SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Acha kuattack maisha yako usiyojua...jibu kwa hojaTatizo lako lilianzia hapa, Nna uhakika hata mama na baba yako hawakuishi pamoja hivyo bado una hasira na kukosa malezi pande mbili na umeona Mungu ndio wa kulaumiwa kwa hayo umepitia
😊Aaaw nyc story...Unaweza kua sawa kwa mawazo yako ila KWANGU MUNGU YUPO ANAISHI,NAMTUMIKIA NAMUISHI NAAMINI ATARUDI KWA MARA YA PILI KUWAHUKUMU WALIO WAZIMA NA WAFU ,NAAMINI JEHANAMU IPO KWA WAKOSAJI NAAMINI IPO MBINGU KWA WALIO JIKANA NA KUACHA DHAMBI, NAAMINI KATIKA MSALABA. NAMNGOJA KWA SABURI KUU
So tetemeko linasababishwaje na binadamu. Relate to morocco wamefanyaje mpaka tetemeko limetokea na mafuriko Libya binadamu wamefanya Nini mpaka mafuriko yametokeaTulia!
Soma vizuri!
Natural Disaster zinatokana na uchokozi wa Nature yenyewe!
Ni Uchokozi wa Mwanadamu kwa Nature!
Standard and Nature itself is Principally and Fundamentally God himself!
Asa vita si inasababishwa na watu...na waliona watu washaanza chuki it was inevitable. Wangetabiri tetemeko au dunia kuisha mwaka fulani ndo ningewaona wa maana...hamna kazi hapo ni sawa mtu aone Russia na Ukraine wanabifu tokea 2014 afu aseme ametabiri vita cjui yeye ni mtumeNi umasikini tu wa Lugha na NYAKATI!
Kilichotokea kipindi kile cha Nuhu hakina tofauti na kilichotokea Rwanda mwaka wa 1994.
Miaka kumi kabla ya Genocyde watu walipokea Messages ya kwamba Wasali na Watubu kwa kuwa Mito yote ya Rwanda ingejaa Damu...bado watu hawakusikia!
Wakaendelea na Hatred.
Kichwa Ngumu.
Ikaja ikatokea exactly hivo!
Kwa hivo usijaribu kufikiri kwamba Dunia iko tu.
We are programmed and that's all!
Kama Kuita hali hiyo kuwa ndo MUNGU BASI SEMA TU NATURE-bado utakuwa umerudi kulekule!
Soma kitabu cha OUR LADY OF KIBEHO-by Imaculee Ilibagiza-utapata yaliyojiri Rwanda!
Mbinguni Kuna Nini ambacho unataka uende. Kumsifu Mungu 24/7 for millions of years...maana hata kanisani unaona uvivu... na old testament haina record of hell or fire. So it wasn't good enough, the only reason unataka kwenda mbinguni ni kwa sababu unaogopa moto. And that's what they want, kutishia watu into following their dumb rules n stupid unscientific mythological beliefs...Wewe haupo motoni wala mbinguni.Upoupo tu.
Kwa nini hukujiita paka shoga?Mbinguni Kuna Nini ambacho unataka uende. Kumsifu Mungu 24/7 for millions of years...maana hata kanisani unaona uvivu... na old testament haina record of hell or fire. So it wasn't good enough, the only reason unataka kwenda mbinguni ni kwa sababu unaogopa moto. And that's what they want, kutishia watu into following their dumb rules n stupid unscientific mythological beliefs...
We mwenye ushahidi usiotia shaka kwamba hayupo tuwekee hapa. Sio porojo za maumivu ya sonona inayokusumbua unataka tuishiriki.Uzoefu wako upi?
Kwanza, Thibitisha huyo Mungu yupo?
Kisha eleza jinsi gani Mungu huyo hatetewi?
Maana ninyi kila mara mna mtetea Mungu huyo, panapo azishwa nyuzi za kutokuwepo kwake.
Hujanijibu badoNi umasikini tu wa Lugha na NYAKATI!
Kilichotokea kipindi kile cha Nuhu hakina tofauti na kilichotokea Rwanda mwaka wa 1994.
Miaka kumi kabla ya Genocyde watu walipokea Messages ya kwamba Wasali na Watubu kwa kuwa Mito yote ya Rwanda ingejaa Damu...bado watu hawakusikia!
Wakaendelea na Hatred.
Kichwa Ngumu.
Ikaja ikatokea exactly hivo!
Kwa hivo usijaribu kufikiri kwamba Dunia iko tu.
We are programmed and that's all!
Kama Kuita hali hiyo kuwa ndo MUNGU BASI SEMA TU NATURE-bado utakuwa umerudi kulekule!
Soma kitabu cha OUR LADY OF KIBEHO-by Imaculee Ilibagiza-utapata yaliyojiri Rwanda!
Kisichopo ni hakipo tu.We mwenye ushahidi usiotia shaka kwamba hayupo tuwekee hapa. Sio porojo za maumivu ya sonona inayokusumbua unataka tuishiriki.
Kuamini hukatazwi.Unaweza kua sawa kwa mawazo yako ila KWANGU MUNGU YUPO ANAISHI,NAMTUMIKIA NAMUISHI NAAMINI ATARUDI KWA MARA YA PILI KUWAHUKUMU WALIO WAZIMA NA WAFU ,NAAMINI JEHANAMU IPO KWA WAKOSAJI NAAMINI IPO MBINGU KWA WALIO JIKANA NA KUACHA DHAMBI, NAAMINI KATIKA MSALABA. NAMNGOJA KWA SABURI KUU
Huyo Mungu yupo kweli?Tatizo lako lilianzia hapa, Nna uhakika hata mama na baba yako hawakuishi pamoja hivyo bado una hasira na kukosa malezi pande mbili na umeona Mungu ndio wa kulaumiwa kwa hayo umepitia
Sasa adhabu si imeambatana na kuua, je mtoto asingekufa ingekuwaje ?Unasema "mzazi alikua na nia njema ya kuadhibu lakini lengo lake(kama amekusudia kumuua) sio jema."
Nikakueleza kwenye post yangu iliyopita, Kuua (kwa moto) ndiyo adhabu aliyokusudia kuitoa. Nia yake ni kumuua.
Sasa ukisema "mzazi alikua na nia njema" unamaana gani? Au nia njema ya kuua?
Onyesha hilo.Hujajaribu hata kidogo kujibu.
Rejea ulichokiandika.Mtu atakuwaje amekusudia kuua alafu hapohapo hana nia ya kuua?
Hivi unajua kiwashili kweli?
Hili swali lingine Sasa, usiseme kwamba swali hili sijajibu.Wewe unaweza kumuua mtoto wako kwa kumchoma moto mpake afe pale anapokosea kwa kumhurumia??
😂😂Binadamu hajui kesho yake hatafanana vip na Mungu kiuwezo? 😂🤣Mpaka unacheka it means umekoshwa na Hilo Chaka la "we can't understand god, cjui mysterious ways"
Naona unaendelea kudhihirisha utoto wako, sababu una akili ndogo.Ulisema kitendo hicho cha kuua kwa moto huenda kikawa na furaha au kikawahuzunisha, inategemea.
Hujaniambia popote inategemea na nini.
Quote sehemu ulipojibu ua sema namba ya post kama nadanganya.
Inategemea nini?
Tukitofautiana kwenye mazungumzo haina haja ya kutumia kejeli na lugha mbovu. Huna sababu za kuonesha hulka yako kwenye mijadala.
Acha kujivua nguo mbele ya watu wengi namna hii. Jaribu kutumia lugha ya kistaarabu.
Sasa kwanini unajadili katika namna ya ujuaji na hujui ?I don't know...do u know
Unajisikiaje dogo ?[emoji3][emoji3]ah kummke
Hili swali la uongo. Uliza swali sahihi, ushaambiwa hakuna kinachozidi uwepo wake, wewe unakuja kuuliza hawezi kuumba kinacho mzidi ? Unaakilo kweli kijana ?Kwa hiyo Kwa kifupi ni kwamba Hawez kuumba Mungu mwingine mkubwa kuzidi yeye si ndio!?