Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Umeona sasa unakataa uwepo wa duara hilo la mraba kwamba halipo, Kwa vile hujawahi kuliona.

Kwa vile ni mafikirio yangu tu na makisio yangu kusema kwamba Duara la mraba lipo, lakini kiuhalisia halipo ndio maana umekataa uwepo wa duara hilo

Kwamba unataka uthibitisho wa uwepo wa duara hilo ili uamini lipo.

Vivyo hivyo, Hakuna Mungu kwa vile ni mafikirio na makisio ya watu tu.

Ili Mungu huyo awepo, lazima athibitishike yupo. Kama vile ambavyo unataka mimi, nithibitishe uwepo wa duara la mraba kwamba lipo ili uweze kuamini lipo.
Nimekueleza hapo juu kama ni duara mraba itakuwa na jina jingine.....Maan ni vitu viwili tofauti na mfano haurelate .

Mungu yupo ukiwa tu na akili automatically unajua uwepo ...Hili halina ubishi .!
 
Kisha baraza la maaskofu lililokaribu na mungu linapoteza muda kuandika waraka kwa wezi wa bandari badala ya kumuomba mungu awezeshe maandamano kwa kuwatoa hofu vijana tuweke serikali wajibifu na tuchome ubalozi wa emirates
Why tuchome balozi asa
 
Mungu hawezi kuwa katili kwa vile ana samehe...

Pia Mungu anaongoza nafsi ya mwanadamu ndio maana kuwa wabaya na watu wema ila wote anawapa riziki ,ukitaka kujua ukweli basi Mungu ataongoza nafsi yako utajua ila kama hutaki basi..

Wangapi walipinga wakaja kuamini uwepo wa Mungu.
Wangapi waliamini wakaja kupinga uwepo wa Mungu?
 
Hakuna kipo kinachosemwa hakipo ,binadamu hawezi kufikria zaidi nje ya mazigira ila anaweza kuendeleza mazingira yake.

Unaposikiw hata Alliens basi wapo ila wanaopinga wapo pia..

Ndio maana huwezi kuota mtu usiyemjua ..
Hapo kwenye kuota umechemka...😂labda wewe
 
Wewe sasa ndio useme kwa upande wako (As Atheist) chanzo cha dunia hii ni kipi? Wenzako Wanasayansi wameumiza kichwa sana na mwisho wa siku wa kaishia kutoa hoja ambazo pia Zina madhaifu makubwa mno... Tuanzie hapo what is your Conclusion on the source of the Universe??
Kwanza hakuna source of the universe, universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Ukianza kuhoji source of the universe kwamba lazima iwepo na kila kitu kilichopo lazima kiwe na source, Hata hiyo source ya "Source the universe" lazima iwe na source yake.

Hapa sasa kutakuwa na endless sources (Vyanzo visivyo na mwisho) ili kanuni hiyo ya kila kitu lazima kiwe na source iweze ku make sense.

Kuuliza source ya Universe ni ipi,
Ni sawa na kuuliza,
What is the North of the north pole?

Einstein relativity inasema kwamba "The rate at which time passes Depends on your frame of reference"

Kuuliza source ya Universe ni ipi Unauliza kutoka kwa frame ya reference ipi?
 
Hapo kwenye kuota umechemka...😂labda wewe
Huwezi kuota kitu ambachi hukijui labda utaeleza vip😂😂😂...Ndoto inafanyikq ndani ya reference ya ubongo wako vitu ulivyoona na kufikiria hamna kipya hata uwaulize wanasayansi wako.
 
Wangapi waliamini wakaja kupinga uwepo wa Mungu?
Tuangalia idadi kwa uwiano ....Hata wanasayansi wengi wanaamini hawana shaka walijaribu kuumiza kichwa sana...Hizo assumptions kasome kwa philisopher ambao walikuwa na maono yao na wanafunzi wao walifuata ....
 
images (6).png
 
Nimekueleza hapo juu kama ni duara mraba itakuwa na jina jingine.....Maan ni vitu viwili tofauti na mfano haurelate .

Mungu yupo ukiwa tu na akili automatically unajua uwepo ...Hili halina ubishi .!
Nikilipachika jina Duara hilo la mraba na kusema lipo, pasipo kuthibitisha uwepo wake, uta amini lipo?

Duara hili la mraba halipo katika uhalisia bali katika dhana ya kufikirika.

Vivyo hivyo 👇

Mungu hayupo katika uhalisia ni dhana ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.

Ili Mungu huyo awepo, lazima athibitishike yupo kama ambavyo unataka mimi nithibitishe uwepo wa duara la mraba.
 
Mfaho wako haurelate kabisa yaani upo nje ya mada kabisa😂😂😂kwamba duara mraba ...yaani hamna logic kabisa .

Hapa tunaongelea Mungu anayepanga mambo mengi na muweza ...Huo mfano haupo kabisa maana umechanganya duara halafu mraba hapa naongelea Mungu tu pekee sio vitu viwili.
 
Mungu ni nini?
 
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa

This is the biggest scam ever
Una hoja usikilizwe
 
Back
Top Bottom