fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,255
- 3,889
- Thread starter
- #41
acha kabisa halafu yeye wala hakumbukiAlikuchota mkuu, kweli mkubwa mkubwa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kabisa halafu yeye wala hakumbukiAlikuchota mkuu, kweli mkubwa mkubwa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama Mimi nilidanganywa kwa nini na wao nisiwadanganye wapate cha kuhadithia mbeleni hukoha ha ha unachukua maujuzi
sawa mkuu chukua chai za kuwapa madogoKama Mimi nilidanganywa kwa nini na wao nisiwadanganye wapate cha kuhadithia mbeleni huko
kubabake ukisogea tu kifuatacho balaaaa"Njoo mwanangu sikupigiiii"
hahaaa huu uongo ulikuwa umevuka mipaka ya uongo AiseeTreni ukiweka sindano kwenye reli inapinduka,hahahahaha jamani tuliongopewa sana
kumbe ndio mpaka wa leo hatukai jikoniwanaume mkikaa jikon chakula hakiivi
Huku kashika mwiko halafu anakuchekea"Njoo mwanangu sikupigiiii"
Nilitega sindano reli nzimaTreni ukiweka sindano kwenye reli inapinduka,hahahahaha jamani tuliongopewa sana
Ila nitaziboresha kidogosawa mkuu chukua chai za kuwapa madogo
Hahahahahahaha ha ha ukienda tu imekula kwako
HahahahahahaTreni ukiweka sindano kwenye reli inapinduka,hahahahaha jamani tuliongopewa sana
10 hizo hizo.Yai moja huiva kwa dakika kumi,je ?mayai sita huiva kwa dakika ngapi????HAPA KUNA ULAKINI
umenikumbusha wakati nipo o-level tulikua na imani mwaka ambao unaoishia na namba zisizogawanyika mfano 1,3,5,7 pepa huwa ngumu sana tofauti na mwaka unaoishia na namba zinazogawanyika km 2,4,6 pepa huwa nyanyaMtihan wa la saba wa mwaka huu unatungwa na wanachuo dah
Aisee hivi kuna mwanachuo yeyote amewah tunga mtihan
Nilikua naogopa kinoma
Hahahahahaha hahahahahahaTuliambiwa ukichungulia uchi wa MTU mzima unapofuka macho,haahahhaah Leo mpka tunazishika na kupiga dushe