Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Kwanza kwenye karne hii kujadili kuwa milima ipo ili kuzuia ardhi isiyumbe yumbe ni upumbavu wa hali ya juu.

Mwandishi huyo ambae hakujua kusoma na kuandika alichemka.

Aliamini dunia ni flat na aliamini kuwa ardhi imetandazwa tu kama floor zilivyo, hivyo ili ziwe stable itahitaji nguzo.

Ukweli ni kwamba milima hauhusiani na stability ya dunia.

Na milima iko ya aina tofauti.

Mingine ni ya kivolkano.
Volcano zinaweza kutokea muda wowote.

Je hyo inaashiria Mungu wako hakumaliza kuumba dunia
 
Hili wazo lako haliongezei chochote zaidi ya kuwapotosha wanadamu kuendelea kufanya mabaya
Ukikaribia kufa futa huu uzi mkuu maana utakuhukumu sku ya mwisho
Hii kitu inaishi unajua

Hakuna mahali nimehamasisha watu kufanya mabaya mkuu

Mimi naamini ni sheria za kidunia ndio zinasaidia watu kuacha kufanyiana mabaya kuliko hizo sheria za dini(Mungu)

Hizo habari za hukumu ni habari za kutishana tu
 
Daah huu Uzi wa Moto sana
 

Sasa mbona Hilo swali linarudi Kwa Mungu wako pia! Allah ametokana pasi na chochote au amejiumba!?
 
Hakuna moto Wala Pepo, acha kupenda kujipa moyo, tamaa Yako sio kwenda huko peponi tamaa Yako ni bikra 72 ambazo hujawahi kukutana Nazo kwenye uhalisia wa maisha Yako .
 
Nimesoma maoni yako vzr rafiki yangu ...lakini kumbuka mambo mabaya yanayotupata msabibishi si mungu ...

Mungu anapenda watu wamwabudu kwa hiari yaani kwa kupenda ,alikuwa na uwezo kutuumba tuwe ka roboti ili kwamba tufanye atakacho yeye lakini yeye ametupa uhuru wa kuchagua tumtii au tusimtii

Pia mungu hakumuumba shetani ,aliumba malaika wakamilifu huko mbinguni ila malaika mmoja alitumia uhuru wake vibaya ,kwakutamani kuabudiwa awe ka mungu ndo huyo malaika mwovu anaitwa Shetani

Na matokeo yake huyo shetani alipinga enzi ya mungu kutawala akamwasi Mungu.Akaja duniani akanzisha uasi kwa wanadamu wasitii maagizo ya mungu.

Kumbuka pia mungu alimwambia mwanadamu matokeo yangekuwa nini ikiwa angekosa kutii maagizo hayo

Kwa hiyo Mungu ameacha muda upite kuthibitisha ikiwa wanadamu bila mungu wanaweza kujitegemea wenyewe? Mungu sio mtawala wa ulimwengu huu anayeoongoza ni shetani

Hivyo mambo yoote mabaya tunayopata sasa ni matokeo ya utawala wa shetani ..suluhisho ya matatizo haya ni kusubiri utawala wa mungu uje tena unaoitwa Ufame wa mungu ..


Kwa maongezi zaidi 0624009037/0717382740
 
Ungetumia nguvu unazo amini kuwaponya wote. Mbona hukufanya hivyo?... Maana KWa mujibu wako Mungu si hayupo....
 
Jenga hoja kuonesha na kuthibitisha kwamba Mungu yupo.

Pia jenga hoja kuonesha kwamba uchawi upo.

Ukishindwa wewe ndio Bogus na huna akili kabisa.
Usimgeuzie kibao bwana Loftins ... Huyo anaye amini uchawi afu amwamini Mungu ndo athibitishe anaaminije uchawi afu Mungu amwamini?

By the way, you are atheist.... From my experience, seems like atheist suffers mental problems... They are always rude... Wakisikia tu neno YESU KRISTO WA NAZARETH AU MUNGU ALIYE HAI... wanakuwa kama wamepagawa vile.....
 
Mbona kama maelezo ya dhana ya mwanzo wa uasi yana ji ocontradict na sifa ya all knowing God?
 
Kama lengo la kuumba watu ni ili wamuabudu,

Mungu mjuzi wa yote Kwanini akaumba hawa watu ambao hawamuabudu.

Maana yake Mungu huyo mwenye upendo wote aliwaumba makusudi ili awachome moto?

Kwasababu ya kichwa chako hiko, hauoni kama kuna contradiction hapo.
 
Means
Una uwezo wa kutengeneza gari zima ila ukatengeneza na bovu ili lisipotimiza matakwa yako uli ponde ponde na ulitumie resources za kutosha
Funny[emoji23]
 
Sijapagawa na chochote.

Hamkatazwi kuwa na imani yenu ya uwepo wa Mungu, Hio ni haki yenu kabisa ya kikatiba.

Ninyi mnapo anzishaga nyuzi za kuhubiri uwepo wa huyo Mungu, Huwa hamtaki ku kosolewa kwa vyovyote vile,

Kwamba mnadhani Ninyi ndio mko sahihi sana kuliko wengine, tusio amini uwepo wa huyo Mungu.

Atheists, Waki anzisha nyuzi za kutokuwepo huyo Mungu, Ninyi waamini Mungu huwa ndio mnapagawa hivi😄😄

Mnakuja na mahasira, mapovu yamewajaa mna anza mashambulizi ya kumtetea Mungu wenu huyo asiye kuwepo.

Sasa Kama Mungu huyo yupo, Na ni muweza wa yote, Anashindwaje kujitetea mwenyewe?

Hamkatazwi kuwa na imani yenu ya uwepo wa Mungu,

ila mkianza kudai imani yenu hiyo ndio ya "Ukweli" na kuona wengine ambao hawa mwamini Mungu huyo hawako sahihi lazima mthibitishe hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…