Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hahahaha itikadi zingine za kipumbavu sana ...umenikumbusha wakati nipo o-level tulikua na imani mwaka ambao unaoishia na namba zisizogawanyika mfano 1,3,5,7 pepa huwa ngumu sana tofauti na mwaka unaoishia na namba zinazogawanyika km 2,4,6 pepa huwa nyanya
ila wapi hakuna kupindukaNilitega sindano reli nzima
Looh
pamoja mkuu maana hizi ni zama za digitali unaweza ukaumbuka mtu mzimaIla nitaziboresha kidogo
hatari sana kuna ile ukifanya kosa either shuleni au kwa mzazi unaweka kijiti katika nywele basi mzazi au mwalimu anasahau na kukuachaHahahaha itikadi zingine za kipumbavu sana ...
Na ile ya kutupa jina ukilitoa
Ila mm nlkuaga siamini
Nilijitambua mapema sana
[emoji15] [emoji15] [emoji16]Ukipigwa na mwiko hupati mke[emoji23][emoji23]
Haahahajah umenkumbusha hiyo daahhatari sana kuna ile ukifanya kosa either shuleni au kwa mzazi unaweka kijiti katika nywele basi mzazi au mwalimu anasahau na kukuacha
acha tu mkuu watu tunatoka mbali sanaHaahahajah umenkumbusha hiyo daah
Wana walikua wajinga sana
Mkuu hapo utachezea fimbo inabidi uzidishe,hahahha yaaan hata sielewagi ukweli wake10 hizo hizo.
We ndo uchapwe ohooMkuu hapo utachezea fimbo inabidi uzidishe,hahahha yaaan hata sielewagi ukweli wake
ha ha haKuna askari CID mmoja alikuwa akipita kijijini kweti na pikipiki mara kwa mara,nikaambiwa huyo ndo Willy Gamba,,ha ha ha,kila nikimuona nilikuwa namchuinguza kweli kweli nikiamini eti ndo willy gamba.....baadae nimekua na about 12 years ndo nagundua kumbe siye
dah u kill it mkuuNakumbuka nikiwa darasa la tano
Mwalimu wa sayansi alikuwa anafundisha Mfumo wa Uzazi
Baada ya kipindi kuisha akauliza kuna mtu ambaye hajui sehem zake za siri humu nimuoneshe
Basi hakuna aliyejitokeza
Ticha alivosepa
Rafiki angu akaniuliza mbona hujanyoosha au unazijua
Nikamwambia ndio
Akasema nioneshe
Nkamuonesha mbavuni ( Ubavu wa kushoto na kulia )
Na yy akaamini
Kumbe alikuwa punga tu kama mm
Bibi yangu ndio aliniambiaga hivyo
duu askari wa wapi hao walikuaKuna mmasai alikuwa anamiliki bunduki,sasa wamasai huwa ni watu wenye siri sana.Waligombana huko porini yule Masai kachukua bunduki masihara tu risasi ikamaparasa usoni,SASa wakayamaliza huko porini mtihani umekuja kwenye kutibiwa lazima utoe taarifa either police au kokote ambako unaweza pataPF3,Sasa yule Masai akaenda hospital ndipo wakamkatalia kumtibu mpka atoe taarifa police,kweli wakafanya hivyo,SSA kule wataeleza vipi police????Ndipo walipotunga uongo"WAKAWAELEZA POLICE KWAMBA ALITOKEA NYOKA MKUBWA SANA,NDIO MIMI NIKAENDA KUCHUKUA BUNDUKI YA MJOMBA ILI KUMPIGA,GHAFLA SISASI IKAGOMA KUTOKA NDIO NIKACHOKONYOA NA MTI KWENYE TUNDU LA BUNDUKI NDIO KUTOKA IMENIKOSAKOSA"ni uongo wa kiwqngo cha juuu