Ndicho ulichobaki nacho?Endelea kukariri bwashee!
Rudia kusoma utaelewa kama unataka kuelewa.Unadai Zanzibar ilianzisha televisheni yake 1974! Pia ilipewa code no. yake mwaka 1968 lakini ikanyang'anywa mwaka 1999 kwa vile walishindwa kuitumia hapo hapo unadai Zanzibar haiwezi kurudishiwa hiyo code kwa sababu si mwanachama wa UN,je wakati huo wakipewa walikuwa wanachama wa UN?
Naomba ufafanuzi zaidi.
Ebu jaribu kujielewasha ulivyoelewa wewe isije kuwa wewe ndio unatakiwa urudie kusoma.Rudia kusoma utaelewa kama unataka kuelewa.
Hivi jf kuna watu kama hawa...mungu wanguMbona Tanganyika Law Society iko hadi leo?!
Tanganyika bado ipo bwashee usihadaike na wanasiasa.
Othman yuko sahihi.
Hahahaaaa....... Umefura?!Hivi jf kuna watu kama hawa...mungu wangu
Nashukuru kwa ufafanuzi lakini habari yenyewe kwa maana ya hayo yaliyosemwa kama yalifanyika hivyo kweli au la maana hapo alipozungumzia televisheni ndio kumenipa ukakasi kwani ninavyofahamu televisheni ya Zanzibar ilianzishwa na uongozi wa Karume akiwa hai na Karume amekufa mwaka 1972 sasa najiuliza kama ameongopa hapo vipi hayo maelezo mengine? Hasa ukizingatia Wabongo wengi si wafuatiliaji wa mambo lakini pia imekuwa ni kawaida mambo mengi ya huko nyuma kuelezwa ndivyo sivyo kwani hata historia ya harakati za kutafuta uhuru inadaiwa mengi yamefinyangwa finyangwa kwa sababu wanazozijua hao wahusika hivyo si ajabu kuona hili nalo likawa ni hivyo hivyo.Wakati wa analogia, televisheni na simu vilikuwa vitu tofauti. Zanzibar kuwa na televisheni yake hakuhusiani kabisa na kuwa na code yake ya simu. Masharti yaliyokuwepo mwaka 1968 yaliruhusu Zanzibar kupata code yake kwa sababu suala la simu halikuwa katika masuala ya Muungano, uanachama wa UN haukupewa uzito. Mwaka 1998, ITU ilianza kutumia viwango vipya ambavyo vilitaka nchi ambazo hazitumii code yake ipasavyo kunyang'anywa na kutaka code zitolewe kwa nchi ambazo ni wanachama wa UN isipokuwa zile ambazo tayari zilikuwa zinatumia code zake kama Hongkong na Taiwan. Kwa vile Zanzibar ilinyang'anywa kwa kutoitumia basi hii exception haihusu.
Amandla...
Nashukuru kwa ufafanuzi lakini habari yenyewe kwa maana ya hayo yaliyosemwa kama yalifanyika hivyo kweli au la maana hapo alipozungumzia televisheni ndio kumenipa ukakasi kwani ninavyofahamu televisheni ya Zanzibar ilianzishwa na uongozi wa Karume akiwa hai na Karume amekufa mwaka 1972 sasa najiuliza kama ameongopa hapo vipi hayo maelezo mengine? Hasa ukizingatia Wabongo wengi si wafuatiliaji wa mambo lakini pia imekuwa ni kawaida mambo mengi ya huko nyuma kuelezwa ndivyo sivyo kwani hata historia ya harakati za kutafuta uhuru inadaiwa mengi yamefinyangwa finyangwa kwa sababu wanazozijua hao wahusika hivyo si ajabu kuona hili nalo likawa ni hivyo hivyo.
Unaumwa siyo bure.Namuona huyo sijui Othman kama ni mtu asiyejua analolifanya, yaani yupo yupo kama mkulima wa kijijini (peasant), anaropoka tu bila kujua anafanya nini. Hivi ZNZ hakuna watu decent wa kuwapa madaraka?
Utapeli wa karne ni kugeuza Zanzibar kuwa koloni la Tanganyika.Huo ndio ukweli mengine ubabaishaji.Masoud anavyomwagiwa sifa na mayahe kumbe tapeli moja tu
Mama yako ndio punguani aliyezaa mtoto wa ovyo ovyo,papuchi la mama yako,matusi hayauzwi.Punguwani mkubwa, umekaa kiubishiubishi ndiyo maana huelewi researcher alivyoturahisishia kuielewa hii habari.
Karume alizindua ujenzi wa mitambo ya televisheni mwanzoni mwa mwaka 1972 kabla hajauawa.
Aboud Jumbe akaizindua TV ianzr utangazaji January 12, 1974 siku ya kuazimisha miaka 10 ya mapinduzi.
Joseph amefanya utafiti wa uhakika na mimi siyo mara ya kwanza kusoma tafiti zake.
Masoud ni mwongo kaumbuliwa na researchers wanaomzidi.
Hajakosea sema haitumiki tuWe jamaa ni kanjanja sana yaani unapiga alichosema Othman kisha unathibitisha ni kweli namba ya Zanzibar ni +259
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Zanzibar si koloni la Tanzania bali sehemu ya muungano. Mbona rahisi?Utapeli wa karne ni kugeuza Zanzibar kuwa koloni la Tanganyika.Huo ndio ukweli mengine ubabaishaji.
Utapeli wa karne ni kugeuza Zanzibar kuwa koloni la Tanganyika.Huo ndio ukweli mengine ubabaishaji.
Umeongea kitaaluma sana, na wote wanaokobishia wala usiwasikilize, wanaongea kishabiki tu.
Kwa hiyo sasa ITU sijui wanaiona Zanzibar kama kamkoa tu ka Tanzania, kwamba code yake ni 255-24 kama ilivyo Dar 255-51 au Tabora 255-26.
Huo ndio ukweli, upende usipende
Rudia tena kusoma utaona ni wakati gani sheria hii au ile itungwa au kukoma matumizi yake. Kwani wewe huna digrii?Unadai Zanzibar ilianzisha televisheni yake 1974! Pia ilipewa code no. yake mwaka 1968 lakini ikanyang'anywa mwaka 1999 kwa vile walishindwa kuitumia hapo hapo unadai Zanzibar haiwezi kurudishiwa hiyo code kwa sababu si mwanachama wa UN,je wakati huo wakipewa walikuwa wanachama wa UN?
Naomba ufafanuzi zaidi.
Sina digrii,sina gari wala chochote cha maana kama walivyo wana JF wengi.Rudia tena kusoma utaona ni wakati gani sheria hii au ile itungwa au kukoma matumizi yake. Kwani wewe huna digrii?