Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Maamuzi ya mimi kuwepo ni wazazi wangu waliyafanya , apa nilipo ni juhudi zangu na uwezo wangu na baadhi ya watu walionizunguka na mazingira, hakuna jambo jema bila baya , na hakuna baya bila kuona jema ukalilinganisha .

Maisha yapo pande mbili ili kufanya mizani ikae sawa .

Ata dhana ya Mungu ilibuniwa kwanza baade ilibuniwa ya shetani ili kupata mahali pakudondoshea jumba bovu ili mizani ikae sawa .
 
Ofcoz umejitahid kufikiri ... ila tatizo uko shallow in deep ndo maana unaropoka, sas ule mwili wa firaun pale upo kam pambo au vp kaa chin usome uelewe then kam huamin ukahakikishe.
 

Mkuu mnasoma hata kwenye sayansi kuhusu reproduction, ni Mungu ndio aliifanya ifanyike hivyo
Wazazi wako walitekeleza tu Mungu alichopanga

Mungu ametupa akili na uhuru ni haki yako kusema ni juhudi zako zimekufikisha hapo
Mungu hajasema uishi tu bila kutumia maarifa aliyokupa utaangamia
 
Mkuu haujakaa kuongelea uhalisia unaongea mahubiri tu , ndio maana mkiambiwa Mungu hayupo kwenye uhalisia mnapoteana .
 
Ofcoz umejitahid kufikiri ... ila tatizo uko shallow in deep ndo maana unaropoka, sas ule mwili wa firaun pale upo kam pambo au vp kaa chin usome uelewe then kam huamin ukahakikishe.
Eeh ahh elimu ndogo Sana ndugu, Kwan mummy hapo misri Yuko Peke Yake, wapo wengi Tu,

Maeneo ya Mongolia, na mengi Tu ya early civilization, kuna mummy,

Huko misikitini munafundishana upumbavu Tu
 
Mungu kushusha kitabu cha dini, aloo!
 
Muda haudanganyi, bado hamujasema, mtasema tu.
 
Huu ujasiri unautoa wapi ndugu yangu?

Mungu yupo na hakika wakati ukifika utajutia haya uliondika

Walikuwepo wengi waliompinga lakini sasa wako wapi?
Hata wewe utapita lakini Neno la MUNGU litasimama daima hadi ukamilifu wa dahari
Hivi unajua kwanini watu wanapinga dhana ya uwepo wa Mungu?
 
Kwahiyo kutokujua Hayo ndio inatulazimu kuabudu na kubuni buni mambo?
 
Hoja ya misingi ni kwamba kimantiki, kidini, kiasili na kijamii, uhalisia wa uwepo wa Mungu uko bayana.

Kimantiki, kwa mfano, Mungu ndiye chimbuko la vitu vyote. Yeye ndiye chanzo kikuu cha uwepo na uhai.

Tunazaliwa na kuishi kwa sababu ya nguvu asilia ambayo Yeye ameiweka na anaiongoza.

On the other hand, when one denies the existence of God, the natural question arises then that on which basis do they assert their opinion?

Because every statement must be hung on some tangible arguments.

We have given you just one of the solid arguments supporting the existence of God, and you seem to have produced none in contrast.

Why? Because there is none. Simple and clear.

Naona unatema yai sasa[emoji23]....Wewe hizi information za Mungu na uumbaji wake umezipata wapi?
Ulikutana naye akakuambia?
Au umesoma barua za Paulo kwa Wakolosai?
Au umesoma hekaya za Mudi?
Rejea jibu hapo juu.

Again, hizi taarifa kutokana na vyanzo mbalimbali ulivyotaja ni vijazilizo kwenye hoja kuu kwamba Mungu anajulikana kwa wote kwamba yupo.

Hata bila hizo taarifa, bado ukweli wa uwepo Wake ni yakinifu kama jua la adhuhuri.

Here is something that may help you. Anything that our collective consciousness can conceive and perceive, that particular thing exists in some form or another.

It would be impossible for our intuitive intelligence to conceive a God who doesn't really exist.

Individuals who deny the existence of God simply do so, not because they cannot comprehend the fact and corresponding proofs, but rather that they believe they have sufficient reasons to put it off.

That's the problem.

Kwahiyo mimi nimeuliza swali na wewe unajibu kwa kuuliza swali na mimi najibu kwa kuuliza swali....... tutafika kweli mkuu?

THIBITISHA UWEPO WA MUNGU tufunge mjadala mkuu
Kama maswali hayo ya to and fro yana mantiki, kuna ubaya gani?

Maswali ndiyo namna bora ya kuufanya ubongo wako uamke na kufunguka, baada ya kupata utambuzi wa hoja kinzani.

Sijui unanielewa kweli?

Ati kama Mungu hayupo nani aliweka sukari kwenye embe dodo?.......... kwamba huu ndio UTHIBITISHO wa uwepo wa Mungu?

Kuamini hizi hekaya inabidi ujitoe ufahamu aisee
Hizo ni leading questions. Don't ever take them lightly.

Ndiyo maana wakati mwingine huwezi kufanya mjadala wenye maana na staha, kwa sababu unadhani upande mwingine wao hawatumii akili, hivyo wanastahili kuitwa wapuuzi.

That's presumption.

Umesema ni lazima ujitoe ufahamu ili uelewe.

Uko sahihi. Bila kujifunza kwa utulivu na kuona mambo kwa jicho la tatu, ni mtihani kwelikweli kuelewa.

Kwa kupitia milango ya fahamu Tunatambuaje uwepo wa Mungu?
Kwa kuchunguza na kufuatilia umantiki wa hoja.

People will tell you they don't have an iota of faith, at the same time they may claim to trust whatever their brain and consciousness tell them.

Isn't that inconsistency? Where do we draw the line?

Kasome The Caesar'messiah and the Roman conspiracy to invent Jesus,,mm mpka pause laniishia
Kwa hiyo maudhui ya hiki kitabu uliamini tu au ulithibitisha ukweli wa hoja husika?

I mean, umejuaje kwamba ni uongo? Au, msimamo wako ni upi? Maana umeishia tu kwamba ulikosa pozi.

By the way, kuistaajabia hoja fulani mpya, ndiyo sifa kuu ya akili zetu za kibinadamu.

It's another way by which we unwittingly acknowledge our limitations and finiteness.

No wonder the Great Archimedes is said to have cried ^Eureka,^ and eventually came up with principles of flotation.

lkn xax mm nakuunga mkono kweny muktadha wa dini jinsi wanavyomuelezea MUNGU sivyo kabisa,na ndio maana tunafeli sisi waafrika ktka nyanja mbali mbali
Wanamwelezeaje Mungu kwa namna unayodhani ^sivyo kabisa^?


Haya hiyo Imani tutaitambuaje?
By involving every one of your senses. Faith comes after our mind, or natural consciousness has been fully convinced about a particular matter in question.

A religion that professes blind faith is a dead religion.

We trust God exists because we have unquestionably solid proofs for that.

Alafu Mungu Katoa mitume na vitabu vYake mashariki ya Kati TU, Australia, Africa, America N,S, Europe hakutoa Mtume hata mmoja, Mungu ni mbaguzi #1.
Kama huo ndio ubaguzi, basi ubaguzi ni overrated.

You don't really believe what you just said. Do you?

^Mbaazi ikikoswa maua, hulisingizia jua.^

Ni kwel kabisa kwa sababu Mungu ni dhana tu iliyokichwani kwa mtu alie aminishwa.

Kama Mungu sio kiumbe mbona anasifa za kiumbe hai

Kusikia
Kunusa .
Kuona
Kukasirika
Kusema

Mungu ni kiumbe cha kufikirika.
Kuna sifa ambazo Mungu anaakini (share) na viumbe Wake.

Mfano uhai, uwepo, na mengine tajwa hapo juu.

Kuna sifa alizo nazo Yeye tu: uweza wote, umilele, maarifa yote, nk.

Space and Time, ni sisi binadamu tulio invent,
Kwenye vitabu vyenu hawajaeleza issue ya space and time.

Na Kwa mujibu ya nadharia ya space and time,
Hakuna kinacho exists nje ya space and time
Again, human can never conceive or bring about something that doesn't exist. This is why they're called inventors and discoverers.

We are not creators in the truest sense of the word.

The worst thing one can do is misunderstand or distort whatever they have conceived or invented.

Kuhusu dhana ya space and time katika Bible, fikiria tena vizuri kabla hujasema hivyo wakati mwingine.

Do you even read it? I highly recommend you do it.

Ata dhana ya Mungu ilibuniwa kwanza baade ilibuniwa ya shetani ili kupata mahali pakudondoshea jumba bovu ili mizani ikae sawa .
Umejuaje kwamba ilibuniwa? Umesimuliwa au umethibitisha? Majibu tafadhali.
 
Umejibu nini icho sasa? Apo umejikanyaga kanyaga vyote ulivyoeleza vilishatolewa ufafanuz apa, sina haja ya kurudia maelezo ambayo yalishafafanuliwa mkashindwa kuyajibu na kubaki kutoa maneno ya imani zenu tu mliyoyakariri.
 
Umejibu nini icho sasa? Apo umejikanyaga kanyaga vyote ulivyoeleza vilishatolewa ufafanuz apa, sina haja ya kurudia maelezo ambayo yalishafafanuliwa mkashindwa kuyajibu na kubaki kutoa maneno ya imani zenu tu mliyoyakariri.
Dalili mojawapo ya kushindwa hoja ni kurukia majibu ya jumla jumla kama haya yako.

Nimekupa maelezo mahususi, umebaki kuporojeka tu kama kawaida yako.

Au hujui kusoma? Unajua kusoma kweli wewe? Kama hujui kusoma, sidhani kama uchambuzi utauweza.

Hata sie tumeshatolea ufafanuzi mara elfu, lakini bado tunaendelea kufanya hivyo.

Kama umeshindwa, inaeleweka. Maana ni wazi hakuna majibu ya maana.

Ata dhana ya Mungu ilibuniwa kwanza baade ilibuniwa ya shetani ili kupata mahali pakudondoshea jumba bovu ili mizani ikae sawa.
Umejuaje kwamba ilibuniwa? Umesimuliwa au umethibitisha? Ilibuniwa lini?
 
S
Eeh ahh elimu ndogo Sana ndugu, Kwan mummy hapo misri Yuko Peke Yake, wapo wengi Tu,

Maeneo ya Mongolia, na mengi Tu ya early civilization, kuna mummy,

Huko misikitini munafundishana upumbavu

Eeh ahh elimu ndogo Sana ndugu, Kwan mummy hapo misri Yuko Peke Yake, wapo wengi Tu,

Maeneo ya Mongolia, na mengi Tu ya early civilization, kuna mummy,

Huko misikitini munafundishana upumbavu Tu
Nenda ukakae uchimbe kuhuc mummy of fira'un kuna vitu utavigundua lkn ukikaza ubongo fresh tuu lkn ucwaze pia cku ukikata moto utaenda kuprove vizur 😅
 
S



Nenda ukakae uchimbe kuhuc mummy of fira'un kuna vitu utavigundua lkn ukikaza ubongo fresh tuu lkn ucwaze pia cku ukikata moto utaenda kuprove vizur 😅
Wewe ulienda kumfanyia uchunguzi mwili wa firaun huko misri,
AU ni story zenu kwenye misikiti Kwamba firauni alivuliwa na wavuvi Baharin.
Huu ongo acheni
 

Udhaifu wa kwanza wa kimantiki kuhusu Mungu ni huu

Which GOD?...... people created so many of them

CHWUKWU - of Igbo?

ZEUS of Greek ?


Or perhaps JEHOVA, who created the Earth, the Universe and Everything in 6 days?

Kuna Miungu wengi sana hapa Duniani...... You probably have been taught and brainwashed to believe in one of them.

Given that you reject tens of thousands Gods, perhaps even millions of Gods who are just as plausible as your own, what makes your God any different?
CAN YOU PROVE THAT THE OTHERS GODS NOT EXISTING accept yours?

It's generally impossible to prove the non-existence of something. You cannot prove the non-existence of supernatural, the likes of Jini, Mungu, samaki mtu, shetani, malaika, uchawi, unicorns, ghosts nk nk

Njia nzuri kuonyesha Mungu hayupo...... rejea post yangu #1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…