Uongo upi unaoukumbuka uliambiwa wakati ukiwa mdogo na ulijua ni ukweli

Ukisikiliza wimbo wa Marehemu Mr Ebbo (ABELI MOTIKA) M.A.P amezungumzia mambo mengi sana tulikuwa tunadanganyana.
 
Ukichomwa na mwiba ukiutoabukiweka kichwani unaokota hela,hadi leo naamini,ukimeza mbegu ya tunda mti unaota kichwani,ukimcheka albino unazaa mtoto kama yeye,ukikutana na bibi usipomsalimia unageuka jiwe
 
ugusie kidogo tujikumbushe
1.Ukilia kwenye sufuria utakosa mke
2.Mvua ikinyesha na jua likiwaka SImba anazaa
3.Mtu akikuruka unakuwa mfupi.
4.Ukijing'ata kwamba mtu anakusema.
5........................................................

Wazazi wa zamani walitupenda ohooo,uzushi na maneno mbofumbofu.
 
pomoja mkuu kwa kuthrow back
 
Ukichomwa na mwiba ukiutoabukiweka kichwani unaokota hela,hadi leo naamini,ukimeza mbegu ya tunda mti unaota kichwani,ukimcheka albino unazaa mtoto kama yeye,ukikutana na bibi usipomsalimia unageuka jiwe
aisee
 
Back
Top Bottom