HahahaTreni ukiweka sindano kwenye reli inapinduka,hahahahaha jamani tuliongopewa sana
Hapo kwenye viwanja vya kutoa ndo navyojua mpka Leo embu nipe ukwelikuna zile ndege zikiwa angani zinatoa moshi mweupe na kutengeneza kama barabara fulan hv. sa walitudanganya ni za mizigo tuu na viwanja vyao vipo S.A na Egypt.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna hii first time napanda pantoni nilikua na mdogo wangu mzee akatuambia tunaenda zanzibar basi dah tupo ndani ya kivuko najua ndio tunaenda zenji hata baada ya kurudi stori za mtaani kwa madogo wenzangu ni kua nimetoka zenji hii chai ilikaa muda sana nilikuja kujua ukweli miaka mitano mbele kua mzee aliniingiza chaka
ha ha ha...hii chai na mimi niliipitiaTuliambiwa ukichungulia uchi wa MTU mzima unapofuka macho,haahahhaah Leo mpka tunazishika na kupiga dushe
ha ha ha unachukua maujuziNgoja niwadanganye madogo hapa
ha ha ha wamama sio watu wa kisportsportKuna kitabu nilisoma hivyo nikakutana na neno wazinzi bahati nzuri nilikuwa karibu na mama yangu ikabidi nimuulize maana ya hilo neno mama akaniambia kuwa wazinzi=wezi . Nilipokuja kujua ukweli nilikuwa nimeshalitumia sehemu nyingi sana hilo hata sehemu ambayo haihusiki.
full kushtukaukilala usiku roho yako inatoka kwa ajili ya kufanya matembezi, kama roho yako itakamatwa na mnyama paka basi utakufa.
hahahahahaaaaaa nilikuwa nalala kwa mitego
Kuna ile ukikaa mbele ya treni linakuvuta,mbele kuna sumaku kubwa_Da!!!!!!
Mkuu labda tumekulia eneo moja.Treni ukiweka sindano kwenye reli inapinduka,hahahahaha jamani tuliongopewa sana
hatari mkuu halafu ilikua ni siku ya sikukuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhah,Mimi Moro kwa afande seleMkuu labda tumekulia eneo moja.
Hivyi vyote nami nilidanganywa. [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha mnakojoa sehemu moja na Dogo wa jirani sasa utasikia usichanganye mkojo sehemu moja mama zetu wataumwa matiti
Alikuchota mkuu, kweli mkubwa mkubwa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatari mkuu halafu ilikua ni siku ya sikukuu
aiseeKulikuwa na mzungu mmoja hivi [German]alijitolea kuijenga shule yetu ,basis wakat ujenz unaendelea kipindi hicho nasoma darasa LA NNE,mwalimu anatufundisha ghafla yule mzungu akawaanazunguukia yale maengo ndio mwalimu wetu akalopoka""WAZUNGU HAWANYI NA WAMASAI HAWALI UGALI KABISA"sijui alifikilia nn yule mwalimu na sisi kuamini kabisa,