Uongo upi unaoukumbuka uliambiwa wakati ukiwa mdogo na ulijua ni ukweli

Nakumbuka nilikua na miaka mi nne ivi pindi mdogo wangu anazaliwa.
Siku moja nikamuuliza Mama "Mama uyu mtoto ametoka wap? "
Mama akanijib nimemnunua "huwa tunaenda kununua watoto hispitali " basi niliamin hivyo mpaka nafika darasa la tano.. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mtihan wa la saba wa mwaka huu unatungwa na wanachuo dah

Aisee hivi kuna mwanachuo yeyote amewah tunga mtihan

Nilikua naogopa kinoma
umenikumbusha wakati nipo o-level tulikua na imani mwaka ambao unaoishia na namba zisizogawanyika mfano 1,3,5,7 pepa huwa ngumu sana tofauti na mwaka unaoishia na namba zinazogawanyika km 2,4,6 pepa huwa nyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…