Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Umejuaje kama Mungu hayupo ?
Nimejua kwa sababu Mungu huyo haonekani, Hashikiki, Hasikiki wala Haisiki.

Mungu huyo Ni dhana ya kufikirika tu isiyo kuwepo, imagination just an illusion.

Kama unajua Mungu huyo yupo,

Niambie yupo kwa namna gani?

Ana umbo gani?

Na umewezaje kujua kwamba yupo?
 
Mimi ninalo.

Kwanini Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kaumba ulimwengu huu wenye kuruhusu mabaya?
 
Tetemeko ni sehemu ya WARNING SIGNS na ALAMA za uwepo wake....

Likitokea mwanadamu huhisi powerless na hutambua uwepo wa SUPREME POWER [SLMIGHTY GOD].....

Mwenyewezimu zna majesho mbinguni ns ardhini....

Tunatakiwa tutubie na kumrejea YEYE
Je Mungu huyo atabaki kuwa ni wa upendo wote!?

Ulichokijibu ni kwamba umeamua kukubali contradiction tu.
 
Zaburi 53:1 Mpumbavu amesema moyoni hakuna Mungu......
 
1 Mungu ni mweza ya yote. 2 Mungu ni mwema. Hizo sifa mbili zimekaaje? Maafa yakitokea huwa Mungu analala? Amemshindwa shetani? Tusipokee tu kwa kuwa ni wazungu walisema, nasi tuhoji! Mimi kwa sasa nahoji mpaka "ufufuko " je ni kweli?I think not a historical event!!

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Africans have been totally brainwashed and religious indoctrinated.

Yaani Dini ime wawekea dhana kwamba kuihoji dini au Mungu ni Dhambi.

Mentality hii, Huwafanya kuwa kama mazwazwa.

Ambapo hata Dini hiyo iki waambia
1+1= 9

Watatii na kuamini kwamba kweli moja jumlisha moja jibu lake ni tisa.
 
Tetemeko ni sehemu ya WARNING SIGNS na ALAMA za uwepo wake....

Likitokea mwanadamu huhisi powerless na hutambua uwepo wa SUPREME POWER [SLMIGHTY GOD].....

Mwenyewezimu zna majesho mbinguni ns ardhini....

Tunatakiwa tutubie na kumrejea YEYE
Je Mungu huyo atabaki kuwa ni wa upendo wote!?

Hana mbinu nyingine ya kumfanya ajulikane yupo kama vile kujionesha kupitia milango ya fahamu aliyotuwekea. Akijionesha shida iko wapi!?

Kwasababu mbinu hiyo ya matetemeko imewaonesha waliowengi kuwa hayupo.

Hulioni hili wewe au umeamua kukubali tu ili ubishanie ujinga!?
 
Hayupo kwa sababu haonekani, Hashikiki, Hasikiki wala Haisiki.

Hayupo kwa namna yeyote ile, zaidi ya mawazo ya kufikirika tu.

Mungu huyo Hayupo katika uhalisia bali ni dhana ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.
Bado hujajibu swali langu.

Unajuaje kama wewe una akili ? Akili umeniona ? Umeishika ? Umeihisi ?

Nani alikwambia ya kuwa kila kilichopo lazima kiwe na sifa hiyo ?

Mola wetu ameshasema ya kuwa kwa ulimwenguni haonekani ila siku ya malipo ataonekana.

Lakini haitoshi, zipo ishara nyingi sana zinazo onyesha wake. Uwepo wa Ulimwengu, unaonyesha Mola yupo, uwepo wako wewe. na Mimi kadhalika.

Hizi nukta zako mbili za mwisho naomba uziwekee ushahidi. Tuthibitishie ya kuwa ni mawazo ya kufikiria kadhalika ni imaginations.
 
Kitu kinaweza kuwepo angalau kwa namna mojawapo ya kuonekana, kusikika, kushikika au kuhisika.

Sasa, Mungu huyo Hayupo kwa namna yoyote ile.
Uwepo wa ulimwengu unakupa ishara gani ? Kwamba je ulimwengu umetokewa pasi na chochote au Ulimwengu umejiumba ? Kama una sifa hizo mbili, thibitisha.

Kanuni inasema uwepo wa kitu fulani huonyesha uwepo wa kitu kingine.
 
Kitu ambacho hakipo, Kina sifa ya kutokuwepo katika uhalisia wa kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.

Sifa yake ni mawazo ya kufikirika tu imaginations.

Hivyo hakipo kwa namna yoyote ile.
Hapa bado hujaonyesha kutokuwepo kwa Mungu, bali umeonyesha ufinyu wa maarifa yako juu ya jambo la Mungu. Yaani humjui.

Hapa kwenye mawazo ya kufikiria naomba ufafanuzi na uthibitisho.
 
Hapa bado hujaonyesha kutokuwepo kwa Mungu, bali umeonyesha ufinyu wa maarifa yako juu ya jambo la Mungu. Yaani humjui.

Hapa kwenye mawazo ya kufikiria naomba ufafanuzi na uthibitisho.
Wewe unaye mjua huyo Mungu elezea basi alivyo na mimi nipate kumjua?

Mbona unazunguka zunguka sana.

We si una mjua huyo Mungu?

Eleza ana umbo gani na yupo kwa namna gani?

Mawazo ya kufikirika hayana uthibitisho kwa vile hayapo, sawa na huyo Mungu unaye sema yupo, ila mpaka sasa naku uliza yupo kwa namna gani una Zunguka zunguka tu...!!!!
 
Sasa kama unajua Mungu yupo,

Niambie Mungu huyo yupo katika namna gani?

Kama unajua Mungu yupo Niambie ana umbo gani?

Kama umeweza kujua Mungu yupo elezea, umewezaje kujua yupo elezea yupo kwa namna gani, Na si mawazo yako ya kufikirika tu.
Swali zuri.

Mungu ambaye tupelo lazima awe amejielezea yeye mwenyewe kupitiwa vitabu vyake na mitume kwa maana wale wajumbe wake alio wateua katika wanadamu ambao ni mitume na manabii, sio Hawa wa uongo.

Mungu wetu sisi Waislamu, amejielezea ya kuwa ana Mikono miwili yote ipo upande wa kuumeni, anacheka, ana unyayo, anachukia, ana hasira, mpole, mwenye kusamehe, na yuko juu ya kiti chake Cha enzi. Hizi ni baadhi ya sifa zake chache katika nyingi ambazo amejielezea yeye.

Nimeweza kujua yupo, kupitia njia zifuatazo :

1. Akili
2. Mazingira
3. Ufunuo
 
Sasa nazinguka vipi wakati nataka maelezo kwa anaye Pinga uwepo wake.

Ukifika wakati wangu hili rahisi sana.
 
Sisi sote ni descendant tumepewa mafundisho (haijulikani kama ni ya kweli au uongo)kutoka Kwa mababu zetu,viongozi wa Imani kwahiyo sioni ajabu Kila mtu akiwa na mtazamo wake tofauti tofauti


Kwa Mimi naunga hoja ya mheshimiwa

Ila ninachokiamini dunia ambayo tumeikita Ina mwenyewe na huyo mwenye atofautishwi na Imani yoyote,kabila lolote,nchi yoyote ndo maana tunaona watu wote wakristo Kwa waislam wanafanikiwa .

Ninachotaka kumaanisha ni kwamba nature ya dunia hii ambayo tupo yatupasa kufuata mienendo mema,kuwa chumvi,jiamini mwenyewe,pia usisahau kumuomba huyo mwenye hii dunia Yale azidi kukibariki
 
Sikilizeni enyi wapuuzi msioamini uwepo wa Mungu, injili itahubiriwa kwa mataifa yote, atakayeamini ataiponya nafsi yake. Msioamini mioyo yenu imejaa giza, mtaangamia kwa kukosa maarifa ya Mungu
 
Sasa nazinguka vipi wakati nataka maelezo kwa anaye Pinga uwepo wake.

Ukifika wakati wangu hili rahisi sana.
Elezea sasa Mungu huyo yupo kwa namna gani na ana umbo gani?

Mimi nimesha kwambia kwamba πŸ‘‡

Kisicho kuwepo haki hitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake kwa vile, Hakipo kwa namna yoyote ile ya kuonekana kusikika kushikika au kuhisika.

Haki elezeki, kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile hata ya kuelezeka.

Sasa wewe unayesema Mungu huyo yupo,

Elezea yukoje, kwa namna gani?
 
Sikilizeni enyi wapuuzi msioamini uwepo wa Mungu, injili itahubiriwa kwa mataifa yote, atakayeamini ataiponya nafsi yake. Msioamini mioyo yenu imejaa giza, mtaangamia kwa kukosa maarifa ya Mungu
Sikiliza ewe mpuuzi,unaye amini visivyo kuwepo.

Mungu huyo Hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
Nimeshakujibu swali hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…