Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unayejua mbona huna hoja unatukana tu?Usikotiwe wewe nani? hakuna mada hapa kuna maushubwada tu na kwa taarifa yako tu kwenye battles za kidini hunigusi hata chembe
Ni ignore sasa ukafie mbele huko hamjui dini mnakaa kuzi criticize
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo bali unasema yupo.Nimekueleza hapo juu kama ni duara mraba itakuwa na jina jingine.....Maan ni vitu viwili tofauti na mfano haurelate .
Mungu yupo ukiwa tu na akili automatically unajua uwepo ...Hili halina ubishi .!
Nimesoma mwanzo mwisho sijaona hoja zaidi ya malalamikoDunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu
Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata
Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake
Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair
Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu
Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk
Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa
This is the biggest scam ever
Kama ambavyo una amini Mungu huyo usiyemjua hana chanzo basi hata Dunia, jua, Binadamu na vyote vilivyomo duniani vimekuwepo toka enzi na enzi, Havina Chanzo.N
Ndugu tunapobishania haya na wewe hebu leta Facts zako (NB: Zisiegemee kwenye Imani) ya Kwamba hivi vitu (Dunia, Jua, Binadamu nk) vinatoka wapi? Usiishie tu kusema ni Nature!!
Mimi nimekwambia kwamba Vitu hivi chanzo chake ni Mwenyezi Mungu na ukiniuliza chanzo cha huyo Mwenyezi Mungu ntakwambia yeye alikuwepo toka enzi na enzi (reference from the holly books).
Binadamu hana chanzo, amekuwepo toka enzi na enzi.Sasa na wewe unaposema hivi vitu ni nature jaribu kuonyesha mfano inakuwaje kama binadamu chanzo chake ni Nature
Uwezekano wa binadamu ku immitate nature si kwamba haupo, Ni kwamba binadamu ana endelea kugundua maarifa mapya kila siku kwa kukopi na kuiga miundo ya ufanyaji kazi na mbinu ya Nature hiyo hiyo.Kwanini binadamu huyo huyo anapojaribu kuImmitate nature hiyo ashindwe hali ya kuwa vingine aweze,, Sababu ni nini???
Kwanza Hakuna kitu kama Pepo.Amini kuwa Mungu yupo ili siku ukifa uingie peponi. Pia haidhuru hata ukimwamini kuwa yupo na ikatokea akawa hayupo hutokuwa na cha kupoteza so Amini kuwa Mungu yupo brother.
Kama hakuna mada, mbona Unashindwa kujenga hoja za kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu?Usikotiwe wewe nani? hakuna mada hapa kuna maushubwada tu na kwa taarifa yako tu kwenye battles za kidini hunigusi hata chembe
Ni ignore sasa ukafie mbele huko hamjui dini mnakaa kuzi criticize
😂😂😂😂😂😂Ndo walivyokutishia.. hao walioandika hivyo hawakujua tetemeko linasababishwa na Nini so kila disaster wao wanajua ni hasira za MunguTetemeko ni sehemu ya WARNING SIGNS na ALAMA za uwepo wake....
Likitokea mwanadamu huhisi powerless na hutambua uwepo wa SUPREME POWER [SLMIGHTY GOD].....
Mwenyewezimu zna majesho mbinguni ns ardhini....
Tunatakiwa tutubie na kumrejea YEYE
Nimezaliwa kutoka kwa baba au mama ..we nionyeshe udongo uliyokuumbaUmejiumba?
😂Unaongea tafkiri we jirani yangu vile...endelea kujikoshaSawa tunazalisha 😂😂unaumia nn kila mtu ashinde mechi zake...Sijaona hoja zako maana unapambana kiuchumi ila bado uko chini ,unatamani kuwa kama bill gates ila ndio hiyo Mungu hajakupangia.
Hata takwimu umeleta mwenyewe na hujui kosoma.
😂Nikupe mtungi unijazie gesi ya huyo MunguNilishakuambia hata milango ya fahamu ina udhaifu ndio maana haiwezi kutumia kila kitu..
Wanavyoeleza kuhusu oxygen utaambiwa ni colourless ,odourless na wala huwezi huwezi kuiona ila ni matter maana unachukua nafasi ...Ila unahisi unapovuta the same kwa Mungu uwepo wake upo kuhisia na sio kuona wala kugusa maana milango yako ya fahamu ina udhaifu mkubwa...
😂Jibu swaliNi kazi kwako kufanya tafiti, wakati moyo na akili viko huru
Unajua hivyo vitu ulivyotaja ni fraction ndogo sana ya the known universe yaani solar system ni sawa na punje ya mchele ndani ya ghorofa... so to say kwamba dunia jua na mwezi vimeumbwa, na kwa ajili yako wewe...ni insult kubwa sana.. u r a microbe kwenye huu ulimwengu huna maana yoyote very insignificant to the point kwamba hata haonekani kwenye picha ya galaxy tu moja ya milky way. So kusema all this ni kujikosha ..na lack of knowledge bac...sawa tufanye hatujui milky way imekuwaje ukisema god did it unazua maswali mengi kuliko majibu, alikuwa wapi if there was nothing, Nini kilimfanya atengeneze, was he bored, haya bac if everything demands creation mbona yeye katokea tu out of nowhere with all those complex qualities ..so Bora utumie Occam's razor that reality is best explained easily without involving multitudes of assumptionsNi kweli msingi wA Imani ni kuwa na uhakika na kitu ambacho hujawahi kukiona, kukikuta/kutana nacho.
Iko hivi ndugu, Mwenyezi Mungu tunaamini yupo kwa kuangalia DALILI Unaona kabisa hizi Ni Ishara (Kwa Wenye Akili lakini) za Kwamba Kuna Superpower Inaendesha Mambo haya duniani. Hapa kwanza ni nje kabisa ya hizi dini bali ni kwanza kwa kutumia Akili tu Unajua Maana hizi dini ni Just ways za kumfikia Mwenyezi Mungu. Sasa hebu angalia Ishara zifuatAzo ndugu
1️⃣. Uwepo wa Ulimwengu na vilivyomo
2️⃣. Uwepo wa Uhai na Kifo
3️⃣. Uwepo wa Nishati hii ya Jua(Nishati ya Ajabu kuwahi Ishuhudia)
4️⃣. Uwepo wa Majanga Mbali Mbali yanayokuikumba hii dunia (kwa mwenye Akili atajua tu ni Result ya Uwepo wake na sio tu result ya Natural Mechanisms pekee kama wanasayansi wanavyodai)
5️⃣. Uwepo wa Kiumbe Mwanadamu ambaye hata wanasayansi wamejaribu kuiga kutoa kopy yake Maabara lakini wameshindwa.
6️⃣. Disparities Mbali mbali zilizoko miongoni mwa Binadamu hao eg. Races, morphological structures na Ethnicity Backgrounds.
7️⃣. Uwepo wa Viumbe wengine nje na Binadamu (Hii ntakuelezea baadae kwa Mujibu wa Islamic Religion Highlights)
8️⃣. Usiku na Mchana (Hapa utaniambia ni result ya sijui rotation of Earth 😀) In real Sense nop isn't true according to the Holly books
9️⃣. Uwepo wa Misimu ya Mwaka/Majira (Hapa pia utasema revolution na bla blah kibao but si kweli). It was purposefully brought so as to make the critical thinkers understand the power of the Almighty Allah. S. W
🔟. Hivi through your Logic can you tell me how comes you Plant a single corn seed and as a result it bears a hundred + corns? How do you see that possible???
Acha nipose kidogo hapa ila ni Vingi sana. Hizi zote ni Dalili za Uwepo wa Mwenyezi Mungu ndugu yangu.
Mungu yupo hata usemeje ni suala la muda tu ,utaelewa..kwa hata hao wanasayansi wako hawana hoja ni kama wewe tu hawajui kesho yao.Hapo ni kwamba unataka kulazimisha tu ili upalilie hoja yako, ilihali imeota nyasi,
Kama unadhani nadanganya fanya kuthibitisha hata kwa kuleta dicument utayoonesha kuwa Primates hao Australopithecus walikuwa wanaabudu.
Then watu wakale kuabudu haina maana yeyote ile kukuhalalishia/kuthibitisha kuwa Mungu yupo.
Unaelewa hilo!?
Hapo unafanya kosa la kimantiki katika kudraw conclusion.
You Appeal to tradition.
Hoja zako nyingi zipo hapa kutetea uwepo wa Mungu.
Wakati unajua kabsa kuwa Mungu huyo hayupo.
Kama nakusingizia thibitisha Mungu yupo!!
Inazidi kuongezeka kwa sababu watu wanazidi kugundua wamepigwa
😂Bac achaHakina faida.
Wewe hujui chochote kuhusu ulimwengu ndio maana tunabishana mpaka sasa..Huwezi kuthibitisha Mungu yupo bali unasema yupo.
Ila ushauri wangu ni kuwa, ukitaka kujifunza huu ulimwengu wakati mwingine itakubidi uachane na mawazo yaliyojengwa na mazoea jinsi umeuexperience huu ulimwengu ukiwa duniani.!!
Maana ukiwa outer space habari za juu-chini, mwanzo-mwisho, kitu kudondoka chini,habari za muda Ni mambo ambayo wewe unayaona ukiwa trapped hapa duniani.
Ulipoambiwa dunia inarotate haukubisha kweli?
Usikubali tu jibu ambalo ni hypothesis huwezi kuliproof.
Jibu ambalo linalazimisha kuvunja mantiki na sheria za ulimwengu kwa kujitungia story wewe mwenyewe.
Na India kufika nao ni uwongo au sio ..😂utabaki kuona wenzenu wanaendelea tu na nyie mkibaki kupumbazwa na manabii fekiWamarekani kufika mwezini ni uongo ambao hadi wasomi wanangizwa chaka.
😂😂😂Paschal wager ..bac me naamini spiderman ndo Mungu yupo...Cha muhimu si kuamini tu usiende MotoniAmini kuwa Mungu yupo ili siku ukifa uingie peponi. Pia haidhuru hata ukimwamini kuwa yupo na ikatokea akawa hayupo hutokuwa na cha kupoteza so Amini kuwa Mungu yupo brother.