Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Unaweza kua sawa kwa mawazo yako ila KWANGU MUNGU YUPO ANAISHI,NAMTUMIKIA NAMUISHI NAAMINI ATARUDI KWA MARA YA PILI KUWAHUKUMU WALIO WAZIMA NA WAFU ,NAAMINI JEHANAMU IPO KWA WAKOSAJI NAAMINI IPO MBINGU KWA WALIO JIKANA NA KUACHA DHAMBI, NAAMINI KATIKA MSALABA. NAMNGOJA KWA SABURI KUU
😊Aaaw nyc story...
 
Tulia!

Soma vizuri!

Natural Disaster zinatokana na uchokozi wa Nature yenyewe!

Ni Uchokozi wa Mwanadamu kwa Nature!

Standard and Nature itself is Principally and Fundamentally God himself!
So tetemeko linasababishwaje na binadamu. Relate to morocco wamefanyaje mpaka tetemeko limetokea na mafuriko Libya binadamu wamefanya Nini mpaka mafuriko yametokea
 
Ni umasikini tu wa Lugha na NYAKATI!

Kilichotokea kipindi kile cha Nuhu hakina tofauti na kilichotokea Rwanda mwaka wa 1994.

Miaka kumi kabla ya Genocyde watu walipokea Messages ya kwamba Wasali na Watubu kwa kuwa Mito yote ya Rwanda ingejaa Damu...bado watu hawakusikia!

Wakaendelea na Hatred.

Kichwa Ngumu.

Ikaja ikatokea exactly hivo!

Kwa hivo usijaribu kufikiri kwamba Dunia iko tu.

We are programmed and that's all!

Kama Kuita hali hiyo kuwa ndo MUNGU BASI SEMA TU NATURE-bado utakuwa umerudi kulekule!

Soma kitabu cha OUR LADY OF KIBEHO-by Imaculee Ilibagiza-utapata yaliyojiri Rwanda!
Asa vita si inasababishwa na watu...na waliona watu washaanza chuki it was inevitable. Wangetabiri tetemeko au dunia kuisha mwaka fulani ndo ningewaona wa maana...hamna kazi hapo ni sawa mtu aone Russia na Ukraine wanabifu tokea 2014 afu aseme ametabiri vita cjui yeye ni mtume
 
Wewe haupo motoni wala mbinguni.Upoupo tu.
Mbinguni Kuna Nini ambacho unataka uende. Kumsifu Mungu 24/7 for millions of years...maana hata kanisani unaona uvivu... na old testament haina record of hell or fire. So it wasn't good enough, the only reason unataka kwenda mbinguni ni kwa sababu unaogopa moto. And that's what they want, kutishia watu into following their dumb rules n stupid unscientific mythological beliefs...
 
Kwa nini hukujiita paka shoga?
Sababu: Unapenda vitu vizuri na ukuu/kuogopeka.Una tofauti gani na anayetamani kwenda mbinguni?
 
Uzoefu wako upi?

Kwanza, Thibitisha huyo Mungu yupo?

Kisha eleza jinsi gani Mungu huyo hatetewi?

Maana ninyi kila mara mna mtetea Mungu huyo, panapo azishwa nyuzi za kutokuwepo kwake.
We mwenye ushahidi usiotia shaka kwamba hayupo tuwekee hapa. Sio porojo za maumivu ya sonona inayokusumbua unataka tuishiriki.
 
Ni umasikini tu wa Lugha na NYAKATI!

Kilichotokea kipindi kile cha Nuhu hakina tofauti na kilichotokea Rwanda mwaka wa 1994.

Miaka kumi kabla ya Genocyde watu walipokea Messages ya kwamba Wasali na Watubu kwa kuwa Mito yote ya Rwanda ingejaa Damu...bado watu hawakusikia!

Wakaendelea na Hatred.

Kichwa Ngumu.

Ikaja ikatokea exactly hivo!

Kwa hivo usijaribu kufikiri kwamba Dunia iko tu.

We are programmed and that's all!

Kama Kuita hali hiyo kuwa ndo MUNGU BASI SEMA TU NATURE-bado utakuwa umerudi kulekule!

Soma kitabu cha OUR LADY OF KIBEHO-by Imaculee Ilibagiza-utapata yaliyojiri Rwanda!
Hujanijibu bado

Ila umejibu kitu tofauti na nlichokuuliza mimi.

Habari ya kusema ni umaskini wa kugha na nyakati inakuwa haina mashiko,

kwenye kitabu cha Mungu wako, Utajuaje kama mstari uusomao leo uko sahihi kama inawezekana kulikuwa na umaskini wa lugha na nyakati?

Labda unataka kusema "Mungu kukasirika na kushusha gharika ili aue watu" ni umaskini wa lugha kipindi hicho?

Au mstari huo umekosewa?
 
We mwenye ushahidi usiotia shaka kwamba hayupo tuwekee hapa. Sio porojo za maumivu ya sonona inayokusumbua unataka tuishiriki.
Kisichopo ni hakipo tu.

Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote aliyeumba ulimwengu huu wenye kuruhusu mabaya hawezekaniki.

This is a logical proof!!
 
Unaweza kua sawa kwa mawazo yako ila KWANGU MUNGU YUPO ANAISHI,NAMTUMIKIA NAMUISHI NAAMINI ATARUDI KWA MARA YA PILI KUWAHUKUMU WALIO WAZIMA NA WAFU ,NAAMINI JEHANAMU IPO KWA WAKOSAJI NAAMINI IPO MBINGU KWA WALIO JIKANA NA KUACHA DHAMBI, NAAMINI KATIKA MSALABA. NAMNGOJA KWA SABURI KUU
Kuamini hukatazwi.

Ila ukisema ni ukweli na ni halisi utaombwa proof ya mbingu, jehanamu na Mungu.
 
Tatizo lako lilianzia hapa, Nna uhakika hata mama na baba yako hawakuishi pamoja hivyo bado una hasira na kukosa malezi pande mbili na umeona Mungu ndio wa kulaumiwa kwa hayo umepitia
Huyo Mungu yupo kweli?
 
Unasema "mzazi alikua na nia njema ya kuadhibu lakini lengo lake(kama amekusudia kumuua) sio jema."

Nikakueleza kwenye post yangu iliyopita, Kuua (kwa moto) ndiyo adhabu aliyokusudia kuitoa. Nia yake ni kumuua.
Sasa ukisema "mzazi alikua na nia njema" unamaana gani? Au nia njema ya kuua?
Sasa adhabu si imeambatana na kuua, je mtoto asingekufa ingekuwaje ?

Kijana unakielewa unacho kiandika ?

Sawa nia yake ni kumuua, kwa kumuadhibu kwa njia ya moto, nia ni kumuadhibu kwa kumuua kwa moto, nia ni njema lakini njia aliyo itumia si sahihi ya kumuua kwa moto.
 
Wewe unaweza kumuua mtoto wako kwa kumchoma moto mpake afe pale anapokosea kwa kumhurumia??
Hili swali lingine Sasa, usiseme kwamba swali hili sijajibu.

Nakujibu Sasa swali hili, siwezi kumuua sababu kuua adhabu ya moto ni kwa Allah tu na mwanadamu harusiwi kutumia moto kuadhibu.
 
Ulisema kitendo hicho cha kuua kwa moto huenda kikawa na furaha au kikawahuzunisha, inategemea.

Hujaniambia popote inategemea na nini.
Quote sehemu ulipojibu ua sema namba ya post kama nadanganya.
Inategemea nini?

Tukitofautiana kwenye mazungumzo haina haja ya kutumia kejeli na lugha mbovu. Huna sababu za kuonesha hulka yako kwenye mijadala.
Acha kujivua nguo mbele ya watu wengi namna hii. Jaribu kutumia lugha ya kistaarabu.
Naona unaendelea kudhihirisha utoto wako, sababu una akili ndogo.

Nukta ya kutegemea huenda hata hao ndugu wakafurahia kitendo hicho kutokana na makosa ya mtoto huyo, mara ngapi ndugu wa karibu hufurahia kufa kwa ndugu yao kutokana na usumbufu na tabia mbaya alizo nazo, mpaka wengine husema "Bora afe tu" ?

Lakini huenda pia wakahuzunika kutokanana njia iliyo tukiwa na mzazi, wakasema bora angemuua kwa njia nyingine lakini si kumchoma moto.

Shida yenu, huwa inakuja katika kuyatazama mambo, mara nyingi huwa mnayatazama mambo juu na si katika uhalisia wake, inapelekea kuacha mambo mengi ya msingi kuhusu mambo hayo.

Hakuna kejeli niliyo itumia zaidi ya kukupa stahiki, hivi ukimuita "Mwizi" mtu ambaye ni "Mwizi" kweli hilo ni kosa au unempa stahiki yake ?
 
Kwa hiyo Kwa kifupi ni kwamba Hawez kuumba Mungu mwingine mkubwa kuzidi yeye si ndio!?
Hili swali la uongo. Uliza swali sahihi, ushaambiwa hakuna kinachozidi uwepo wake, wewe unakuja kuuliza hawezi kuumba kinacho mzidi ? Unaakilo kweli kijana ?

Au huwa unafurahi kuleta utoto katika mada za wakubwa na za kielimu ?
 
Back
Top Bottom