Nimeshakueleza kuwa watu wenye hekima hawana personal attacks lakini bado unaendelea nayo !!!!!......
Poor mind
Hivi hujihurumii unavyoitetea Kenya na kuyafukia mabaya yao huku unaikandia Tanzania na kuyaanika mabaya yake !!!!!....
Kumbe unajua kutafuta vipindi bora vya tv kwa local channels za kenya ila hutafuta vipindi vibovu vya tz ili uvikosoe ????.......
Ndugu yangu una KENYAPHOBIA bila shaka na ndio maana unawaona wapo juu yako na ndio maana hutokiona kitu cha Tanzania chema bila kukilinganisha na cha Kenya......
Nina wasiwasi kama unafuatilia yanayojili Tanzania na pia kama umeitembea nchi hii vyema...
WEKA HISIA PEMBENI NA UTUMIE AKILI KAMA MWANAUME LA SIVYO UTAFUTE SAMPULI YA KUBISHANA NAYO HUMU JF KIVULANA.....
SINTOKUJIBU TENA .....