Hakuna kitu TZ tungefanya kwani Ofisi za UN Kenya zililetwa na Wazungu wakati wa Ukoloni, hivyo ni juhudi za Waingereza kupeleka Ofisi kwenye Koloni lao kwa sababu walizozijua wao wenyewe, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazotoa maamuzi huko UN, siyo kwamba Wakenya wenyewe kwa jihudi zao ndiyo walioleta UN Nairobi hapana, zilikuja kabla ya Uhuru!