Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Tatzo lililokumba Nchi zetu ni hili.Kutokuabudu na kuabudu ni matokeo, kwahiyo ukiona mtu anaabudu huyo amefanya hivyo kwa hiari yake na asiye abudu ni kwa hiari yake.
Ila ukaambiwa lengo la wewe kuumbwa ni kumiabudu yeye, kwahiyo ni hiari yako kuchagua lipi ni lipi, na ukiabudu ukaambiwa utalipwa pepo na usipo abudu utalipwa moto.
Sababu ametaka yote yatokee, kwa ajili ya kuwatahini waja wake, kuwaadhibu ili walifikie lile lengo la wao kuumbwa kwao.
Watu wamejitengenezea purpose ya maisha hapa duniani.
Yaani mtu anaishi akijua duniani yuko kwa hisani ya Mungu (asiyepo) ,
Mtu anaridhika na umaskini akiamini yeye ni tajiri wa rohoni (roho isiyopo)
Mtu maisha yake yote yanatekwa na dini.
Kwa bahati mbaya dini ikikukaa vzuri na ukahisi umefikia level ya uMungu, hapo psychology yako inakuwa totally corrupted.
Hey African, hatuko duniani ili kusubiri kuinuliwa.
Ukweli mchungu ni kwamba we are nothing.