Uongo wa majority hugeuka kuwa ukweli pia.

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Katika jamii watu huishi kwa mazoea..

Yaani watu wa kisha aminishwa kitu cha uongo watakishikilia maana ni comfortable kwao.

Nimeligundua hili na halinipi shida tena.

Naona kwenye uzi wangu wa kuoa foreigner watu wana tapatapa tu ila wanacho kimbia ni kuu face ukweli

And I don't care at all. ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Something to add, mnao fikiri kuwa ninakuja humu kutafuta attention mnakosea sana. Niko humu kuona how akili za watanzania zinavyo operate. Niko kujifunza zaidi
 
Akili yako mwenyewe bado hujajua how ina-operate za kwetu utaziweza mwanetu?
Hahahaha.. Ndo maana nikasema niko on a learning journey, kuna patterns nzuri sana zinajiweka wazi bila watu kujua.
 
Also, yule de Gunner wa drama alishapotea mazima, sasa kaingia Gunner wa application pekee. I will never curse anyone sita ongea na kuleta battle za kitoto maana hilo somo nimesha graduate
 
Uongo hauwezi kuwa kweli au kubadilishwa kuwa Kweli.
Uongo ni uongo.
Na ukweli ni ukweli.

Ila watu wanaweza kuuona Uongo kama ni kweli.

Kwa sababu macho huathiriwa na mambo mengi
 
Something to add, mnao fikiri kuwa ninakuja humu kutafuta attention mnakosea sana. Niko humu kuona how akili za watanzania zinavyo operate. Niko kujifunza zaidi
Ulisemaga mwenyewe mpaka ukaanzisha na uzi kabisa. Kijana una shida sana. One unavyogeuka tambala la deki sasa
 
Exactly bora wewe umeiona hilo๐Ÿ˜‚ na inalipa kinyaa, ssio kwa wengine bali kwangu ninayeona tension zinavyo kuwa na kushuka
Zamani ulikuwa unatumia jina gani hapa jf, maana ni kama umekimbia identity yako na kutafuta nyingine
 
Zamani ulikuwa unatumia jina gani hapa jf, maana ni kama umekimbia identity yako na kutafuta nyingine
Nili ingia humu mpole sana 2021 nikaweeka malengo ya kutumia ID fake katika advantage yangu na sasa ni naona matunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ