Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
- Thread starter
- #2,001
Kitu ambacho hakipo ni hakipoNdiyo. Kuna vithibitisho chungu nzima.
Mojawapo ni kwamba huwezi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo. Au unaweza?.
Nikikwambia njiwa akifa baadae anazaliwa kama nguruwe utakubali?
Usipo kubali unaweza kuthibitisha sio kweli?
Na ukishindwa kuthibitisha ndio itakuwa KWELI?
Mnaulizaga maswali ya kitoto sana kuhalalisha uwepo wa Mungu wenu
Naona unatema yai sasa[emoji23]....Wewe hizi information za Mungu na uumbaji wake umezipata wapi?Usahibi asilia (natural affinity). When God created human, He kinda placed a void in the soul which can never be filled by anything except Himself.
That emptiness is a spiritual thirsty and soul hunger that God alone can satisfy.
Afterall, we're made in the image and likeness of God. How can we not naturally want to believe Him?
The only thing that we're doing it wrong is when, by exercising our own freedom of choice or freewill, we try so hard to override and resist His rightful place in us.
.
Ulikutana naye akakuambia?
Au umesoma barua za Paulo kwa Wakolosai?
Au umesoma hekaya za Mudi?
Kwahiyo mimi nimeuliza swali na wewe unajibu kwa kuuliza swali na mimi najibu kwa kuuliza swali....... tutafika kweli mkuu?Kwani hujui kwamba swali kwa swali huzaa jibu?
Tatizo lako maswali hayo huyasomi. Unarukaruka tu kama mvua za vuli.
Pili, ukiuliza swali halafu ukatarajia jibu fulani ulilo nalo, maana yake ni kwamba wewe mwenyewe tayari umeshajichorea mipaka yako.
Nimekuuliza maswali, lakini umeshindwa kujibu; umebaki kuporojeka tu.
THIBITISHA UWEPO WA MUNGU tufunge mjadala mkuu