toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Injili ya yesu Ni utapeli mkubwa Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Injili ya yesu Ni utapeli mkubwa Sana
Pole ila kama unachosema hakitokani na kiburi cha moyo wako ila ni ufahamu hafifu unaopelekea imani ndogo kwa Mungu nakuombea wewe na mimi pia Mungu atuguse kwa namna ya kipekee ile tuweze kumfahamu japo katika mipaka hii hi ya uelewa wetu... Mungu na akubariki
Jaaa, tuonyeshe huyo mungu yuko wapi sasa
Wewe unaamini ili uishi ni lazima uvute hewa safi ya Oxygen. Kwa macho yako ushawahi kuiona hewa ya Oxygen?
Tunauhifadhi kwenye mitungi
Biggest scam hapa duniani ni hizi dini za kutungwa na watu Ukristu, Uislam, na UyahudiDunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu
Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata
Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake
Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair
Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu
Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk
Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa
This is the biggest scam ever
Unajisumbua bure tu, nahisi ndonga lake limejaa TROJAN [emoji23]
Una wenge, aliyejenga hoja ya TUONYESHE MUNGU ni FLONA au BLENDER?Mkuu kwani uthibitisho wa uwepo wa kitu ni lazima UONEKANE KWA MACHO TU?
Basi tuonyesheni ushuzi mnao Jamba ukoje?.[emoji23]
Jamaa alipojibiwa kwa hoja inayoendana na upeo wake mara ghafla akasahau kwamba msingi wa hoja yake ni neno tuonyeshe
Comments iliyofuatia amejibu mitungi [emoji23] "vihifadhi gesi"
#We misso misondo umepigaje hapo [emoji23]
Sawa, ahsante, naomba endelea kujadiliana na FLANO [emoji23]Basi tuonyesheni ushuzi mnao Jamba ukoje?.
Tuna tambua vitu Kwa kutumia milango ya faham,
Unavuta hewa na kuitoa na unapumua vizuri kabisa watu wakamua kuita oxygen,
We Mzee tueshimianeUna wenge, aliyejenga hoja ya TUONYESHE MUNGU ni FLONA au BLENDER?
Ungemuuliza shoga yako BLENDER hilo swali na si FLONA
Umeishiwa HOJA sasa unaleta VIROJA
Basi tuonyesheni ushuzi mnao Jamba ukoje?.
Tuna tambua vitu Kwa kutumia milango ya faham,
Unavuta hewa na kuitoa na unapumua vizuri kabisa watu wakamua kuita oxygen,
Oxygen ni colorless Kwa macho ya kawaida ya binadamu, Ila kama ukitumia vifaa maalumu cha kielektroniki ambacho hutumia mwanga wa ultraviolet ili kugundua uwepo wa oksijeni .
Sijafikisha 30 MZEE mwenzangu, una lipi?We Mzee tueshimiane
Umefurahi mwenyewe [emoji23]Mkuu inaonekana wewe ni KIAZI sana aiseee [emoji23]
Ahsante MAYU, naomba jadiliana na wengine tafadhali, FLONA ana hoja, badilishana naye maarifaMkuu inaonekana wewe ni KIAZI sana aiseee [emoji23]
Biggest scam hapa duniani = Uislam, UkristuDunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu
Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata
Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake
Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair
Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu
Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk
Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa
This is the biggest scam ever
Huyo jamaa alihoji kama kweli Mungu yupo tuonyeshe huyo mungu Yuko wapi?Mkuu kwani uthibitisho wa uwepo wa kitu ni lazima UONEKANE KWA MACHO TU?
Hatuoni Sauti, harufu nk nk lakini tunao uthibitisho kuwa vitu hivyo vipo
Achana na simulizi za Mudi na Fundi kapenta wa Galilaya
THIBITISHA uwepo wa Mungu
Huyo jamaa alihoji kama kweli Mungu yupo tuonyeshe huyo mungu yuko wapi? Yeye alikua anataka amuone Mungu kwa macho ndio maana nikamtolea huo mfano.
Pia nimemuuliza kama anayo akili lakini hakunijibu, angenijibu ningemuomba anioneshe hio akili yake ili niamini kama kweli anayo hio akili.
Huyo jamaa alihoji kama kweli Mungu yupo tuonyeshe huyo mungu Yuko wapi?
Yeye alikua anataka amuone Mungu kwa macho ndio maana nikamtolea huo mfano.