SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Mi cjui.. that's my answer..Kama una jibu thibitishaMsaidie ndugu yako kwanza kujibu, ungejibu swali nililouliza ungekua ushapata na jibu la swali lako tayari.
Kasema Binadamu hajatokea,.. Nimeuliza kuna uthibitisho?
Huwezi mchoma mwanao moto na plz usikimbie kwenye Chaka la huwezi kumuelewa Mungu the only person I can't understand ni huyo aliyetunga hizi story za uwongoNamna nzuri ya kufikiri siyo hiyo!
Chukua mfano wa wewe na Mkeo au Mumeo!
Kwanini Msiishi kwa furaha ile ile mliyoanza nayo tangu Mwanzo?
Au kwa nini kuna nyakati unamchapa Mwanao mpendwa viboko?
Inamaana humpendi?
So ndivyo ilivyo kwenye Maisha ya Mwanadamu na Mungu wake!
Passing through turbulence...makes quite an experience...!
Duu Kijiji kimefanyaje? This is wat religions does to people. Mnashangilia natural disasters na kusema ni sawa. Ukiulizwa kosa letu Nini kutumia viungo vyetu Kama vilivyoumbwa kutumika. Hata kama huyu Mungu katili angekuwepo nisingemuaminiNitakusaidia kuhusu GHADHABU.
UKWELI NI KWAMBA MUNGU HANA GHADHABU NA WALA HANA SABABU YA KUMGHADHABIKIA MWANADAMU!
Mungu ni UPENDO daima!
KInachotokea ni CONSEQUENCES ZA MAMBO AMBAYO MWANADAMU amekwenda kinyume na Asili yake!
Kwa Mfano hivi majuzi kijiji kizima kilifutika kwenye uso wa Dunia huko Libya-Hiyo inaweza kuitwa GHADHABU lakini UKWELI ni kwamba tunavuna tulichopanda wenyewea!
Tumechezea Nature!
Na hata hivo bado UPENDO WA MUNGU KWA WANADAMU UTAENDELEA KWA KUWA WACHACHE WALIOKUFA WATASABABISHA WENGI KUPONA!
MUNGU NI UPENDO NA DAIMA ANAENDELEA KUWA UPENDO!!
Thank youMwandishi katoa mawazo tena mazuri tu. Sioni kwa nini umwambie kavuta bangi. Hakuna mtu aliyewahi kuthibitisha uwepo wa Mungu. Siri kubwa ya dini ni IMANI. Wafuasi wote wanafuata bila kuhoji wala kudai uthibitisho. Na hii ni kwa dini au IMANI zote. Iwe dini ya Kikristu, Kiislamu, Kihindu, au ile ya Kikabila kila kitu chake kimejikita kwenye siri. Yaani kukubali bila kuwa na uhakika au uthibitisho. Mara nyingi utaona waumini hulazimishwa kwa vitisho, hasa wakiogopa kwenda motoni (dini za kigeni) au kulipwa kwa adhabu na mateso makali (dini za kienyeji) hapahapa duniani. Mimi sina hakikaki na ukweli, maana sina vikokotoo vya kunisadia kuona kama dini hizi ni za kweli au siyo. Hakuna vikokotoo vya kutosha kuthibitisha kama Mungu yupo au hayupo. Hapa duniani tunasukumwa tu na uoga.
Hujajibu swali bado, Nimeuliza ulivyosema ulimwengu ulitokea tu reference yako ni nini? Maana sayansi haisemi hivyo au kuna utafiti wowote umefanya ukaja na majibu hayo?Sayansi haijasema ipo 100% we unavyotumia Sayansi kukubali ulimwengu una mwanzo ili kusupport ur claims lakini ikisema evolution unakataa unachofanya ni kujikosha "special pleading"
Kama hujui kuwa humble Ili ujifunze zaidi. Sisi binadamu hatuna Uwezo wa kujua kila kitu.Mi cjui.. that's my answer..Kama una jibu thibitisha
Logical non sequiturNitakusaidia kuhusu GHADHABU.
UKWELI NI KWAMBA MUNGU HANA GHADHABU NA WALA HANA SABABU YA KUMGHADHABIKIA MWANADAMU!
Mungu ni UPENDO daima!
KInachotokea ni CONSEQUENCES ZA MAMBO AMBAYO MWANADAMU amekwenda kinyume na Asili yake!
Kwa Mfano hivi majuzi kijiji kizima kilifutika kwenye uso wa Dunia huko Libya-Hiyo inaweza kuitwa GHADHABU lakini UKWELI ni kwamba tunavuna tulichopanda wenyewea!
Tumechezea Nature!
Na hata hivo bado UPENDO WA MUNGU KWA WANADAMU UTAENDELEA KWA KUWA WACHACHE WALIOKUFA WATASABABISHA WENGI KUPONA!
MUNGU NI UPENDO NA DAIMA ANAENDELEA KUWA UPENDO!!
Tatizo lako lilianzia hapa, Nna uhakika hata mama na baba yako hawakuishi pamoja hivyo bado una hasira na kukosa malezi pande mbili na umeona Mungu ndio wa kulaumiwa kwa hayo umepitiaKama hakuna Mungu imani ya BIBILIA(maneno ya Mungu) itatoka wapi sasa?
Nimezaliwa na kulelewa mazingira ya uislam kwa mama na ukristo kwa baba, nazijua jua vizuri hizi dini
Toka utoto wangu naaminishwa habari za Mungu lakini kadiri ninavyozidi kukua concept nzima ya Mungu ikaanza kukosa maana kabisa
Na sasa nimejiridhisha pasi na shaka ya ziada huu ni uongo mtakatifu
Ningejua mapema nisingepoteza muda wangu kwa huu uongo
Tulia!Duu Kijiji kimefanyaje? This is wat religions does to people. Mnashangilia natural disasters na kusema ni sawa. Ukiulizwa kosa letu Nini kutumia viungo vyetu Kama vilivyoumbwa kutumika. Hata kama huyu Mungu katili angekuwepo nisingemuamini
Ni umasikini tu wa Lugha na NYAKATI!Logical non sequitur
Naongelea katika gharika.
Kipindi cha Nuhu,
Jibu kwa reference ya gharika kipindi cha Nuhu sio mafuriko yatokeayo hivi leo.
Je Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo hakughadhabika hadi akaamua kuleta gharika!?
Au Mungu wako wewe hana hadithi ya Noah!?
Namna nzuri ya kufikiri siyo hiyo!
Ni kwa sababu Wewe binadamu haujui yote ya mbeleni, Na huwezi kujua kama mwanao mpendwa atakuja kufanya makosa.Chukua mfano wa wewe na Mkeo au Mumeo!
Kwanini Msiishi kwa furaha ile ile mliyoanza nayo tangu Mwanzo?
Au kwa nini kuna nyakati unamchapa Mwanao mpendwa viboko?
Inamaana humpendi?
So ndivyo ilivyo kwenye Maisha ya Mwanadamu na Mungu wake!
Passing through turbulence...makes quite an experience...!
Wewe haupo motoni wala mbinguni.Upoupo tu.Mwandishi katoa mawazo tena mazuri tu. Sioni kwa nini umwambie kavuta bangi. Hakuna mtu aliyewahi kuthibitisha uwepo wa Mungu. Siri kubwa ya dini ni IMANI. Wafuasi wote wanafuata bila kuhoji wala kudai uthibitisho. Na hii ni kwa dini au IMANI zote. Iwe dini ya Kikristu, Kiislamu, Kihindu, au ile ya Kikabila kila kitu chake kimejikita kwenye siri. Yaani kukubali bila kuwa na uhakika au uthibitisho. Mara nyingi utaona waumini hulazimishwa kwa vitisho, hasa wakiogopa kwenda motoni (dini za kigeni) au kulipwa kwa adhabu na mateso makali (dini za kienyeji) hapahapa duniani. Mimi sina hakikaki na ukweli, maana sina vikokotoo vya kunisadia kuona kama dini hizi ni za kweli au siyo. Hakuna vikokotoo vya kutosha kuthibitisha kama Mungu yupo au hayupo. Hapa duniani tunasukumwa tu na uoga.
Kwa akili zake na mwandiko wake unaona atakomboka? Wengine Ni kuwaacha tu.Jibu hoja za mwenzio ili umkomboe huko anakoona ni uwongo umlete kwenye ukweli, siyo kumjibu vitu visivyoeleweka
Kwa hiyo umenuna?Zimshinde zishimshinde yeye sio mwarabu wala mzungu .ujinga wa warabu na wazungu muafrika haumuhusu
[emoji3][emoji3]ah kummkeHapo ndio akili yako imeishia, ushaambiwa siku ya malipo na sio duniani. Hawezi tena kuwa mtoto huyo siku ya malipo.
Kwa hiyo Kwa kifupi ni kwamba Hawez kuumba Mungu mwingine mkubwa kuzidi yeye si ndio!?Nimekujibu kwa usahihi na kuonyesha ya kuwa kwanza swali lako la uongo na inaonyesha ya kuwa humjui Mungu.
Nimekwambia hivi hakuna chenye kuzidi uwezo wake au ukubwa wake.
Adam alitumia kitabu/mwongozo upi mana umesema nae alikuwa islamKipindi Mtume Muhammad yuko hai.
Imetumika miaka 23 kukamilika.
Sayansi inasupport evolution mbona haukubaliani nayo...mbona unashabikia Sayansi ikikusupport. Did science say the creator ni god. Imesema tu Ina mwanzo na ni hypothesis the real answer hatujui we can't prove or disprove itHujajibu swali bado, Nimeuliza ulivyosema ulimwengu ulitokea tu reference yako ni nini? Maana sayansi haisemi hivyo au kuna utafiti wowote umefanya ukaja na majibu hayo?
au umeamua tu kusema hivyo ili mradi.
I am humble ndo maana sijipi majibu Kama watu wa dini. Naishi kujifunza reality coz anyone in the world anaweza akaamka akasema tumeumbwa na maji Mara udongo Mara tope Mara Nini Mara dunia na anga ilikuwa kitu kimoja.. we can say all sorts of this sijui let there be light afu jua linakuja baadae na siku zinahesabika. But in the end of the day we don't know and as far as we know it we can't know.Kama hujui kuwa humble Ili ujifunze zaidi. Sisi binadamu hatuna Uwezo wa kujua kila kitu.
Siwezi kuthibitisha kwasababu sio Mimi niliyedai kwamba Binadamu hajatokea, hayo madai mlileta nyinyi so uthibitisho ulipaswa utoke kwenu.... Kama mmeshindwa kuleta uthibitisho inabidi mfanye research upya kuhusu hilo.