Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Kama wewe ni Mkristo
Tafuta sana maarifa ya Neno la Mungu usije ukaangamia bila hiyo. Otherwise utubu kwa hayo maandiko unayopotosha nayo watu ili wakuamini. Tangu mwanzo wa maandiko yako hadi mwisho hakuna hata quote moja inayotoka kwa vitabu vya Munngu ikimaanisha ni mawazo yako ya kufikirika. Mungu huyo huyo akusamehe tu bure
 
Kwanza, Thibitisha kama huyo Mungu yupo na si mawazo yako ya kufikirika tu.

Eleza Mungu huyo yupo kwa namna gani?

Acha kuleta Hofu zako na propaganda za kidini hapa.
 
Ndio maana unaambiwa huo upendo wote wa mungu hauna mantiki

Inakuaje atuumbie mashida yote hayo wakati alikua na uwezo wa kutoziumba?
Binadamu anapewa mitihani na ameumbwa kuhangaika ...Mpaka elimu yako wewe lazima haoa duniani unapewa elimu ila utapewa mitihani ili kupima uwezo wako .
 
Mungu ni chanzo cha kila kitu duniani. Sisi kaballah tunaamini kuna nguvu kuu ambayo ndio inaendesha ulimwengu
Mungu ni kitu ama Si kitu?

Kama Mungu huyo ni "Kitu" kilichopo na Yupo, lazima awe na chanzo chake, Maana na yeye ana sifa ya kuwa "Kitu"

Maana umesema, Kila kitu kina chanzo. Basi hata huyo Mungu kwa vile ni kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo chake.

Kama Mungu huyo Si kitu, Basi HAYUPO maana kanuni ni kwamba, Kila kitu lazima kiwe na chanzo chake.
 
Ww si umesema wewe ni tajiri😂😂? wewe sio tajiri acha kudanganya watu ,wewe ni mtu wa hali ya chini ndio maana una makasiriko na neema za Mungu.

Hata hao pia Mungu kapanga ,Mungu anatoa kwa wanadamu wote hapa duniani na wala hatoi adhabu hapo kwa hapo....kwani wewe ukitoa logic yako hayo madawa na kudhumulumu kwako sio dhambi kwa vile huamini kweny Mungu.

Una wasiwas gani kwa wauza madawa na wanaodhulumu wakati huamini Mungu😂?

Haina mantiki kabisa kumsema muuza madawa wakati unaamini hamna Mungu,umejuaje kama kuuza madawa ni kosa kwa sheria zipi ?
 
Hicho chanzo ndio yeye.
 
Aliyekufa hana respiratory system 😂😂? Anayelipia oxygen ili kupumua akiwa hospital hana respiratory sytem?


Kama tunalipia oxygen kipind fulani kutokana na matatizo ,je hii oxygen ya asili tunayopumua ya nan?

Mbona hamna hoja kama sio wasomi..
 
Sikuelewi binadamu ameingiaje afu na ukaanza kunihadithia hekaya za wayahudi
 
Swali lako halijakamilika, nenda kasome mafundisho ya Uislamu juu hili, kisha uje kuuliza swali.

Kwenye nchi ya Kiislamu, Muislamu akiliritadi hukumu yake ni kuuliwa.
😙Asante kwa kunijibu...🤣
 
Hapa tunamuongelea Allah muumba ambaye hakosei.

Unapo muweka mwanadamu, ujue ni mkoseaji Kuna muda anapatia na Kuna muda anakosea.

Swali lako halina maana sababu umeweka mfano "Mfu".
🤣 Nimeweka mfano halisi, so far huna hoja... hoja yako ni kitabu Cha muarabu kimesema na ninaamini...so hatuwezi kuwa na serious convo
 
🤣Why nani... why kila kitu kiwe na mtu...yaani kuna mtu anamiliki oxygen...mbona tunaota ndoto za watoto jamani
 
Why muweza wa yote anatumia kitabu....? Wewe Leo ukitaka kujua kitu unatafuta kitabu au si unaingia mtandaoni unatafuta credible unbiased source, halafu hizi story za kutokeana kwa Nini asingesubiria tupate technology ya anga na ya internet na camera tuweze record Musa akivuka bahari, Muhammad akigawa mwezi, afu why no archaeological evidence au shetani ndo kaficha ili Mungu atutest...😴all of this doesn't make sense yo
 
🤣Why nani... why kila kitu kiwe na mtu...yaani kuna mtu anamiliki oxygen...mbona tunaota ndoto za watoto jamani
😂😂Sasa yupo anayeratibu ... Ngoja ushinwe kupumua ukalipie utajuu neema za Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…