Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Tatzo lililokumba Nchi zetu ni hili.

Watu wamejitengenezea purpose ya maisha hapa duniani.

Yaani mtu anaishi akijua duniani yuko kwa hisani ya Mungu (asiyepo) ,

Mtu anaridhika na umaskini akiamini yeye ni tajiri wa rohoni (roho isiyopo)

Mtu maisha yake yote yanatekwa na dini.
Kwa bahati mbaya dini ikikukaa vzuri na ukahisi umefikia level ya uMungu, hapo psychology yako inakuwa totally corrupted.

Hey African, hatuko duniani ili kusubiri kuinuliwa.

Ukweli mchungu ni kwamba we are nothing.
 
Mtu yoyote mwenye akili timamu kama haamini kuna Mungu basi ujue pia haamini kama kuna Shetani, majini, roho, uchawi na vitu vyote vya kufikirika vya aina hiyo
 
Dunia imeonyesha wala wema sio wale wenye kufanya wema wakitegemea malipo ya peponi. Wema ni wale hawaamini uwepo wa pepo ya mbinguni ila wanafanya wema. Mtenda wema kwa kuogopa mungu ni mnafiki tu ila mtenda wema kwa kuamini ubinadamu tu ndio mwema.
Kama mtu anatenda mema kwa hofu ya Mungu tu, vipi ikija akathibitisha nayeye, au dini zikaamua kuacha na kutangaza kuwa Mungu hayupo!?

Wema hauna uhusiano na mambo ya Mungu

We respect humanity.
 
Huyu Shetani si katuletea Mungu ili aje kutupotosha na kutuletea majanga

Yaani anatupiga na matetemeko, maradhi vita u masikini tukiwa duniani

Halafu anatusababishia tukachomwe moto milele

Huyu Mungu ni katili sana kwetu
 
Wengi wamefikiria

Wengi wamefikiri hivo na dini nyingi zinafundisha hivyo kuwa mungu atawachoma kwenye moto wa milele lakn maandiko hayafundishi ivyo baali mungu ataondoa wale wanaoiharibu dunia si kwa moto zaburi 37:11
 
Hoja yangu ni kukuomba uproof jibu lako la kuwa kuna Mungu.

Na inaonesha ni kwamba umeshindwa lakini una imani potofu tu.

Wewe unataka nitoe hoja kuhusu nini?
 
Huyu Shetani si katuletea Mungu ili aje kutupotosha na kutuletea majanga

Yaani anatupiga na matetemeko, maradhi vita u masikini tukiwa duniani

Halafu anatusababishia tukachomwe moto milele

Huyu Mungu ni katili sana kwetu
Hapana huu si utawala wa mungu ..mtawala ulimwengu huu ni shetan na mungu kaacha ili athibitishe kuwa utawala wa shetan umeshindwa kuongoza wanadamu ndio maana tunasubiri utawala wake uje
 
Binadamu anapewa mitihani na ameumbwa kuhangaika ...Mpaka elimu yako wewe lazima haoa duniani unapewa elimu ila utapewa mitihani ili kupima uwezo wako .
Inawezekana vipi Mungu mjuzi wa yote atake kutupima?

Unamaanisha hajui matokeo?
 
Mungu ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna kinachofanana nae.
Ndg elimu ni pana sana. Kama unataka kumelewa zaidi soma hao Masheikh na Mapadre wamesoma ndugu acha masihara na mambo ya imani.
 
Hoja yangu ni kukuomba uproof jibu lako la kuwa kuna Mungu.

Na inaonesha ni kwamba umeshindwa lakini una imani potofu tu.

Wewe unataka nitoe hoja kuhusu nini?
Uwepo wako wewe hapa duniani ndio unathibisha kama Mungu yupo

Na Ili upate uhakika katika hili nenda ukamulize baba yako shahawa zake zilizokuleta wewe hapa duniani yeye alizipata wapi atakuwambia alitunukiwa na Mungu

Kama atakupa jibu tofauti uje utuambie hapa hizo shahawa baba yako alizinunua katika super market gani?

Maana mbele ya Mungu wewe si chochote ila shahawa za baba yako
 
Mungu ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna kinachofanana nae.
Ndg elimu ni pana sana. Kama unataka kumelewa zaidi soma hao Masheikh na Mapadre wamesoma ndugu acha masihara na mambo ya imani.

Kama Mungu ni mmoja mbona kuna miungu zaidi ya milioni?

Hao mapadri na mashekh wenye wanatofautiana kuhusu mungu
 
Imani bhana, eti hata Jani la mti likidondoka anajua, hata idadi ya mchanga wa Bahari zote duniani anajua[emoji3][emoji1787][emoji1787]
 
Ambayo ni ipi hiyo namna ya wao kuhukumiwa!?
 
Vimondo vinawapiga mashetani ah kummke[emoji1787][emoji1787] kile Cha mbozi kilimkosa shetani si ndio? Hivi kwani shetani ni kiumbe chenye mwili eeh Tena Cha kupigwa na mawe kama mnavyofanya kule mecca aisee[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…