Uongo uenezwao na Wakenya!

Uongo uenezwao na Wakenya!

Sawa tu kama hivo unavyodhania, lakini ukweli bado utabakia palepele, ya kwamba Kenya ndio nchi yenye industries nyingi zaidi Afrika mashariki na kati

images

Industries za Kenya zote za Wazungu/Wahindi na siyo indigineos kama sisi kwetu, na isitoshe ukiacha Maua, Sukuma wiki hakuna tech industry yoyote serious Kenya, sisi sasa hivi tunafufua Kilimanjaro Machine Tools (100% Tanzania owned, no Indian or White man), pmj na General tyre ambapo mwanzoni ilikuwa the largest tire manufacture Afrika iliajiri watu 2 500 sasa Yana wamehujumu na kuiba mashine zetu zote, kwanza yale matairi yaliyoandikwa YANA ni General tire wamebadilisha nembo tu!
 
Industries za Kenya zote za Wazungu/Wahindi na siyo indigineos kama sisi kwetu, na istoshe ukiacha maua, mboga kama sukuma wiki hakuna tech industry yoyote serious Kenya, sisi sasa hivi tunafufua Kilimanjaro Machine Tools (100% Tanzania owned, no Indian or White man)
Hivi nipe industry moja Tanzania ambayo ni indigenous inayomilikiwa na mwafrika mweusi na kwa kila industry utanipa nitakupa mbili za Kenya. Mutaacha uongo hapa hivi.
 
Mara nyingi sana nimewasikia Wakenya pindi wakumbwapo na baa la njaa wakijitetea kwamba nchi yao ni Jangwa hivyo haina ardhi ya kutosha kulima na ndiyo maana wanashida ya chakula, huu ni uongo na upotoshaji mkubwa!

Nchi ya Kenya ina km za mraba zaidi ya 580 000 (km²) na watu zaidi ya milioni 40 tu, hivyo kukosa sehemu kulima chakula cha kutosha watu milioni 40 tu ndani ya nchi yenye zaidi ya km² laki tano na themanini ni UONGO na ni maajabu ya Dunia!
Ikumbukwe kwamba nchi ya Kenya imepitiwa na Bonde la Ufa na hii ni moja kati ya sehemu zenye rutuba kuliko zote hapa Afrika sasa iweje wakose chakula?

Ukweli ni kwamba nchi ya Kenya inakuwa na uhaba wa chakula siyo kwa kukosa ardhi ya kulima kwa sababu ya Jangwa la hasha, bali sehemu kubwa ya ardhi yao inayofaa kwa kilimo inahodhiwa na Wanasiasa na Wazungu ambao wameiweka tu na hawalimi chochote hiyo ndiyo sababu na watu wa chini na masikini wameachiwa Turkana, ndiyo maana chakula siku zote hakitoshi!
Unajua, wewe unaongea ni kana kwamba kila sehemu ya Kenya kumeathirika na njaa. Watanzania kama wewe mnaojifanya kuijua saana nchi ya Kenya, hata kudai kuwahi kuishi huku, ilhali comments mnazotoa kuhusu nchi hii ni za ushenzi wakati mwingine.

Baa la njaa Kenya hutokea maeneo kame ya nchi, kama Turkana na north eastern huko, hata Geza anajua hilo na angekurekebisha. Maeneo mengine Kenya yanazalisha vyakula kwa wingi na watu wako very secure in terms of food, baadhi hata kuuzwa nje, ikiwemo Tanzania. Bidhaa za nyama na maziwa kutoka Kenya kwa mfano, si ziko Tanzania?
Hakuna nchi eneo hili la Africas mashariki na kati inayoshinda Kenya kwa uzalishaji wa cereals kama ngano na mchele na mtama. Kenya ni la pili barani Africa kwa kuexport bidhaa za maziwa, nyama na maziwa, mboga mboga na matunda EU baada ya South Africa.

Mfano hapa:

wheat-for-africa-3-638.jpg

Swali lako lingekuwa ni je, serikali ya Kenya imeweka mikakati zipi kupunguza incidents za njaa kwenye maeneo kame ya Kaskazini mwa Kenya?

Miradi za kukomesha njanga hili ndilo hili limezungumziwa hapa
Kenya | WFP | United Nations World Food Programme - Fighting Hunger Worldwide

Sasa wewe na watanzania wenzako ndio mnafaa kujiuliza, ni kwanini nchi yenye ardhi kubwa na yenye rotuba kama hilo lenyu, nchi ambayo haina maeneo kame bado liendelee kukumbwa na ukosefu wa chakula toshelezi?

CGViD06W8AA_2Gn.jpg

Barbarosa, kenya produces quite a lot from quite a limited amount of arable land. Here are the facts:-

Kenya has an arable land of 9.66%of its total area ARABLE LAND (% OF LAND AREA) IN KENYA

Tanzania has an arable land of 42.11% of its total area AGRICULTURAL LAND (% OF LAND AREA) IN TANZANIA

Uganda has an arable land of 70.38% of its total area AGRICULTURAL LAND (% OF LAND AREA) IN UGANDA

You can imagine how high productivity is in the little arable land in Kenya to enable it feed 44 million people comfortably unless rains fail.
 
Industries za Kenya zote za Wazungu/Wahindi na siyo indigineos kama sisi kwetu, na istoshe ukiacha maua, mboga kama sukuma wiki hakuna tech industry yoyote serious Kenya, sisi sasa hivi tunafufua Kilimanjaro Machine Tools (100% Tanzania owned, no Indian or White man), pmj na General tyre ambapo mwanzoni ilikuwa the largest tire manufacture Afrika iliajiri watu 2 500 sasa Yana wamehujumu na kuiba mashine zetu zote, kwanza yale matairi yaliyoandikwa YANA ni General tire wamebadilisha nembo tu!
Mkuu haya mambo yanatia hasira sana, sema wengine hua hatuna namna tu ya kuyabadili moja kwa moja, Ila ipo siku Mungu ataruhusu Nchi hii ibadilike na kua nchi ambayo wote tutaishi kwa faida.
 
Barbarosa, kenya produces quite a lot from quite a limited amount of arable land. Here are the facts:-

Kenya has an arable land of 9.66%of its total area ARABLE LAND (% OF LAND AREA) IN KENYA

Tanzania has an arable land of 42.11% of its total area AGRICULTURAL LAND (% OF LAND AREA) IN TANZANIA

Uganda has an arable land of 70.38% of its total area AGRICULTURAL LAND (% OF LAND AREA) IN UGANDA

You can imagine how high productivity is in the little arable land in Kenya to enable it feed 44 million people comfortably unless rains fail.

Arable land TanZania yetu ni 12%, sehemu kubwa ya ardhi ya TZ yetu ni Hifadhi Taifa, Mito, Bahari, Maziwa, Misitu, Milima n.k. lkn ardhi ya kulimwa ni 12% hivyo siyo mbali sana na ya Kenya 9%, sema tofauti ni kwamba Kenya sehemu kubwa hiyo 9% inamilikiwa na watu binafsi ambao wengine wameweka tu fence na ardhi haitumiwi, wengine wanalima Maua, Chai, Sukuma wiki kwa ajili ya export kwa Wazungu n.k. na ndiyo maana hakuna ardhi nyingine inayobaki kwa ajili ya kulima chakula kwa ajili ya wananchi wa Kenya!
 
Mamarosa, nani anakupa haki ya kuwasemea Watanzania kwa akili hizo? Nasikia aibu kwamba wewe na mimi tunahusiana. Nenda shambani ukalime p*mb*v* wewe, sio kubishana juu ya viwanda wakati unajua tunavyo vya kutengeneza tu sahani za plastic.

YouTube tumejaza video za ngono na dada zetu wasio na aibu, nikitaka makala za ufugaji na kilimo lazima nitegemee za Kenya...still upo mtandaoni kuongea upuuzi badala tuangalie namna gani Tanzania itakomesha Blue Band kuvuka mpaka.

Hebu ingia hapa tupate vitu vya maana labda akili yako itakaa sawa, sh*nzy wewe.

https://www.youtube.com/watch?v=YIaL5wtYeBs
Na wewe Mkenya, usidhani kuwa kila Mtanzania ana ubongo kama wa Mamarosa, huyu ameharibiwa na kukaa kijiweni mtaa mmoja wa hovyo kabisa kusubiri buku 7. Kila kitu anataka kifanyike kwa mdomo.
 
Industries za Kenya zote za Wazungu/Wahindi na siyo indigineos kama sisi kwetu, na isitoshe ukiacha Maua, Sukuma wiki hakuna tech industry yoyote serious Kenya, sisi sasa hivi tunafufua Kilimanjaro Machine Tools (100% Tanzania owned, no Indian or White man), pmj na General tyre ambapo mwanzoni ilikuwa the largest tire manufacture Afrika iliajiri watu 2 500 sasa Yana wamehujumu na kuiba mashine zetu zote, kwanza yale matairi yaliyoandikwa YANA ni General tire wamebadilisha nembo tu!
Zote? tupe evidence bwana.....
 
Arable land TanZania yetu ni 12%, sehemu kubwa ya ardhi ya TZ yetu ni Hifadhi Taifa, Mito, Bahari, Maziwa, Misitu, Milima n.k. lkn ardhi ya kulimwa ni 12% hivyo siyo mbali sana na ya Kenya 9%, sema tofauti ni kwamba Kenya sehemu kubwa hiyo 9% inamilikiwa na watu binafsi ambao wengine wameweka tu fence na ardhi haitumiwi, wengine wanalima Maua, Chai, Sukuma wiki kwa ajili ya export kwa Wazungu n.k. na ndiyo maana hakuna ardhi nyingine inayobaki kwa ajili ya kulima chakula kwa ajili ya wananchi wa Kenya!
Now that's just pulling out figures and facts from nowhere, Hebu toa evidence ya io 12% yako, mie nishakupa ya data nilizowasilisha humu.

Kisha sijui ni Kenya ipi umetembea ukaona io 9% arable land imechapwa fence na watu binafsi na kuachwa hivyo. The bulk if not all of Kenya's arable land is at the Mt Kenya foot and in western regions of Kenya. Nenda huko utafute hizo fenced off fallow areas usemazo
 
Mamarosa usitake kuja kutuaibisha bure! Mbona hapa kwetu kuna wakati watu Dodoma walikuwa wanakabiliwa njaa mpaka wakawa wanakula viwavi wakati hapo jirani Rukwa na Iringa mahindi yanaoza kwenye maghala?
Unadhani wenye akili huko nje wanapolijua hili wanafikiriaje akili ya serikali yetu?
 
Mamarosa, nani anakupa haki ya kuwasemea Watanzania kwa akili hizo? Nasikia aibu kwamba wewe na mimi tunahusiana. Nenda shambani ukalime p*mb*v* wewe, sio kubishana juu ya viwanda wakati unajua tunavyo vya kutengeneza tu sahani za plastic.

YouTube tumejaza video za ngono na dada zetu wasio na aibu, nikitaka makala za ufugaji na kilimo lazima nitegemee za Kenya...still upo mtandaoni kuongea upuuzi badala tuangalie namna gani Tanzania itakomesha Blue Band kuvuka mpaka.

Hebu ingia hapa tupate vitu vya maana labda akili yako itakaa sawa, sh*nzy wewe.

https://www.youtube.com/watch?v=YIaL5wtYeBs
Na wewe Mkenya, usidhani kuwa kila Mtanzania ana ubongo kama wa Mamarosa, huyu ameharibiwa na kukaa kijiweni mtaa mmoja wa hovyo kabisa kusubiri buku 7. Kila kitu anataka kifanyike kwa mdomo.

Waweza kumtusi barbarosa kwa vyovyote uwezavyo lakini si kwa mgongo wa kuihadhirisha nchi yako......
Huoni aibu hao wakenya unaowasifia wanavyoilinda nchi yao utadhani ni land of angels !!!!!!.....

Kama huwa unaingia youtube kutafuta video za ngono za watz utazipata na vile vile ukitaka za watu wa maana wa tz utazipata .... Au unadhani dunia inaishia YouTube

Na kwa kukusaidia tu porn industry ya Kenya haikaribiwi na ya Tanzania ...... Watu wanafanya tour za ngono katika pwani ya Kenya na ni ushenzi ambao hutokuta wakenya wakiusemea humu !!!!....

Jifunze kuipenda nchi yako .....
Kama wakenya wapo vizuri katika chai bhasi tanzania ipo vyema katika ufuta ....kwani lazma tuzalishe kitu sawa na wao ?????.....
 
Mamarosa usitake kuja kutuaibisha bure! Mbona hapa kwetu kuna wakati watu Dodoma walikuwa wanakabiliwa njaa mpaka wakawa wanakula viwavi wakati hapo jirani Rukwa na Iringa mahindi yanaoza kwenye maghala?
Unadhani wenye akili huko nje wanapolijua hili wanafikiriaje akili ya serikali yetu?
Mantiki zilizotumika ni mbili tofauti.........

Kwa nini kenya kuwe na ardhi kubwa ambayo pengine si sawa na yetu lakini food security yao ni ndogo huku Tanzania hukumbwa na baa la njaa katika kanda ya kati ambayo ni kame ilhali ghala za taifa zikifurika ama kuharibikiwa na vyakula ?????.........

Huwezi kulinganisha maana hizi ni hali mbili tofauti.....
 
True about that, but Kenya used to be one of the leading exporters untill the outbreak of the disease. But, here's the ray of hope that it will soon regain that status...Kenya To Reenter EU Meat Market - Ventures Africa

As for the cut flowers
Global Leaders In Cut Flower Exports

Kenya Dairy Industry
The Dairy Industry in Kenya
trying to lie even here! shame on u since "used to be" is a relative term! BTW kenya diry product is not exported to the EU rather North Africa and Asia! According to the link u just provided!
 
for those intrested in facts and not figures pulled from the a$$

queted from different articles

While all five EAC states are described as agricultural economies, the report notes that productivity in the region’s industrial sector is approximately ten times that in the agricultural sector.
“Kenya’s agricultural sector is more than twice as productive as any other EAC partner state,” the report reads.
-------

Greenhouse Farming in Kenya
Kenya has a high birth rate[10] which has led to a reduction in available farming land. Kenya also has a high rate of urban migration from the country.[11] These two factors have led to an upsurge in demand for fresh food products. To increase production and boost profits, many small scale farmers in Kenya are adopting Greenhouse farming. Some of the popular products being grown in greenhouses include Watermelons,[12] Pilipili Hoho[13] (Capsicum) and Tomatoes.
Greenhouse farming in Kenya enables farmers to use less agricultural inputs (including labor and fertilizers) and control pests and diseases. The East African country is classified as a water scarce country[14] and most of the land is not optimal for agriculture

------------

The production of major food staples such as corn is subject to sharp weather-related fluctuations. Production the downturns periodically necessitate food aid—for example, in 2004 aid for 1.8 million people⎯because of one of Kenya's intermittent droughts. However, the expansion of credit to the agricultural sector has enabled farmers to better deal with the large risk of agriculture based on rainfall and the dramatic fluctuations of the prices of agricultural products.
[14]
Tea, coffee, sisal, pyrethrum, corn, and wheat are grown in the fertile highlands, one of the most successful agricultural production regions in Africa. Livestock predominates in the semi-arid savanna to the north and east. Coconuts,
pineapples, cashew nuts, cotton, sugarcane, sisal, and corn are grown in the lower-lying areas

-----------
 
Mara nyingi sana nimewasikia Wakenya pindi wakumbwapo na baa la njaa wakijitetea kwamba nchi yao ni Jangwa hivyo haina ardhi ya kutosha kulima na ndiyo maana wanashida ya chakula, huu ni uongo na upotoshaji mkubwa!

Nchi ya Kenya ina km za mraba zaidi ya 580 000 (km²) na watu zaidi ya milioni 40 tu, hivyo kukosa sehemu kulima chakula cha kutosha watu milioni 40 tu ndani ya nchi yenye zaidi ya km² laki tano na themanini ni UONGO na ni maajabu ya Dunia!
Ikumbukwe kwamba nchi ya Kenya imepitiwa na Bonde la Ufa na hii ni moja kati ya sehemu zenye rutuba kuliko zote hapa Afrika sasa iweje wakose chakula?

Ukweli ni kwamba nchi ya Kenya inakuwa na uhaba wa chakula siyo kwa kukosa ardhi ya kulima kwa sababu ya Jangwa la hasha, bali sehemu kubwa ya ardhi yao inayofaa kwa kilimo inahodhiwa na Wanasiasa na Wazungu ambao wameiweka tu na hawalimi chochote hiyo ndiyo sababu na watu wa chini na masikini wameachiwa Turkana, ndiyo maana chakula siku zote hakitoshi!

just shared

10 Facts About Hunger In Tanzania
13 May 2016 — Photo © WFP/Tala Louieh

Help us raise awareness on the effects of hunger and malnutrition inTanzania by sharing these ten facts.

1) With a population of 50 million, Tanzania is food self-sufficient at the national level. However, localised food deficits occur at regional, district and household levels mainly due to dependence on rain-fed agriculture and limited use of modern farming techniques.

2) Tanzania ranks 151 out of 188 countries in the Human Development Index (2015).

3) Tanzania’s economy has grown strongly in recent years, driven mainly by telecommunications, financial services, transport and construction. Despite this progress, nearly 3 Tanzanians out of 10 live in poverty, and 1 in 3 is illiterate.

4) Approximately 80 percent of the population relies on subsistence farming, which makes them vulnerable to climatic, economic and seasonal shocks. With its market access initiatives, WFP helps farmers transition from subsistence farming to market-oriented agriculture.

5) More than 200,000 refugees live in Tanzania. WFP assistance is their main source of food. Through its Protracted Relief and Recovery Operation (PRRO), WFP provides a food basket of Super Cereal (fortified blended food), pulses, vegetable oil and salt to meet a minimum daily dietary requirement of 2,100 Kcal per person.

6) According to the National Nutrition Survey (2015), almost 35 percent of children under 5 in Tanzania are stunted.

7) Tanzania’s maternal mortality rate, while improving, remains high at 398 deaths per 100,000 live births. WFP is the only agency in the country to provide supplementary food to pregnant and nursing mothers and children under 5.

8) To treat moderate acute malnutrition (MAM), WFP provides a monthly take-home pack of fortified blended food to pregnant and nursing mothers and children under 5 through its Supplementary Feeding Programme (SuFP).

9) To prevent stunting, pregnant and nursing mothers and children under 2 receive a monthly take-home pack of Super Cereal under the Mother and Child Health and Nutrition (MCHN) Programme.

10) In 2016, WFP will assist half a million Tanzanians in chronically food-insecure regions, through its market access, food for assets, nutrition, school meal and refugee support activities.
 
Mara nyingi sana nimewasikia Wakenya pindi wakumbwapo na baa la njaa wakijitetea kwamba nchi yao ni Jangwa hivyo haina ardhi ya kutosha kulima na ndiyo maana wanashida ya chakula, huu ni uongo na upotoshaji mkubwa!

Nchi ya Kenya ina km za mraba zaidi ya 580 000 (km²) na watu zaidi ya milioni 40 tu, hivyo kukosa sehemu kulima chakula cha kutosha watu milioni 40 tu ndani ya nchi yenye zaidi ya km² laki tano na themanini ni UONGO na ni maajabu ya Dunia!
Ikumbukwe kwamba nchi ya Kenya imepitiwa na Bonde la Ufa na hii ni moja kati ya sehemu zenye rutuba kuliko zote hapa Afrika sasa iweje wakose chakula?

Ukweli ni kwamba nchi ya Kenya inakuwa na uhaba wa chakula siyo kwa kukosa ardhi ya kulima kwa sababu ya Jangwa la hasha, bali sehemu kubwa ya ardhi yao inayofaa kwa kilimo inahodhiwa na Wanasiasa na Wazungu ambao wameiweka tu na hawalimi chochote hiyo ndiyo sababu na watu wa chini na masikini wameachiwa Turkana, ndiyo maana chakula siku zote hakitoshi!

uongo hapa pia toka kenya

Galana Kulalu Food security Project on the 10,000Acre model farm

CmbVzvtWgAAB6oZ.jpg:large

The automatic self cleaning filtration system that filters approx 5000cubic meters per hour now working

CmbY23kWgAAlcST.jpg:large

CmbY2_YXgAAYMlj.jpg:large

2000 acres under Maize and with addition of pumps & centre pivots will achieve greater acreage

CmbeL2SXYAAhT5-.jpg:large

CmbeNg3WAAAK1oQ.jpg:large

CmbeMCfWAAAXTjS.jpg:large

Inspecting the one week old maize crop under production

CmbgmjUWIAA05E-.jpg:large

CmbgnEqWcAAOk2f.jpg:large

CmbgpEFWAAA9nWN.jpg:large

Inspecting the 3 weeks old maize under production

CmbkWkUWIAAqWeK.jpg:large

CmbkWlDXgAAzOjW.jpg:large

CmbkYQ2WgAAbwtT.jpg:large

Fresh planted maize under production & clearing of stones by locals

CmbmSc0WAAASniw.jpg:large

CmbmSniXYAAKUzW.jpg:large

CmbmSiIWIAARnaw.jpg:large

Impressed with Punda Milia seed variety that promises better yield harvest

Cmbt0vqWIAAVrOG.jpg:large

Cmbt0zpWEAABkJw.jpg:large

CmbybHjWgAAci1K.jpg:large

CmbyaOFWEAAidL9.jpg:large
 
Mara nyingi sana nimewasikia Wakenya pindi wakumbwapo na baa la njaa wakijitetea kwamba nchi yao ni Jangwa hivyo haina ardhi ya kutosha kulima na ndiyo maana wanashida ya chakula, huu ni uongo na upotoshaji mkubwa!

Nchi ya Kenya ina km za mraba zaidi ya 580 000 (km²) na watu zaidi ya milioni 40 tu, hivyo kukosa sehemu kulima chakula cha kutosha watu milioni 40 tu ndani ya nchi yenye zaidi ya km² laki tano na themanini ni UONGO na ni maajabu ya Dunia!
Ikumbukwe kwamba nchi ya Kenya imepitiwa na Bonde la Ufa na hii ni moja kati ya sehemu zenye rutuba kuliko zote hapa Afrika sasa iweje wakose chakula?

Ukweli ni kwamba nchi ya Kenya inakuwa na uhaba wa chakula siyo kwa kukosa ardhi ya kulima kwa sababu ya Jangwa la hasha, bali sehemu kubwa ya ardhi yao inayofaa kwa kilimo inahodhiwa na Wanasiasa na Wazungu ambao wameiweka tu na hawalimi chochote hiyo ndiyo sababu na watu wa chini na masikini wameachiwa Turkana, ndiyo maana chakula siku zote hakitoshi!

more lies here

Galana harvesting of 2nd crop & rolling out the planting of the 10,000 acre model farm

Ce8Y-WEWwAAIjHq.jpg:large

Ce8Y-d5WsAA18-i.jpg:large

Ce8Y-frXEAAXHPQ.jpg:large

Ce8Y-gaWwAEJaUk.jpg:large

Ce9I36FWsAAwM48.jpg:large

Checking out the newly installed pumping & irrigation equipment at Galana before planting

Ce9FwEpW8AQrIs5.jpg:large

Ce9FwIZWwAEPOfU.jpg:large

Ce9FwL-WIAAjOxS.jpg:large

Ce9Fv-wW8AE3inC.jpg:large

Launching the planting of the 10,000 acre model farm in Galana after starting the 2nd harvest

Ce9I3xBWwAEL8gD.jpg:large

Ce9I33GWsAAUzl7.jpg:large

Ce9I30JW8AAjTXJ.jpg:large
 
Back
Top Bottom