kuvaa tu na uhandsome?,
 
uchawi huo mkuu hadi wameachana kweli sasa. Ona sasa godzilla kila interview akiulizwa swali anajibu tofautiiii
 
Mapnz ni HISIA tu... Kwani bila hisia huyo unayemuona mrembo au HANDSOME ni UCHAFU TU
 
Ndio Mimi ni hb,kama mnavojua huwa natumia jina langu la ukweli na hata avatar yangu ni ya ukweli na hata picha naweka tu za ukweli.nicheki kama nafanana na zilla au na bwana ako,watu tulibarikiwa sura na hata pesa pia ,eyooo nicheki,nicheki[emoji116] [emoji116] View attachment 371230
Mbona kamtu kenyewe kakipisi watu wafupi mna matatizo sana mwanaume anajisifia sura nzuri hujui unaweza kua chakula cha mtu
 
Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazaji wa Clouds FM japo kwa sasa sijamsikia; sijui katemwa au katema.

NINAMPENDA SANA ila kashawahiwa. Kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani kwa sasabu GodZilla sio HB na wala hajui hata kuvaa. Yaani ukiwaangalia hata hawaendani.
Farao
 
Jide ni kiboko enzi hizo umeona hii Shepuu ni Hataree

jide1.jpg
Mkuu taratibu basi huyu ni.jide kwel
 
Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazaji wa Clouds FM japo kwa sasa sijamsikia; sijui katemwa au katema.

NINAMPENDA SANA ila kashawahiwa. Kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani kwa sasabu GodZilla sio HB na wala hajui hata kuvaa. Yaani ukiwaangalia hata hawaendani.

Kuna mwanamuziki gani wa bongo fleva anajua kuvaa? Jibu ni hakuna, wote ni wababaishji tu.
 
Kwanza niweke wazi tu kwamba huyu dada alikuwa ni mtangazaji wa Clouds FM japo kwa sasa sijamsikia; sijui katemwa au katema.

NINAMPENDA SANA ila kashawahiwa. Kuwa na jamaa yule mwanamuziki wa freestyle hawaendani kwa sasabu GodZilla sio HB na wala hajui hata kuvaa. Yaani ukiwaangalia hata hawaendani.
Hajui Kuvaa?
Unamaanisha nini unaposema hajui kuvaa?
 
Back
Top Bottom