UONGO Vs MAHUSIANO

UONGO Vs MAHUSIANO

ybest

Member
Joined
Mar 13, 2009
Posts
30
Reaction score
5
Poleni na hili sakata la mafuta wanajamiiforums, mimi nna swali moja naomba kuuliza. Hivi uongo una nafasi gani kwenye mahusiano, au ni kweli kwamba wakina dada wengi wanapenda kudanganywa?
 
Poleni na hili sakata la mafuta wanajamiiforums, mimi nna swali moja naomba kuuliza. Hivi uongo una nafasi gani kwenye mahusiano, au ni kweli kwamba wakina dada wengi wanapenda kudanganywa?

hebu mpnz wako mwambie baba yako amekufa halafu mwambie nimekudanganya,halafu usikilizie itakuwaje
 
Nimenote hili pia. Ukiwa mkweli utachomeshwa sana mahindi ingawa binafsi sipendi na sitaki kudanganywa/kadanganya.
 
Ni kweli kabisa kuwa mabinti wanawapenda sana watu waongo! Mara nitakununulia......
Kwetu ni.........
Nitaku......
Baba yangu ni.......
Mjomba wangu, kaka yangu, mara mama yangu. Wanapenda uongo kuliko ukweli.
Na wanaume waongo na wanaopenda sifa nyingi ndo wanaopoa mademu wazuri kwa asilimia kubwa!
 
sio kweli hata kidogo,mimi sio muongo(dunia inajua na mimi pia naelewa) lakn sijawahi kumbana na shida ya aina hiyo eti tu nasema ukweli.

by the way_mimi nabrash viatu hapa stand mademu na masister duuuuu wanajua lakn wananichukulia poa tu....acha uoga utajipeleka jehanam kwa dhambi ya kuongopa na usiambulie kitu
 
Poleni na hili sakata la mafuta wanajamiiforums, mimi nna swali moja naomba kuuliza. Hivi uongo una nafasi gani kwenye mahusiano, au ni kweli kwamba wakina dada wengi wanapenda kudanganywa?
<br />
<br />
Trust me,wadada ndo zao!!
 
Yeahh danganya mpaka jina na rangi ya ngozi yako!!
 
Ni haki ya msingi kudanganya(wa) .... Inasaidia sehemu sehemu.
 
Wanasema kauongo kidogo kanastawisha penzi,
uongo huu ni ule wa kumpamba mwenzako
 
Hii topic zimeletwa mbili in a row week moja... jaribu perouz....
 
Nafikiri ukimpenda mtu genuinely sidhani kama utadanganya kitu chochote, utakuwa transparent all the time. May be I'm wrong
 
Kumbe itabidi nianze mazoezi ya kudanganya...! Na ninavyouchukia uongo sijui itakuwaje
 
sidhan kama uongo wafaa katika mapenzi, nashauri tuiache hiyo tabia!
 
hata mimi hiki nimeki-note mkuu, wanasema hata ukiwa na gari ubavuni limeandikwa POLICE DPT ukimwambia lako anakubali.
 
Back
Top Bottom