Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
- Thread starter
- #21
Sawa tu kama hivo unavyodhania, lakini ukweli bado utabakia palepele, ya kwamba Kenya ndio nchi yenye industries nyingi zaidi Afrika mashariki na kati
![]()
Industries za Kenya zote za Wazungu/Wahindi na siyo indigineos kama sisi kwetu, na isitoshe ukiacha Maua, Sukuma wiki hakuna tech industry yoyote serious Kenya, sisi sasa hivi tunafufua Kilimanjaro Machine Tools (100% Tanzania owned, no Indian or White man), pmj na General tyre ambapo mwanzoni ilikuwa the largest tire manufacture Afrika iliajiri watu 2 500 sasa Yana wamehujumu na kuiba mashine zetu zote, kwanza yale matairi yaliyoandikwa YANA ni General tire wamebadilisha nembo tu!