Uongo mbaya, jamhuri wamejipanga dhidi ya kesi ya Mbowe

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!

Nafuatia kwa karibu sana hii kesi ya mbowe ila jamuhuri wamejipanga kwa ushahidi.

Binafsi naona meli inazama taratibu huku kelele,ambazo hazitasaidie kuokoa meli zikiongezeka.

Kwa ushahidi sidhani naona kama umenyooka kuliko hata ule wa Sabaya wa kuunga unga...na technologia aidanganyi...sijui tusubiri.

Nimeiyogopa jamhuri!!

Propaganda za vyomba habari na mitandaoni na hazitamsadia yule bwana.
 
Tusisahau kuwa wapo hata matajiri wapuuzi
 
Gaidi anaomba bora Magufuli angekuwa hai
 

Na uccm wangu hii kesi serikali ni aibu tupu ushahidi wa kiutopolo nani ashindwe. Kesi ya utopolo ubatizo wake ni utopolo. Dhihaka kwa mahakama na fani ya sheria.
This is a kind of its own on political spinning. Irregular and infantry spinning, fake and illogical laps are exposing a demising state.
 
Kwani watu wa twita wanasemaje kuhusu huyu shahidi wa leo
 
Leo wamesema wanasusia kutumia mtandao wa Tigo. Nadhani hii itasaidia Mbowe kushinda [emoji23][emoji23]
 
Huwa na jiuliza is it possible hii kesi ni yakunga..na kama ni yakutunga niamini kesi ya namna gani sasa?
 
Mkuu we waache tu, lakini Gaidi na Hujumu Uchumi Mbowe LAZIMA lile mvua za kutosha!
 
Alipataga koma baada ya lile lasha lake kula 30 yrs Kisongo. Amefufuka sasa.
Namwambia karibu tulijenge taifa na sii kulibomoa taifa, tuuvae uzalendo halisi na tuuvue uzalendo maslahi.
 
Mkuu na hii post utalipwa ?Bado mnalipwa 7000/?.Mbowe hata wakimfunga hakuna shida tunataka katiba mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…