Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Space and Time, ni sisi binadamu tulio invent,
Kwenye vitabu vyenu hawajaeleza issue ya space and time.

Na Kwa mujibu ya nadharia ya space and time,
Hakuna kinacho exists nje ya space and time

Sisi tume invent majina tu
Ni kama hewa ya oxygen tu hatuja ivent sisi bali tumeipa jina tu
 
Ujinga tu na ego ya intelligence waliopewa

Watu wanataka Mungu awe wanavyotaka wao ili wampime kwa kadiri ya ufahamu wao

God is beyond Matter Space and time

If God exist.......Knowing true God should be by default since day one KUNA KUCHOMWA MOTO WA MILELE UJUE[emoji23]

Sasa kajificha ficha huko sijui wapi halafu anataka tu blindly believe him
 
Tz including others African, wali pata Uhuru toka Kwa wakoloni Lakin waziacha Dini zilizofanikisha Afrika kutawaliwa kinguvu Kwa kisingizio cha kueneze neno

la mungu huku Wana install there administration regime nyuma ya mgongo wa Dini ,

Wakapata Uhuru wa mkaratasi, wakaziacha Dini zieendelee , pengine tayar walikuwa brainwashed na maneno ya kuogovya ya mungu,

AU waliona ni rahisi Sana kutumia Dini kutawala kama wakoloni walivyo fanya.

Mpaka Leo tz bado wanawatumia viongozi wa kidini kupata ushawishi kwenye waumini wahizo fake religion.

Dini, religions ndio biggest scam ever since human civilization
 
Huu ujasiri unautoa wapi ndugu yangu?

Mungu yupo na hakika wakati ukifika utajutia haya uliondika

Walikuwepo wengi waliompinga lakini sasa wako wapi?
Hata wewe utapita lakini Neno la MUNGU litasimama daima hadi ukamilifu wa dahari
Najiuliza kwanini watu wengi wanakuja na ishu ya Mungu wakati hapa mleta mada anazungumzia hasa dini na sijui watu wanaelewa nini kuhusu neno mungu, kumbuka hapa mtoa mada hajakataa uwepo wa Mungu ila huyo Mungu wa kwenye hizo dini ndio anafikirisha harafu enyi watu weusi kumbukeni hizo dini mnazozililia hazina umri mrefu huku duniani hiyo ni civilization ya miaka 2000 iliyopita so mnataka kutwambia binadamu walikuwa hawamjui Mungu kabla ya wakati huo? Free up your minds [emoji18] [emoji92] binafsi naamini uwepo wa nguvu iliyokuu (kwa lugha ya kiimani MUNGU) ambayo ndio inacontrol the balance of nature. so linapokuja suala Mungu wa kwenye hizo dini zilizokuja juzi hapa napata ukakasi mwingi juu ya mafundisho na matendo yao.
 
Una akili timamu pasi na shaka
 
Ukiangalia Kwa Makini Tabia za mungu zinafanana kabisa na za shetani

Mungu hawezi kuwa unavyo taka wewe mkuu

Mungu sio mtumwa wa Space time and matter
Kila kitu kinaangukia hapo kasoro Mungu

Nje ya space time matter binadamu know nothing
 
Mayu, Mimi mtani wako kwa mara ya kwanza nitakusifu.Kwa hoja hii Niko pamoja na wewe kwa asilimia zaidi ya mia kama inaruhusiwa!. Dini zote ni ulaghai usio na mantiki hata kidogo! Only simple minded and those who benefit from the scam as you called it work on that! Hakuna shaka yoyote kuwa binadamu hawezi kujua lolote kabla ya uwepo wake. Haingii akilini kuniambia eti Wahindi wekundu huko Marekani na Waafrika, Wachina, Wazungu na waarabu wote tumetoka kwa Adam na Hawa. Pundamilia hazai punda kihongwe! Ni uongo wa aibu unaoaminiwa na hata wasomi wakubwa.Wanakabidhi uwezo wa kufikiri kwa watu ambao wakati mwingine ni wajinga kabisa.
 
Hivi vinavyouitwa vitabu vitakatifu ni purely imagination, mapokeo, tamaduni, siasa, mbinu za kuimarisha utawala na kutuliza upinzani, mind corruption na mengine mengi. Upande mmoja unaambiwa yaheshimu mamlaka kwa sababu yametoka kwa mungu, heri mwanakondoo......, heri mtumishi mwaminifu...,..., usihangaike na ya dunia......., tajiri hatauona ufalme wa Mbinguni........., toa fungu la kumi......,kuna watu wa mungu......,.Upande mwingine unaambiwa jihad ndio mpango mzima...,, ukifa wanawake 72 na majumba ya dhahabu yote Mali yako, Yako wapi?! Je, kwa akili ya kawaida tu, ni vema mtu kumuua mtu mwingine kumtetea mungu mwenye nguvu kuliko vitu vyote?!.Yote haya ni ulaghai kwa wasiofikiri sawasawa!
 
Nimezaliwa na kulelewa mazingira ya uislam kwa mama na ukristo kwa baba, nazijua jua vizuri hizi dini
MTOTO WA KUZINI. WAZANZIBAR NDIVYO WANAVYOITA HIVYO,WAZAZI WASIO DINI MOJA.
 
Mungu hawezi kuwa unavyo taka wewe mkuu

Mungu sio mtumwa wa Space time and matter
Kila kitu kinaangukia hapo kasoro Mungu

Nje ya space time matter binadamu know nothing
Mkuu Unataka kusema Mungu ni black hole.
Mungu aliumba ulimwengu Kwa siku 6 ya 7 aka rest .

Hii inaonyesha Hata mungu hawezi kufanya chochote nje ya space and time .

Lakin kuna concept ya absolute time and absolute space.

Maana ya Kwamba time and space ni ya tofauti Kwa kila element.

Kwa hiyo mungu aliposema ameumba Kwa 6 na ya 7 aka rest, ni kulingana na sehemu alipo mungu na Kwa wakati huo.

Hata Sisi Huku duniani tumejiwekea Muda na space ambazo tumezipa majina.

Lakini ikitokea ukaishi nje ya dunia Basi time and Space vitabadilika , you know why? Bcz

Kila element ina time yake na space yake tofauti na mwingine.

Kwa hiyo space and time is illusions
 
Eti Huyo mudi aka argue na Mungu kama watu wawe na swala 50 kwa siku ,wakapunguziana hadi 5 kwa siku
vichekesho sana
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa

This is the biggest scam ever
 

Ila unaamini binadamu alikua nyani kisha akageuka kuwa muhindi au mjapani au muafrika?
 

Bibilia ina ujumbe mkuu na wa msingi wa MUNGU but you have decide to deal with minor issues like numbers place name etc
Bibilia inasema siku moja kwa Mungu inaweza kuwa miaka mamilioni ya kibinadamu
Kabla ya huu ulimwengu kuumbwa hapakuwa na time space matter, viliumbwa pamoja
Hakuna akili ya binadamu inaweza kwenda beyond that
 
📌Bibilia inasema siku moja kwa Mungu inaweza kuwa miaka mamilioni ya kibinadamu📌

👆 Hata kama ikiwa ni miaka billions Kwa binadamu, Lakin bado Mungu ndani ya space and time.
Kumbuka kwenye Bible wanasema mungu kaketi kwenye kiti chake cha enzi , 👈 tayar Mungu yuko kwenye space.

Jaribu kufikiria nje ya box.
Acha uoga
 
Dini ni hiari kufuata au kutokufuata

Luka 9:4-6
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi​

4 Mkiingia katika nyumba; kaeni katika nyumba hiyo mpaka mtakapokuwa mnatoka katika mji huo. 5 Ikiwa watu katika mji mtakaoingia hawatawakaribisha, nendeni nje ya mji na kuyakung'uta mavumbi miguuni mwenu kama onyo kwao.”
6 Hivyo mitume wakaondoka. Walisafiri katika miji yote. Walihubiri Habari Njema na kuponya wagonjwa kila mahali.
Mungu mwenyewe halazimishi watu kumfuata, angetaka angelazimisha. ameweka wazi tu matokeo ya uchaguzi wako
sasa wewe fanya kebehi mwisho wa siku utakutana naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…