Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Unauhakika na ukizungumzacho!?Ila hakuna nchi inayo zidiana na nchi nyingine kwa masaa 24.
Na inahusiana nini na nlichokuuliza mimi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauhakika na ukizungumzacho!?Ila hakuna nchi inayo zidiana na nchi nyingine kwa masaa 24.
Kwanza kwenye karne hii kujadili kuwa milima ipo ili kuzuia ardhi isiyumbe yumbe ni upumbavu wa hali ya juu.Sasa hiyo Geography iliyo kosoa iweke hapa, kama hauta kimbia huu uzi.
Vijana shida yenu nyinyi ni mashabiki wa kauli za wajinga fulani.
Leta hizo hoja za Jiografia iliyo kosoa. Kisha nikuulize maswali ya kiuchunguzi ukijibu maswali yangu, naacha kujadiliana katika huu uzi.
Hili wazo lako haliongezei chochote zaidi ya kuwapotosha wanadamu kuendelea kufanya mabaya
Ukikaribia kufa futa huu uzi mkuu maana utakuhukumu sku ya mwisho
Hii kitu inaishi unajua
Daah huu Uzi wa Moto sanaDunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu
Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata
Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake
Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair
Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu
Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk
Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa
This is the biggest scam ever
Sawa, kayaumba kamuumbia nani Sasa kama sio mwanadamu!? KayaruhusuSio karuhusu Mkuu ila kayaumbaa mabaya soma isaya 45:7
🤣Mwambie kabisa kaweka utamu kwenye nyonyo...hizi hoja mkienda real debates mtapigwa Ile mbayasawa baba wewe sindo uliyeweka sukari katika embee tunakushuru
Sasa kwanini unasema hakipo na umekiri ya kuwa huwezi kuthibitisha ? Unatumia nini kufikiri ?
Mimi nimeshakuthibitishia, nataka uje ukosoe ithibati zangu.
Kwanini unalazimisha kutokuwepo kwake na unashindwa kuthibitisha hilo ? Huu ni upumbavu wa hali ya juu.
Swali, yanayosemwa kwenye vitabu ni ya uongo ? Mfano nimeweka aya hapa lakini hakuna aliye jadili kilicho andikwa kwenye aya mnaruka ruka. Aya inauliza kwamba je hii Dunia imetokana pasi na chochote au imejiumba ? Ukootafakari hii aya kwa umakini no sahihi, Sasa mje mseme ya aidha imejiumba au imetokana pasi na chochote, kisha mthibitishe hilo.
Jibu hoja usishambulie mtoa hoja. Kuwa mtu mzima basiWEWE NI BIGGEST LOSER IN THE HISTORY OF LOSERS!!!
Hakuna moto Wala Pepo, acha kupenda kujipa moyo, tamaa Yako sio kwenda huko peponi tamaa Yako ni bikra 72 ambazo hujawahi kukutana Nazo kwenye uhalisia wa maisha Yako .Safi kabisa, uje tena kusema ya kuwa mantiki ni jambo la msingi. Nitakuuliza swali kwanini umefikia hitimisho la juu ya kuwa watu kuingia motoni ni kwamba Allah Hana upendo wowote ?
Nilipokosoa Mantiki kama fani pweke, sababu najua logic, logic ina udhaifu wa kuchukua mambo juu juu. Huwezi kujiuliza kwanini watu wameingia motoni ? Ni baada ya nini na nini ?
Mpaka watu wanaingia motoni ni mchakato wa matendo, nia, na kufata mafundisho. Ukiona watu wanaingia motoni ujue huo ni mchakato, ni kwamba walifikishiwa ujumbe wakaukataa, hawakufanya toba muda ambao nafasi ya kufanya hivyo ilikuwepo, walikuwa na uwezo wa kufanya mema hawakufanya bali walikuwa na uwezo wa kutofanya uovu wakazembea.
Sasa kwa kutumia logic yenu kwa jambo kamilifu kama hilo onyesha wapi Lina makosa na halina mantiki kwa maana ya kuleta maana.
Allah akisema ya kuwa atatupa mitihani na hili liko wazi, akupime utasubiri au utakufuru, muda ambao tayari ameshakupa na njia ya kufaulu mtihani huo. Hapa anaonyesha upendo wa hali ya juu alio nao kwa waja wake.
Naam, anajua hayo sababu yeye ni Mjuzi wa kila kitu. Lakini kujua kwake yeye hakukuzuii wewe kufanya unalo taka, sababu ametupa uhuru huo.
Usiseme yanakosa mantiki kwa kuhitimisha juu juu na kutoangalia mchakato mzima.
Sasa nataka uje hapa uonyeshe kutokuwa na maana kwa maneno haya.
Yuko wapMungu yupo hata utoe mifano ambayo haipo ila ukweli Mungu yupo mratibu wa mambo yote...
Nah man, umri sio akiliDebate iliyowazidi umri.
Ungetumia nguvu unazo amini kuwaponya wote. Mbona hukufanya hivyo?... Maana KWa mujibu wako Mungu si hayupo....Ndio ushangae sasa huyu Mungu kwanini aoteshe mibangi
Mwezi uliopita nilikua Muhimbili wodi za watoto wa saratani
Yaani niliwaangalia wale watoto wadogo kweli jinsi wanavyopata tabu ya kansa na matibabu yake
Machozi yalinilenga aisee, unabaki unajiuliza kuhusu Mungu unakosa majibu
Usimgeuzie kibao bwana Loftins ... Huyo anaye amini uchawi afu amwamini Mungu ndo athibitishe anaaminije uchawi afu Mungu amwamini?Jenga hoja kuonesha na kuthibitisha kwamba Mungu yupo.
Pia jenga hoja kuonesha kwamba uchawi upo.
Ukishindwa wewe ndio Bogus na huna akili kabisa.
Mbona kama maelezo ya dhana ya mwanzo wa uasi yana ji ocontradict na sifa ya all knowing God?Nimesoma maoni yako vzr rafiki yangu ...lakini kumbuka mambo mabaya yanayotupata msabibishi si mungu ...
Mungu anapenda watu wamwabudu kwa hiari yaani kwa kupenda ,alikuwa na uwezo kutuumba tuwe ka roboti ili kwamba tufanye atakacho yeye lakini yeye ametupa uhuru wa kuchagua tumtii au tusimtii
Pia mungu hakumuumba shetani ,aliumba malaika wakamilifu huko mbinguni ila malaika mmoja alitumia uhuru wake vibaya ,kwakutamani kuabudiwa awe ka mungu ndo huyo malaika mwovu anaitwa Shetani
Na matokeo yake huyo shetani alipinga enzi ya mungu kutawala akamwasi Mungu.Akaja duniani akanzisha uasi kwa wanadamu wasitii maagizo ya mungu.
Kumbuka pia mungu alimwambia mwanadamu matokeo yangekuwa nini ikiwa angekosa kutii maagizo hayo
Kwa hiyo Mungu ameacha muda upite kuthibitisha ikiwa wanadamu bila mungu wanaweza kujitegemea wenyewe? Mungu sio mtawala wa ulimwengu huu anayeoongoza ni shetani
Hivyo mambo yoote mabaya tunayopata sasa ni matokeo ya utawala wa shetani ..suluhisho ya matatizo haya ni kusubiri utawala wa mungu uje tena unaoitwa Ufame wa mungu ..
Kwa maongezi zaidi 0624009037/0717382740
Kama lengo la kuumba watu ni ili wamuabudu,Kutokuabudu na kuabudu ni matokeo, kwahiyo ukiona mtu anaabudu huyo amefanya hivyo kwa hiari yake na asiye abudu ni kwa hiari yake.
Ila ukaambiwa lengo la wewe kuumbwa ni kumiabudu yeye, kwahiyo ni hiari yako kuchagua lipi ni lipi, na ukiabudu ukaambiwa utalipwa pepo na usipo abudu utalipwa moto.
Sababu ametaka yote yatokee, kwa ajili ya kuwatahini waja wake, kuwaadhibu ili walifikie lile lengo la wao kuumbwa kwao.
Sasa kwanini amuonee binadamu?Sawa, kayaumba kamuumbia nani Sasa kama sio mwanadamu!? Kayaruhusu
MeansKama lengo la kuumba watu ni ili wamuabudu,
Mungu mjuzi wa yote Kwanini akaumba hawa watu ambao hawamuabudu.
Maana yake Mungu huyo mwenye upendo wote aliwaumba makusudi ili awachome moto?
Kwasababu ya kichwa chako hiko, hauoni kama kuna contradiction hapo.
Sijapagawa na chochote.Usimgeuzie kibao bwana Loftins ... Huyo anaye amini uchawi afu amwamini Mungu ndo athibitishe anaaminije uchawi afu Mungu amwamini?
By the way, you are atheist.... From my experience, seems like atheist suffers mental problems... They are always rude... Wakisikia tu neno YESU KRISTO WA NAZARETH AU MUNGU ALIYE HAI... wanakuwa kama wamepagawa vile.....