Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.
Kitu kikiwepo hakuna haja ya imani kujua kwamba kitu hicho kipo.
Kitu kinaweza kuwepo angalau kwa namna mojawapo ya kuonekana, kusikika, au kushikika.
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile Haonekani, Hasikiki, Hashikiki ,Haisiki Zaidi Mungu huyo ni mawazo ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.
Mungu hayupo katika uhalisia bali katika dhana ya kufikirika. Illusion.
Ni kweli msingi wA Imani ni kuwa na uhakika na kitu ambacho hujawahi kukiona, kukikuta/kutana nacho.
Iko hivi ndugu, Mwenyezi Mungu tunaamini yupo kwa kuangalia
DALILI Unaona kabisa hizi Ni Ishara (
Kwa Wenye Akili lakini) za Kwamba Kuna
Superpower Inaendesha Mambo haya duniani. Hapa kwanza ni nje kabisa ya hizi dini bali ni kwanza kwa kutumia Akili tu Unajua Maana hizi dini ni Just ways za kumfikia Mwenyezi Mungu. Sasa hebu angalia Ishara zifuatAzo ndugu
1️⃣. Uwepo wa Ulimwengu na vilivyomo
2️⃣. Uwepo wa Uhai na Kifo
3️⃣. Uwepo wa Nishati hii ya Jua(Nishati ya Ajabu kuwahi Ishuhudia)
4️⃣. Uwepo wa Majanga Mbali Mbali yanayokuikumba hii dunia (kwa mwenye Akili atajua tu ni Result ya Uwepo wake na sio tu result ya Natural Mechanisms pekee kama wanasayansi wanavyodai)
5️⃣. Uwepo wa Kiumbe Mwanadamu ambaye hata wanasayansi wamejaribu kuiga kutoa kopy yake Maabara lakini wameshindwa.
6️⃣. Disparities Mbali mbali zilizoko miongoni mwa Binadamu hao eg. Races, morphological structures na Ethnicity Backgrounds.
7️⃣. Uwepo wa Viumbe wengine nje na Binadamu (Hii ntakuelezea baadae kwa Mujibu wa Islamic Religion Highlights)
8️⃣. Usiku na Mchana (Hapa utaniambia ni result ya sijui rotation of Earth 😀) In real Sense nop isn't true according to the Holly books
9️⃣. Uwepo wa Misimu ya Mwaka/Majira (Hapa pia utasema revolution na bla blah kibao but si kweli). It was purposefully brought so as to make the critical thinkers understand the power of the Almighty Allah. S. W
🔟. Hivi through your Logic can you tell me how comes you Plant a single corn seed and as a result it bears a hundred + corns? How do you see that possible???
Acha nipose kidogo hapa ila ni Vingi sana. Hizi zote ni Dalili za Uwepo wa Mwenyezi Mungu ndugu yangu.