Umejuaje hili ?š¤£Unajua ungekuwa mkristo ungekuwa unamtetea Yesu hapa afu unasema sisi ndo mashabiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje hili ?š¤£Unajua ungekuwa mkristo ungekuwa unamtetea Yesu hapa afu unasema sisi ndo mashabiki
š¤£š¤£š¤£š¤£Asa mi natembea barabarani Kuna muislam anakuja na dini yake, wakristo wa aina zote, wahindu, wa Buddha...mbona kwenda mbinguni kunaanza kuonekana Kama mchezo wa kubahatisha upate jackpotMpaka nashangaa hili kimetoka wapi ? Nakuuliza swali wapi Allah Amesema amewaumba watu ili awachome ? Jibu kwanza hili swali, sababu nimekuonyesha hilo.
Hata hao ambao sio Waislamu hawachomwi mpaka ujumbe wa haki na kweli uwafikie na endapo watakufa hawakufikiwa ujumbe ipo namna ya wao kuhukumiwa.
Sasa leta hoja yako.
Si ukweli...unatetea dini yako ya kuzaliwa.Umejuaje hili ?
Ngumu kwa nani ? Wakati Waafrika wanajifunza Kiarabu na kuwasomesha Waarabu, bali ukisoma katika Historia wasomi wa lugha ya Kiarabu si Waarabu Kiasili.Swali la kwanza kwa Nini katumia means ya communication ambayo ni ngumu...lyk kwa Nini kila mtu asingezaliwa anamjua Allah lazma afundishwe na mama ake muislam na Kama Hana wazazi waislamu coz of geography labda anakuwa dini nyingine. Why religion is just an accident of history and geography?
Nipe sababu tano za yule aliyeumba kila kitu na yeye alazimike kuumbwa ?Huyo Allah nae katokeaje bila kuumbwa?
Nataka ukosoe hayo kwa elimu na hoja.š¤£š¤£š¤£ Nyie si ndo mlisema day, night, jua na mwezi vinazunguka dunia, jua linazama kwenye tope, jua linaomba ruhsa kwa Allah kuchomoza asubuhi....na siku ya mwisho litaambiwa lirudi lilipotoka ndo litachomoza magharibi...š¤£š¤£š¤£š¤£all this is primitive knowledge...yaani huyo mtume wenu alikuwa hajui lolote kuhusu dunia na Sayansi halisi alikuwa anatoa vitu akilini anasema Allah's knows best ..kingine hayo maswali unayouliza don't prove the existence of a god and also don't prove the existence of Allah...it proves kwamba Kuna vitu hatuvijui...hizi zingine ni imagination tu kujikosha unataka watu unaowachukia waumie na wewe ule bata...ni mentality ya kimaskini š¤£š¤£š¤£all in all ni utoto na ujinga...no proof
Sijasema lugha ngumu nimesema means...yaani Kama Mungu ni muumbaji wa kila mtu...kwa Nini hatujazaliwa tunamjua...mpaka tukutane na mzazi muislam ndo atufundishe Quran au mzazi mkristo atufundishe biblia. If Mungu yupo ameshindwa kutoa means ya communication ambae kila mtu duniani angemwelewa kuliko hizi accident za geography na historyNgumu kwa nani ? Wakati Waafrika wanajifunza Kiarabu na kuwasomesha Waarabu, bali ukisoma katika Historia wasomi wa lugha ya Kiarabu si Waarabu Kiasili.
Usiwasemee watu, sema wewe ndio unaona ngumu. Kijana naona umekosa hoja.
Hili kwake no rahisi ila hajataka kufanya hivyo, akaweka namna nyingine ambayo ndio hii.
š¤£š¤£š¤£sababu ni moja .. according to u kila kitu lazma kiwe na mwanzo...so ukisema Allah Hana mwanzo tayari umejicontradict...umefanya special pleadingNipe sababu tano za yule aliyeumba kila kitu na yeye alazimike kuumbwa ?
Unaamini Kuna Infinity series ?
Allah hajatokea bali yeye yupo.
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Jua halizunguki dunia msianze kujikosha cjui milky way...nitafutie sehemu yoyote Quran nzima iliyotaja milky way...waislamu mnapenda kujikosha na kuforce vitu ambavyo havipo in ur books...š¤£so usiku badala ya jua kua Brazil huko kumbe linaenda kumpigia magoti Allah lichomoze uarabuni Tena mtume alione...𤣠geography yenu nimeipendaNataka ukosoe hayo kwa elimu na hoja.
Jua linatembea au halitembei ?
Suala la kuzama matopeni hili limeshaelezwa zaidi ya mara moja humu ndani.
Naam jua linaomba ruhusu, sababu ni kiumbe.
Hivyo vitu huvijui wewe, na hakuna zaidi ya Allah.
Nitakuuliza hivyo vitu vinaweza kuwa na sifa gani ?
Mzee Masanja pale Gamboshi akipaa na ungo tunamuita mchawi na kumchukia, lazima Mzee Yesu wa Galilaya akipaa tunasema ni masihi anaenda Kwa Baba yake Mungu aliye hai..Mnyiramba wakwanza wa hovyo sana.
Hujui kitu na huna akili hata moja
Huamini kuhusu Mungu ila unaamini uchawi bogus wewe
Nipe sababu tano za yule aliyeumba kila kitu na yeye alazimike kuumbwa ?
Unaamini Kuna Infinity series ?
Allah hajatokea bali yeye yupo.
Nimekuambia wewe,mimi nitakuambia kaumbwa Mungu na wewe si hauamini...Mkuu, eleza chanzo cha binadamu na utoe facts kama ulivyosema.
Hayo mengine unayoyafanya hapa ni uhuni tu.
Sijui kila kitu, ndo maana nakwambia unipe hizo facts za chanzo cha binadamu.
Nimekupa hoja kibao ila haujawahi kutoa hoja hata moja..kwa vile hauna uhakika na upande wako.Naona umeishiwa hoja za kutetea uwepo wa Mungu
Ana sifa zoteBasi tukubaliane hivi,
Kama Mungu huyo Yupo na ndiye mratibu wa mambo yote,
Basi Mungu huyo pia ni mratibu wa Uovu wote, Ubaya wote, Mateso yote, Ukatili wote, Unyama wote, na makosa yote.
Mungu huyo hana huruma na ni mkatili sana
Maana yeye ndiye mratibu wa mambo yote.
Weka ushahidi wapi kwenye Uislamu hili limeruhusiwa ?Ila kumpiga mtu mawe unaweza coz Imani yako Ina ruhusu...u see, this is wat religions do to ppo... matokeo yake watu wanalipua majengo na kuuwa watu...
Sio hajaamini, sababu umepewa akili na moyo kwa ajili ya kutambua mambo, na kuhifadhi mambo na kujua ukweli na uongo.Okay ila kumadhibu milele, adhabu gani hiyo, kumchoma moto milele kisa hajaamini story za muarabu...we unaona ni fair, imagine umefika huko ukaambiwa Jesus ndo Mungu na wewe umeamini false god so umekufuru na unachomwa milele, hivi hautalalamika...utaona ni fair kabisa unastahili and that's love...sometimes fikiri nje ya box
Akili ya kawaida inakubali ya kuwa kama Mungu ni mmoja basi dini ya Mungu lazima itakuwa Moja, mitume wote na manabii walikuwa Waislamu.š¤£š¤£š¤£š¤£Asa mi natembea barabarani Kuna muislam anakuja na dini yake, wakristo wa aina zote, wahindu, wa Buddha...mbona kwenda mbinguni kunaanza kuonekana Kama mchezo wa kubahatisha upate jackpot
Jibu swali nililo kuuliza.Si ukweli...unatetea dini yako ya kuzaliwa.
Wapo ambao wamezaliwa na wazazi ambao si Waislamu na Sasa ni Waislamu. Unaandika nini kijana ?Sijasema lugha ngumu nimesema means...yaani Kama Mungu ni muumbaji wa kila mtu...kwa Nini hatujazaliwa tunamjua...mpaka tukutane na mzazi muislam ndo atufundishe Quran au mzazi mkristo atufundishe biblia. If Mungu yupo ameshindwa kutoa means ya communication ambae kila mtu duniani angemwelewa kuliko hizi accident za geography na history