Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Wamarekani kufika mwezini ni uongo ambao hadi wasomi wanangizwa chaka.
 
Usikotiwe wewe nani? hakuna mada hapa kuna maushubwada tu na kwa taarifa yako tu kwenye battles za kidini hunigusi hata chembe

Ni ignore sasa ukafie mbele huko hamjui dini mnakaa kuzi criticize
Wewe unayejua mbona huna hoja unatukana tu?
 
Nimekueleza hapo juu kama ni duara mraba itakuwa na jina jingine.....Maan ni vitu viwili tofauti na mfano haurelate .

Mungu yupo ukiwa tu na akili automatically unajua uwepo ...Hili halina ubishi .!
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo bali unasema yupo.

Ila ushauri wangu ni kuwa, ukitaka kujifunza huu ulimwengu wakati mwingine itakubidi uachane na mawazo yaliyojengwa na mazoea jinsi umeuexperience huu ulimwengu ukiwa duniani.!!

Maana ukiwa outer space habari za juu-chini, mwanzo-mwisho, kitu kudondoka chini,habari za muda Ni mambo ambayo wewe unayaona ukiwa trapped hapa duniani.

Ulipoambiwa dunia inarotate haukubisha kweli?

Usikubali tu jibu ambalo ni hypothesis huwezi kuliproof.

Jibu ambalo linalazimisha kuvunja mantiki na sheria za ulimwengu kwa kujitungia story wewe mwenyewe.
 
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa

This is the biggest scam ever
Nimesoma mwanzo mwisho sijaona hoja zaidi ya malalamiko
 
Amini kuwa Mungu yupo ili siku ukifa uingie peponi. Pia haidhuru hata ukimwamini kuwa yupo na ikatokea akawa hayupo hutokuwa na cha kupoteza so Amini kuwa Mungu yupo brother.
 
N
Ndugu tunapobishania haya na wewe hebu leta Facts zako (NB: Zisiegemee kwenye Imani) ya Kwamba hivi vitu (Dunia, Jua, Binadamu nk) vinatoka wapi? Usiishie tu kusema ni Nature!!
Mimi nimekwambia kwamba Vitu hivi chanzo chake ni Mwenyezi Mungu na ukiniuliza chanzo cha huyo Mwenyezi Mungu ntakwambia yeye alikuwepo toka enzi na enzi (reference from the holly books).
Kama ambavyo una amini Mungu huyo usiyemjua hana chanzo basi hata Dunia, jua, Binadamu na vyote vilivyomo duniani vimekuwepo toka enzi na enzi, Havina Chanzo.

Holy books hizo ni sawa na nadharia nyingine za kisayansi zilizo jaribu kuonesha chanzo cha ulimwengu Lakini hazina ukweli wala uthibitisho wowote ule. Ni mawazo na mafikirio ya watu wa kale tu yasiyo thibitishika,

Mfano kama Big bang theory. Na yenyewe ni mojawapo ya nadharia inayo elezea chanzo cha Dunia, Lakini Huwezi kuiita facts pasipo uthibitisho.

Maana hata uongo unaweza ku aminiwa bila uthibitisho, ila ukweli lazima uthibitishike kwa Evidences.

Sasa na wewe unaposema hivi vitu ni nature jaribu kuonyesha mfano inakuwaje kama binadamu chanzo chake ni Nature
Binadamu hana chanzo, amekuwepo toka enzi na enzi.
Kwanini binadamu huyo huyo anapojaribu kuImmitate nature hiyo ashindwe hali ya kuwa vingine aweze,, Sababu ni nini???
Uwezekano wa binadamu ku immitate nature si kwamba haupo, Ni kwamba binadamu ana endelea kugundua maarifa mapya kila siku kwa kukopi na kuiga miundo ya ufanyaji kazi na mbinu ya Nature hiyo hiyo.

Nature imekuwepo toka enzi na enzi kwenye dunia.

Mfano miaka ya zamani kulikuwa hakuna Aeroplane 🛫 Lakini kupitia Nature, Binadamu aliweza kusoma nature ya viumbe ndege 🐦 na mechanism yao nzima ya namna gani wanaweza kuruka na kutua, akafanikiwa kuunda dhana ya uundaji wa Aeroplane.

Sasa mpaka hapa, unaona kwamba binadamu ana uwezo wa kuja na maarifa mapya ya ku immitate nature iliyo mzunguka.
 
Amini kuwa Mungu yupo ili siku ukifa uingie peponi. Pia haidhuru hata ukimwamini kuwa yupo na ikatokea akawa hayupo hutokuwa na cha kupoteza so Amini kuwa Mungu yupo brother.
Kwanza Hakuna kitu kama Pepo.

Mbingu (Pepo) haipo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Ukishindwa kuishi Duniani dhana ya mbinguni ni mawazo ya kufikirika.

If you fail to live on Earth, Heaven is an illusion.

You cannot wish for a house of Gold in Heaven while you have never touched Gold right here on Earth.

Wake up Emancipate yourself from mental slavery.
 
Usikotiwe wewe nani? hakuna mada hapa kuna maushubwada tu na kwa taarifa yako tu kwenye battles za kidini hunigusi hata chembe

Ni ignore sasa ukafie mbele huko hamjui dini mnakaa kuzi criticize
Kama hakuna mada, mbona Unashindwa kujenga hoja za kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu?

Haya unaijua dini,

Thibitisha uwepo wa huyo Mungu na si mawazo yako na Fiction stories za Dini yako.
 
Tetemeko ni sehemu ya WARNING SIGNS na ALAMA za uwepo wake....

Likitokea mwanadamu huhisi powerless na hutambua uwepo wa SUPREME POWER [SLMIGHTY GOD].....

Mwenyewezimu zna majesho mbinguni ns ardhini....

Tunatakiwa tutubie na kumrejea YEYE
😂😂😂😂😂😂Ndo walivyokutishia.. hao walioandika hivyo hawakujua tetemeko linasababishwa na Nini so kila disaster wao wanajua ni hasira za Mungu
 
Sawa tunazalisha 😂😂unaumia nn kila mtu ashinde mechi zake...Sijaona hoja zako maana unapambana kiuchumi ila bado uko chini ,unatamani kuwa kama bill gates ila ndio hiyo Mungu hajakupangia.

Hata takwimu umeleta mwenyewe na hujui kosoma.
😂Unaongea tafkiri we jirani yangu vile...endelea kujikosha
 
Nilishakuambia hata milango ya fahamu ina udhaifu ndio maana haiwezi kutumia kila kitu..

Wanavyoeleza kuhusu oxygen utaambiwa ni colourless ,odourless na wala huwezi huwezi kuiona ila ni matter maana unachukua nafasi ...Ila unahisi unapovuta the same kwa Mungu uwepo wake upo kuhisia na sio kuona wala kugusa maana milango yako ya fahamu ina udhaifu mkubwa...
😂Nikupe mtungi unijazie gesi ya huyo Mungu
 
Ni kweli msingi wA Imani ni kuwa na uhakika na kitu ambacho hujawahi kukiona, kukikuta/kutana nacho.

Iko hivi ndugu, Mwenyezi Mungu tunaamini yupo kwa kuangalia DALILI Unaona kabisa hizi Ni Ishara (Kwa Wenye Akili lakini) za Kwamba Kuna Superpower Inaendesha Mambo haya duniani. Hapa kwanza ni nje kabisa ya hizi dini bali ni kwanza kwa kutumia Akili tu Unajua Maana hizi dini ni Just ways za kumfikia Mwenyezi Mungu. Sasa hebu angalia Ishara zifuatAzo ndugu
1️⃣. Uwepo wa Ulimwengu na vilivyomo
2️⃣. Uwepo wa Uhai na Kifo
3️⃣. Uwepo wa Nishati hii ya Jua(Nishati ya Ajabu kuwahi Ishuhudia)
4️⃣. Uwepo wa Majanga Mbali Mbali yanayokuikumba hii dunia (kwa mwenye Akili atajua tu ni Result ya Uwepo wake na sio tu result ya Natural Mechanisms pekee kama wanasayansi wanavyodai)
5️⃣. Uwepo wa Kiumbe Mwanadamu ambaye hata wanasayansi wamejaribu kuiga kutoa kopy yake Maabara lakini wameshindwa.
6️⃣. Disparities Mbali mbali zilizoko miongoni mwa Binadamu hao eg. Races, morphological structures na Ethnicity Backgrounds.
7️⃣. Uwepo wa Viumbe wengine nje na Binadamu (Hii ntakuelezea baadae kwa Mujibu wa Islamic Religion Highlights)
8️⃣. Usiku na Mchana (Hapa utaniambia ni result ya sijui rotation of Earth 😀) In real Sense nop isn't true according to the Holly books
9️⃣. Uwepo wa Misimu ya Mwaka/Majira (Hapa pia utasema revolution na bla blah kibao but si kweli). It was purposefully brought so as to make the critical thinkers understand the power of the Almighty Allah. S. W
🔟. Hivi through your Logic can you tell me how comes you Plant a single corn seed and as a result it bears a hundred + corns? How do you see that possible???

Acha nipose kidogo hapa ila ni Vingi sana. Hizi zote ni Dalili za Uwepo wa Mwenyezi Mungu ndugu yangu.
Unajua hivyo vitu ulivyotaja ni fraction ndogo sana ya the known universe yaani solar system ni sawa na punje ya mchele ndani ya ghorofa... so to say kwamba dunia jua na mwezi vimeumbwa, na kwa ajili yako wewe...ni insult kubwa sana.. u r a microbe kwenye huu ulimwengu huna maana yoyote very insignificant to the point kwamba hata haonekani kwenye picha ya galaxy tu moja ya milky way. So kusema all this ni kujikosha ..na lack of knowledge bac...sawa tufanye hatujui milky way imekuwaje ukisema god did it unazua maswali mengi kuliko majibu, alikuwa wapi if there was nothing, Nini kilimfanya atengeneze, was he bored, haya bac if everything demands creation mbona yeye katokea tu out of nowhere with all those complex qualities ..so Bora utumie Occam's razor that reality is best explained easily without involving multitudes of assumptions
 
Hapo ni kwamba unataka kulazimisha tu ili upalilie hoja yako, ilihali imeota nyasi,

Kama unadhani nadanganya fanya kuthibitisha hata kwa kuleta dicument utayoonesha kuwa Primates hao Australopithecus walikuwa wanaabudu.


Then watu wakale kuabudu haina maana yeyote ile kukuhalalishia/kuthibitisha kuwa Mungu yupo.

Unaelewa hilo!?

Hapo unafanya kosa la kimantiki katika kudraw conclusion.

You Appeal to tradition.

Hoja zako nyingi zipo hapa kutetea uwepo wa Mungu.
Wakati unajua kabsa kuwa Mungu huyo hayupo.

Kama nakusingizia thibitisha Mungu yupo!!
Mungu yupo hata usemeje ni suala la muda tu ,utaelewa..kwa hata hao wanasayansi wako hawana hoja ni kama wewe tu hawajui kesho yao.
 
Nyuzi za hivi zinazidi kuongezeka humu jamiiforums, Kiranga kila siku unabadili I'd unaandika tu mambo ya hovyo kuhusu Muumba, inakusaidia nini sasa, wewe Kiranga kama huamini uwepo wa Mungu si upige kmy tuu utapata majibu yako ukifa na wala sio mbali sana.
Inazidi kuongezeka kwa sababu watu wanazidi kugundua wamepigwa
 
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo bali unasema yupo.

Ila ushauri wangu ni kuwa, ukitaka kujifunza huu ulimwengu wakati mwingine itakubidi uachane na mawazo yaliyojengwa na mazoea jinsi umeuexperience huu ulimwengu ukiwa duniani.!!

Maana ukiwa outer space habari za juu-chini, mwanzo-mwisho, kitu kudondoka chini,habari za muda Ni mambo ambayo wewe unayaona ukiwa trapped hapa duniani.

Ulipoambiwa dunia inarotate haukubisha kweli?

Usikubali tu jibu ambalo ni hypothesis huwezi kuliproof.

Jibu ambalo linalazimisha kuvunja mantiki na sheria za ulimwengu kwa kujitungia story wewe mwenyewe.
Wewe hujui chochote kuhusu ulimwengu ndio maana tunabishana mpaka sasa..

Nikikuambia chanzo cha mwanadamu hata nikupe miaka 10 huwezi kuja na facts za kunielewa.....Ndio maana nakuambia tutumie akili sio sayansi wala vitabu vya dini ...Maana sayansi ni mawazo ya mtu na yanakulimit kufikria nje ya box.
 
Amini kuwa Mungu yupo ili siku ukifa uingie peponi. Pia haidhuru hata ukimwamini kuwa yupo na ikatokea akawa hayupo hutokuwa na cha kupoteza so Amini kuwa Mungu yupo brother.
😂😂😂Paschal wager ..bac me naamini spiderman ndo Mungu yupo...Cha muhimu si kuamini tu usiende Motoni
 
Back
Top Bottom