Dreamchaserthedon
Member
- Apr 19, 2020
- 23
- 29
🤣🤣🤣🤣 Akikujibu nitagMkuu taja show 5 tu alizopiga Harmonize nje ya Tanzania akiwa out of WCB? tuanzia hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anatuona sisi sijui wanafunzi wa kindergartenAisee jamaa umeongea uongo ulopitiliza.Konde alifanya shoo gani za ulaya baada ya kutoka WCB?Au wewe uko ulimwengu gani?
Naona kaukimbia uzi wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akikujibu nitag
Hahaha mnyakyusa mwenzio yule mr nyegeziRayvany ana wimbo wa wa coronavirus COVID-19, ni mbaya Sana nauonaga TBC peke Yake kifurushi Cha Dstv kikikata
Mbona show zao hawaingii watu milioni mojaUkubali ukatae wcb ndio label yenye funbase kubwa kwa hapa tz
Alietangulia katangulia tu
Wewe msanii wako anaingiza watu wangapi?Mbona show zao hawaingii watu milioni moja